Zaidi ya watu 3,000 Wanaounga mkono Urusi,waandamana Sydney dhidi ya NATO

Mathanzua

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
15,849
20,700
COMMISSION TO EXPOSE EVIL
So do not be afraid of them, for there is nothing concealed that will not be disclosed or hidden that will not be made known. What I tell you in the dark, speak in the daylight; what is whispered in your ear, proclaim from the roofs. Do not be afraid of those who kill the body but cannot kill the soul. Rather, be afraid of the One who can destroy both soul and body in hell”. Jesus Christ – Gospel of Mathew, 10,26-28

Zaidi ya watu 3,000
Wanaounga mkono Urusi,waandamana Sydney dhidi ya NATO

21 MEI 2023

Video hapa chini inaonyesha takriban Waaustralia elfu tatu wakijitokeza mjini Sydney, kupinga NATO na kuonyesha uungaji mkono wao kwa Urusi! Kundi hili kubwa lilikuwa la amani na liliazimia kuijulisha nchi yao msimamo wao: NATO ina makosa, Urusi iko sawa, na vita vya Ukraine lazima vikome. Chini ni video fupi.Je, unaona maandamano haya yalivyo ya amani, utulivu na utaratibu? Hiki ndicho kinachopaswa kufanyika kote Ulimwenguni,hasa Marekani na Ulaya kila siku.

Hii ndio sababu:
Kile ambacho Marekani na Ulaya kwa pamoja wanafanya Ukraine ni hatua ya Marekani na Ulaya kuingiza dunia katika vita vya nyuklia na Urusi.Warusi wako sahihi; wamekuwa wakichokozwa kwa miaka mingi na NATO. Nchi baada ya nchi, zinazoizunguka Urusi, zinaelekezea makombora (missiles)Urusi.Urusi pia walikasirishwa wakati nchi za Magharibi zilipofadhili, kuchochea, na kuwezesha kupinduliwa kwa nguvu na vurugu kwa Rais aliyechaguliwa kidemokrasia wa Ukraine, Viktor Yanukovich mnamo mwaka wa 2014.
Yanukovich aliwahi kuwasiliana na Marekani na Umoja wa Ulaya (EU) juu ya kuondoka kwenye kambi ya Russia, na kuwa sehemu ya Ulaya. Yanukovich alifikiria juu ya jambo hiko. Alishauriana na serikali yake, viongozi wake wakuu wa biashara, na watu wake. Wakati ulipofika kwa Yanukovich kuamua ndiyo au hapana kuhusu jambo Hilo, akiwaambia Marekani na EU, kwa upole "asanteni, lakini hapana, Ukraine itasalia na Urusi." Hilo lilikuwa jibu lake. Marekani na EU hawakufurahishwa.
Wakaanza kufadhili na kuwezesha maandamano na ghasia nchini Ukraine. Walilipa karibu dola milioni moja kwa siku nje ya Ubalozi wa Marekani mjini Kiev, ili kuendeleza ghasia na kuipindua Serikali halali ya Ukraine.Matatizo yalipozidi kuwa mabaya zaidi, kulikuwa na milio ya risasi. Majengo ya serikali yalikuwa yakishambuliwa na kuchomwa moto.Hali haikuweza kudhibitiwa kabisa.
Yanukovich ilimbidi kukimbia nchi, na serikali ya Ukraine ikaanguka. Hilo lilipotokea, Marekani na EU waikuwepo haraka haraka kufadhili serikali mpya, ya vibaraka, yenye manufaa kwa nchi za Magharibi.
Utawala mpya wa Kiev wa vibaraka wa nchi za maghari
ulipochukua mamlaka, Crimea, ambayo hapo awali ilikuwa sehemu ya Urusi kwa zaidi ya miaka 300,iliingizwa katika mamlaka ya Urusi.Crimea "walipewa" Ukraine, na Katibu Mkuu wa Umoja wa Kisovieti wa wakati huo Nikita Khrushchev.

