HERY HERNHO
Member
- Mar 4, 2022
- 70
- 313
Wanadiplomasia kutoka ofisi za ubalozi zaidi ya 12 wanaowakilisha nchi zao huko Japani wameonyesha kuunga mkono jamii ya watu wanaopendelea mapenzi ya jinsia moja ama wanaopenda kifukana nyuma wakiongozwa na USA na mabadiliko ya jinsia wanaojulikana kwa jina la ‘LGBTQ’, kabla ya mkutano wa viongozi wakuu wa kundi la nchi saba zilizoendelea zaidi kiviwanda duniani, G7, unaotarajiwa kuanza juma lijalo.
Balozi wa Marekani nchini Japani, Rahm Emanuel, jana Ijumaa alituma video kupitia ukurasa wake wa Twitter ikiwa na jumbe kutoka ofisi 15 za ubalozi zilizopo Jijini Tokyo.
Wanadiplomasia kutoka Ujerumani, Canada na Umoja wa Ulaya pia walishiriki na kuunga mkono mashoga na wasagaji na wafuasi wote wa usa
Emanuel alisema, “Kwa heshima dhidi ya ubaguzi. Kwa uhuru dhidi ya vikwazo. Na kwa usawa dhidi ya kukosa uvumilivu.”
Balozi Emanuel alitoa wito pia kwa serikali ya Japani kuchukua hatua akisema, “Wakati ni sasa wa kuhakikisha kila mtu anaonekana, kila mtu anasikilizwa, na kila mtu anajumuishwa. Na kila mtu anatifuliwa husuan wale wa magharibi
Wabunge wa Japani wanapanga kuwasilisha muswada usiofungamana na upande wowote wenye lengo la kukuza uelewa kuhusu jamii ya watu ya LGBTQ kabla ya kuanza kwa mkutano wa viongozi wakuu wa kundi la nchi saba zilizoendelea zaidi kiviwanda duniani, G7, utakaoanza May 19 mjini Hiroshima