Leo Feitoto akiwa na lawyers wake walikuwa wakipambana na TFF kuhusu terms of contract, Feitoto anasema hapana mkataba unaniruhusu huku Yanga wakisema no, law of contract haisemi hivyo.
Huko tuwaachie wanasheria wenzangu, hoja yangu mimi ni hapa tumefikaje? Leo Feitoto anagombana na timu...
Mpaka sasa sijaelewa kuna tatizo gani kwa mchezaji aliyevunja mkataba na klabu yake na akaona yuko sahihi kisheria na yuko huru kusajiliwa na timu yoyote ile nashangaa timu iliyomrubuni na kumpa mamilioni ya pesa akalipe na kuvunja mkataba imeshindwa kumtambulisha mpaka sasa, Mchezaji huru tena...
Waziri wa Nishati Januari Makamba amezuia Kampuni ya Usambazaji umeme ya ETDCCo kusaini mkabata wa usambazaji umeme akitoa madai ya kuwepo kwa uzembe.
Makamba amezui mkataba huo leo Desemba 19, 2022 jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya utiaji saini mikataba ya utekelezaji wa mradi wa...
Naomba kufahamu kama kuna uwezekano wa benki kuwezesha biashara ambayo ndiyo inaanza kwa namna ya wao kama benki kutumia mkataba wa makubaliano ya kibiashara kati ya kampuni yangu na ya China kwenye biashara ya pembejeo?
WANAFUNZI TANZANIA NA CHINA KUBADILISHANA UZOEFU
Na WyEST
DSM
# Mkataba ushirikiano wasainiwa DIT na Taasisi ya Ufundi (CQVIE) ya China
# Prof. Mkenda ashuhudia utiaji saini makubaliano
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameshuhudia utiaji saini wa makubaliano ya...
Karamagi wa TICTS' ahaha kwa wahariri, wabunge
* Ni baada ya mkataba wao kufutwa bandari ya Dar es Salaam
* Kampuni ya PR ya Capital Plus yapewa kazi kuisafisha TICTS
* Wapanga uhujumu wa huduma za makontena bandarini baada ya kuenguliwa
WAZIRI mstaafu Nazir Karamagi na mfanyabiashara Yogesh...
Inadaiwa kuwa Cristiano Ronaldo amewaambia Real Madrid kuwa yupo tayari kujiunga na klabu hiyo kwa muda wa miezi sita.
Ronaldo (37) ambaye yupo mbioni kuachana na Manchester United anataka kwenda kuziba nafasi ya Karim Benzema ambaye ni majeruhi.
Man United inaendelea kujipanga kisheria ili...
Huu unahusu ile reli yao. Hizi ni punch line.
Kwenye mkataba kunakataza mkataba kuweka hadharani, sasa Ruto kaamua kuweka.
Pesa zote watakazokopeshwa lazima watumie kununua bidhaa za china.
Endapo kenya ata default kwenye mojawapo ya madeni yake mengine, basi nae mchina apewe kipaumbele kwenye...
Mkataba huu wa Kenya kuomba $1.6 Bilioni, mkopo wa kibiashara ambao una riba ya 2%. Umesheheni masharti ya kutosha kwa kuwa ni kama mkopo wa kibiashara. Aidha vitu vyote vitakavyonunuliwa kwa ajili ya mradi huo havitatozwa kodi.
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imemtaka Waziri Prof. Makame Mbarawa kueleza sababu za Serikali kuuacha Uwanja wa KIA kwa Kampuni ya Uendeshaji wa Kiwanja cha Ndege (KADCO) ambaya haipo.
Spika Dkt. Tulia amesema “Wanasema mkataba unamalizika Juni 2023 ni mkataba gani? wakati hiyo...
Oktoba 10, 2022, kupitia kurasa rasmi za mitandao ya kijamii za Konde Music Worldwide, Harmonize alitangaza kusitisha mikataba na waimbaji Killy (Ally Omar) na Cheed (Rashid Mganga).
Harmonize hakutoa maelezo yoyote ya kusitishwa kwake ikiwa ni miaka miwili aimepitia tangu Harmonize atuhumiwa...
Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kumchosha mtu yeyote. Kwa utafiti binafsi niliofanya hivi karibuni, ndoa nyingi hapa nchini, na katika nchi nyingine za kiafrika, huingia migogoro au kuvunjika kabisa kwa sababu ya wanawake kuwa na uhakika wa ndoa ya kudumu, hasa hizi ndoa za...
Yameibuka madai kwamba Simba SC imefikia uamuzi wa kuvunja mkataba na kocha wake msaidizi Selemani Matola.
Madai hayo yamechochewa na barua inayodaiwa kuandaliwa na Simba kusambaa mitandaoni.
Kampuni kubwa ya mavazi ya Adidas imevunja mahusiano ya kibiashara na rapa Ye, anayejulikana kama Kanye West, na kusema "Haivumilii chuki dhidi ya Wayahudi na matamshi yoyote ya chuki". Ushirikiano wa Adidas ya Yeezy na Mr West uliingia kwenye mgogoro baada ya Ye kuonesha muundo wa fulana ya...
Habari za wakati huu wadau, mimi ni mwanachuo niliyemaliza mwaka huu masomo Physics na Mathematics, katika pita pita zangu nimekutana na hii kwamba manispaa ya Ilala inatoa ajira za mkataba kwa walimu wa sayansi.
Nilitamani kuielewa hii kwa undani kwa watu wenye kulijua hili kwasababu pia...
Uongozi wa Klabu ya Polisi Tanzania umeingia mkataba wa mwaka mmoja wenye thamani ya Sh 50 Milioni na Kanisa la Kingdom Embassy (HPCC) la jijini Dar es Salaam ambao ni maalumu kwa ajili ya kupatiwa maji ya kunywa, fedha na maombi timu inapocheza popote kuhakikisha kwamba wanafanya vizuri zaidi...
Anaandika Edo Kumwembe... ✍️
Ninachohisi ni kwamba sio kwamba huyu Mrembo na wenzake wanamtaka Dejan...nadhani wamemuweka katika mtego kwamba yeye ndiye avunje mkataba ili wasimlipe.
ndo maana wakatoa ile taarifa. Akili nzuri. Mzungu sasa avunje tu mwenyewe. Na kama ikitokea hivyo itabidi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki hafla utiaji saini Mkataba wa Usimamiaji wa Shughuli za Lishe leo tarehe 30 Septemba, katika Jengo la Kitega Uchumi jijini Dodoma
Ummy Mwalimu - Waziri wa Afya
Lishe bora ni msingi wa afya na uchumi wa mtu mmoja, familia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.