Urusi hata hivyo iliamua kuwa na kura ya maoni ya kuamua kama Crimea ijitenge na Ukraine na kurejea Urusi. Walifanya kura hiyo ya maoni na Wakraimea waliamua kurudi nyumbani Urusi.Kwa Urusi kuunga mkono jitihada hizi, ilisakamwa na nchi za Magharibi na kutuhumiwa kwamba "imenyakua kinyume cha sheria" Crimea. Walisahau kwamba Crimea ilipiga kura ya maoni na kuamua kujiunga na Urusi.

Wakati majimbo mengine mawili yenye sehemu kubwa ya Urusi , Luhansk na Donetsk yalipotaka pia kupiga kura ya maoni ya kujitenga, Ukraine ilituma jeshi lake kwenye mipaka wa majimbo hayo na kuanza kufyatua mizinga na makombora katika maeneo ya raia,ili kuzima hatua ya kujitenga.Luhansk na Donetsk waliunda wanamgambo ili kupigana na Waukreni. Lakini walihitaji msaada.

Ghafla, huko Luhansk na
Donetsk. Wanajeshi waliovaa , sare za kijeshi za kijani kibichi, lakini bila utambulisho wowote walianza kuonekana. Walikuwa, bila shaka, askari wa Kirusi. Ni wazi walitumwa na Urusi, kusaidia Luhansk na Donetsk, ambapo watu wao walikuwa wakipigwa mabomu na jeshi la Ukraine na kuuwawa.

Matatizo haya yote, ambayo yalianza tangu 2012, yalififia wakati Donald Trump aliposhinda Urais wa Marekani. Kulikuwa na amani ya kiasi huko Luhansk na Donetsk kwa miaka minne, hadi Biden alipoiba Urais wa Marekani.Ndani ya siku chache baada ya Biden kuchukua madaraka
mnamo Januari 2021, shida zote huko Luhansk na Donetsk zilianza tena.Kufikia Desemba, 2021, Ukraine ilikuwa imekusanya askari wapatao 80,000, zaidi ya vifaru 1,000, mifumo mingi ya roketi, ndege za kivita na kadhalika, katika mipaka ya Luhansk na Donetsk. Ukraine ilikuwa inaingia Luhansk na Donetsk na kuwachinja raia waliotaka kujitenga.Urusi haikuwa na chaguo.Walilazimika kuwalinda raia Warusi huko Luhansk na Donetsk. Kwa kweli, chini ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa (UN), Urusi ilikuwa na WAJIBU wa kulinda Warusi Luhansk na Donetsk

Mambo yote haya na juhudi zote hizi za NATO na Ukraine zinafanywa licha ya ukweli kwamba Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, James Baker, alimhakikishia Katibu Mkuu wa Umoja wa Kisovieti Mikhail Gorbachev na Waziri wa Mambo ya Nje wa wakati huo Eduard Shevrednadze kwamba ikiwa Urusi itaruhusu Ujerumani Mashariki na Magharibi kungana,"NATO haitasogea inchi moja kuelekea mashariki."NATO haikuheshimu ahadi hiyo, na ikaanza kujipanua kuelekea mashariki, hadi kwenye mpaka wa Urusi.Nchi baada ya nchi ilijiunga na NATO, na kupata makombora ya NATO kulenga Urusi. Nchi nyingi zilianzisha vituo vya NATO vya kubadishana wanajeshi wa NATO, wote wakiwa na jicho lao Urusi.Mambo hayo yalipokuwa yanaendekea Ukraine, na nchi zingine zilizokuwa chini ya umoja wa kiovieti,Urusi iliweka wazi kwamba Ukraine kujiunga na NATO itakuwa ni mstari mwekundu kwa Urusi.

Walielezea kwa nini:Kutoka Ukraine, makombora ya NATO yakifyatuliwa na ndege za NATO, yangekuwa na muda wa takriban dakika tano tu hadi kufika Moscow. Pia makombora hayo yangekuwa na muda wa dakika saba hadi kumi hadi kwenye maghala ya kimkakati ya makombora ya nyuklia ya Urusi.Wakati NATO inadai kuwa makombora haya ni "ya kujihami," technokojia imeendelea sana kiasi kwamba yanaweza "kubadilishwa" kutoka makombora
ya kawaida ya kujihami, hadi kuwa makonbora ya nyuklia,na kazi hii huchukua kama saa moja tu.Kwa hivyo Urusi isingekuwa na njia ya kujua ikiwa makombora yaliyokuwa yakilengwa kwao yalikuwa ya kujihami au ya nyuklia.Na kwa muda mfupi wa dakika tano tu ambapo makombora ya NATO yanafika Urusi,Urusi haingeweza kuwa na mfumo wa ulinzi wowote unaofaa kujilinda . Kwa sababu hiyo, Urusi haingeweza kamwe kujua amani au usalama. Hili lilikuwa halikubaliki kabisa kwao.

Urusi ilijaribu kutumia Diplomasia, ikatoa sampuli ya Mkataba wa kujadiliwa kwa NATO,ambao ungetoa uhakikisho usio na shaka, unaoweza kutekelezeka kisheria, ambao ungekuwa dhamana ya usalama kwa Urusi. Walitoa sampuli hii mnamo Desemba 2021. NATO iliicheka na wakatupa pendekezo la Urusi kwenye shimo la takataka.
Takriban wiki moja baadaye, Januari, 2022, Urusi iliwasilisha pendekezo la Mkataba tena, wakati huu, walituma kupitia Diplomatic Courier, kwa viongozi wa nchi zote za NATO kwenye makazi yao rasmi :White House, #10 Downing Street, The Elysee na Jumba la Mfalme huko Ufaransa, na kadhalika.Katika pendekezo hili Urusi iliweka wazi, KWA MAANDISHI, ikiwa haiwezi kupata dhamana za usalama zinazoweza kutekelezeka kisheria kupitia njia za Kidiplomasia , itazipata kwa njia za kijeshi.Kwa hiyo WALIMWAMBIA KILA MTU kwamba huu utakuwa mzozo wa kijeshi!NATO ilikalia pendekezo hili kwa karibu wiki mbili bila kutoa jibu, kisha ikakataa tena.

Mnamo Februari 23, 2022, Urusi iliwasiliana na Ukraine na kuwapa Maagizo: mna saa tano za kukubali kutojiunga na NATO na kwamba Crimea, ambayo ilikuwa imejitenga, sasa itakuwa sehemu ya Urusi kabisa, au Urusi itachukua hatua.Rais wa Ukraine Zelensky aliwasiliana na Ofisi ya Mambo ya Nje ya Uingereza na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani. Ofisi zote zilimwambia "kupuuza ushari wa Urusi."Baada ya masaa matano kuisha, Urusi ilingoja masaa mengine mawili na walipoona hakuna mawasiliano yoyote kutoka Ukraine, waliliamuru Jeshi la Urusi kuvuka mpaka na kuingia Ukraine.Hapo awali Urusi ilikuwa imeambia kila mtu na dunia nzima kwamba hali hii itakuwa ya kijeshi. Ulimwengu ulicheka.
Hawacheki sasa.

Unaona, Urusi wanapozungumza, wanasema wanacho kimaanisha, na wanamaanisha kile wanachosema.Si hivyo katika nchi za Magharibi. Nchi za Magharibi, wamenaswa na udanganyifu wa sifa za kijinga,ambapo wanasema mambo ambayo yanaonekana kuwa mazuri, lakini hayatekelezeki kamwe.Urusi haifanyi kazi kwa njia hiyo. Wakisema jambo, wanamaanisha hivyo.

Huku mzozo na Ukraine ukizidi kuwa mbaya, NATO imekuwa ikisafirisha zana za kijeshi zenye thamani ya mabilioni ya dola kwenda Ukraine. Wanafanya hivyo zaidi na zaidi,huku ubora wa silaha ukizidi kuongezeka siku hadi siku.Wakati huo huo, Urusi imeonya MARA KWA MARA kwamba itatumia silaha za nyuklia kuilinda Urusi.
Inapaswa kuwa wazi hata kwa watu wenye akili ndogo kama za mtoto kwa sasa, kwamba Urusi inaposema jambo, inamaanisha, wamethibitisha hili tena na tena!

Licha ya maonyo ya Urusi ya mara kwa mara, nchi za Magharibi zimendelea kuimarisha uchokozi wao kwa Urusi. Hivi karibuni tu nchi za Magharibi zimeahidi kuipatia Ukraine ndege za kivita za F-16 za kizazi cha nne.
Urusi kwa upande wake imetangaza wazi kwamba itaangusha ndege zozote za F-16 ambazo zitaruka kwenye anga ya Ukraine.

Urusia pia wameshutumu hadharani Marekani kwa kujaribu kuzidisha mzozo wa Ukraine na kuufanya kuwa vita vya dunia. Katika suala hili, inaonekana kwangu binafsi, Urusi ilipiga msumari kwenye kichwa. Ni kweli Marekani inajaribu kuanzisha Vita vya 3 vya Dunia, na ni serikali ya Marekani, na vibaraka wake wa NATO, ambao wanaipeleka polepole Amerika, Ulaya na Dunia hadi Armageddon .

Jambo hili linanirejesha kwenye maandamano huko Sydney, Australia, juu ya hadithi hii.
Ni muhimu watu wa Ulaya, Marekani na kwingineko Duniani wakaingia barabarani waandamane kwa amani na heshima kama walivyofanya watu wa Australia,vinginevyo Marekani itatuangamiza wote. Binafsi naamini Marekani na Ulaya zitashambuliwa na Urusi na silaha za nuclear hivi karibuni.
 
Attachments

  • 3000-people-Sydney-Australia-Against-NATO-Pro-Russia.mp4
    8 MB
Hata ulaya kuna Movement nyingi sana sema haziripotiwi, ila Raia wa Ulaya wanaona kabisa Urusi yuko sawa,
Hawa nao wamefika mbali zaidi.
Screenshot_20230519-103913.jpg
 
Huko Urusi raia wanaoipinga uvamizi, wanaoiunga mkono NATO au West wakiandamna wanapata kipigo kikali sana na wanatupwa magereza ya mateso .
Demokrasia ni raha sana.
 
Hata Urusi wanatamani kuandamana kupinga utawala wa kidikteta wa Putin lakini hawaruhusiwi bora hata ulaya wanaruhusiwa je Urusi democrasia ipo wapi
 
Soma mada uelewe kwa nini kuna haja ya kuandamana na kuiunga mkono Urusi.Wanaotaka kuandamana Urusi ni Zombies or minions and morons wa nchi za magharibi kama wewe,sio logical,sane,rational and independent minded people.
 
Mchanganuo mzuri sana uliotumia uhalisi wa matukio.
 
Soma mada uelewe kwa nini kuna haja ya kuandamana na kuinga mkono Urusi.Wanaotaka kuandamana Urusi ni Zombies or minions and morons wa nchi za magharibi kama wewe,sio logical,sane,rational and independent minded people.
Kwani wanaotaka kuandamana ndani ya ya urusi wakipinga uvamizi wa Russia dhidi ya ukraine wawe zombies, na wanao andamans kupinga misaada ya kijeshi ya NATO kwa ukraine wawe sahihi?.
 
Siku-edit vizuri comment yangu mkuu,here it is👇

Soma mada uelewe kwa nini kuna haja ya kuandamana na kuiunga mkono Urusi.Wanaotaka kuandamana kupinga Urusi ni Zombies or minions and morons wa nchi za magharibi kama wewe,sio logical,sane,rational and independent minded people.
 
Back
Top Bottom