Adidas yavunja mkataba na Kanye West baada ya kuonesha chuki dhidi ya Wayahudi

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,370
8,107
1666714245903.png

Kampuni kubwa ya mavazi ya Adidas imevunja mahusiano ya kibiashara na rapa Ye, anayejulikana kama Kanye West, na kusema "Haivumilii chuki dhidi ya Wayahudi na matamshi yoyote ya chuki". Ushirikiano wa Adidas ya Yeezy na Mr West uliingia kwenye mgogoro baada ya Ye kuonesha muundo wa fulana ya "White Lives Matter" katika Wiki ya Mitindo ya Paris.

Siku kadhaa baadaye, rapper huyo alichapisha maoni ya chuki dhidi ya Wayahudi kwenye akaunti yake ya Twitter. Kutokana na uamuzi huo sasa bidhaa zake zitaondolewa kwenye maduka na kusimamisha kuuzwa mara moja, ilisema Adidas.

Kupunguza ushirikiano huo kunamaanisha kuwa Adidas watapata hasara ya jumla ya Tsh. Bilioni 580.6 kwa mwaka huu. Hapo awali Ye alikuwa ameshutumu Adidas kwa kuiba miundo yake, katika chapisho ambalo sasa limefutwa kwenye Instagram.

======================

In a statement on Tuesday, Adidas wrote: "Adidas does not tolerate antisemitism and any other sort of hate speech. Ye's recent comments and actions have been unacceptable, hateful and dangerous, and they violate the company's values of diversity and inclusion, mutual respect and fairness."

Instagram and Twitter suspended Ye's account in the days following his antisemitic remarks. His business partnerships have also come under increasing pressure: Bank JP Morgan and clothing retailer Gap said in October that they were ending their relationship with Ye.

Ye accused Gap of not honoring terms of their deal, including by failing to open standalone stores for his Yeezy fashion label.

Although Adidas put its relationship under review after Ye showed his "White Lives Matters" T-shirt, the company did not say the collection was the reason for the review.

It told the BBC it had made the decision to put the partnership under review after "repeated efforts to privately resolve the situation" of being accused by Ye of "stealing" his designs.

The phrase Black Lives Matter, which represents opposition to racism and police brutality, was widely used after George Floyd, an unarmed black man, was killed by a police officer in Minneapolis in the summer of 2020.

High-end fashion house Balenciaga and talent scouts Creative Artists Agency also cut ties with the rapper earlier in October.

Film and television production company MRC said on Monday it will not be airing its recently completed documentary on the rapper.

"Kanye is a producer and sampler of music. Last week he sampled and remixed a classic tune that has charted for over 3,000 years - the lie that Jews are evil and conspire to control the world for their own gain... As leaders of this company (a Jew, a Muslim, and a Christian), we feel duty bound to say to all of you this is a pernicious, terrible use of false logic," MRC wrote on Monday.

'Net worth falls'
Shares in Adidas fell as much as 8% after the announcement but have since pared their losses.

Adidas had warned in its last financial forecast in October that deterioration in its business in China, along with lower consumer demand in major Western markets, have put pressure on its profit forecasts for 2022. The brand is also looking for a new chief executive, after announcing in August that current boss Kasper Rorsted would be leaving in 2023.

A spokesperson for Campaign Against Antisemitism said: "Adidas has finally joined other brands and agencies and cut ties with Ye (Kanye West). This would not have happened without the almost 175,000 who signed our petition and the celebrities and influencers on both sides of the Atlantic and around the world who helped promote it and amplified the message."

The rapper has also lost his position in Forbes magazine's list of billionaires. The magazine estimates the loss of the Adidas partnership has cut Ye's net worth from $1.5bn to $400m.

The BBC has contacted Ye's representatives for comment.

BBC
 
Heheheh wengine sisi wavivu kusoma buana tunascroll tu....nmeona hii post ikabidi niparudie
I’m a bit sleepy tonight but when I wake up I’m going death con 3 On JEWISH PEOPLE The funny thing is I actually can’t be Anti Semitic because black people are actually Jew also You guys have toyed with me and tried to black ball anyone whoever opposes your agenda,”!
 
Tungoje muda
Wana damage mfuko tu, hii itamfanya apotee mazima

Kumbuka hata kina Buju Banton alipoimba Boom bye bye alipotea
Yaani wao wayahudi ndio mashoga wengi na ukigusa ushoga wana wewe na ukiwatukana wana wewe

Shaba Ranks nae pia kwenye interview wakati ule alipoulizwa kuhusu ushoga alifoka na kuponda sana mbele ya TV

Ila kilichofuata naona leo anaishi maisha ya duni sana pamoja na kuomba radhi ila walimmaliza kabisa

Wanakuambia kuna uhuru ila eti usivuke mipaka
Hovyo kabisa
 
Wana damage mfuko tu, hii itamfanya apotee mazima

Kumbuka hata kina Buju Banton alipoimba Boom bye bye alipotea
Yaani wao wayahudi ndio mashoga wengi na ukigusa ushoga wana wewe na ukiwatukana wana wewe

Shaba Ranks nae pia kwenye interview wakati ule alipoulizwa kuhusu ushoga alifoka na kuponda sana mbele ya TV

Ila kilichofuata naona leo anaishi maisha ya duni sana pamoja na kuomba radhi ila walimmaliza kabisa

Wanakuambia kuna uhuru ila eti usivuke mipaka
Hovyo kabisa
Wanaotumia ubabe sana ila kitu najivunia ubabe ni mwisho hapa hapa sijui huko tunapoenda kama Kuna ubabe
 
Wayahudi wanapendwa sana marekani nadhani nikwakua wanao upeo mkubwa wa kufikiri na kutenda mambo mbalimbali.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Sio upendo ni pesaaaa
Wao ndio wameshikilia uchumi wa
Makampuni yote makubwa yao kwa kujificha kwa Jina la
Umewahi kuona made in Israel?

Wakati wa uchaguzi wana mchango mkubwa sana kwa hiyo lazima walindwe na kuogopwa sio kuheshimiwa

Kama baadhi ya matajiri wetu ambao zaidi ya kusifiwa huwezi kukuta hata mjukuu wake kakamatwa
 
Tuliwahi kusema Jews runs USA watu wakabisha, jamaa wanamiliki sehemu kubwa ya uchumi wa US na mtu akithubuti kutofautiana nao inakula kwake wahanga wa USS LIBERTY, walisema Israel iliishambulia melivita ya US enzi za six day War.

Waliojaribu kufungua midomo yao walipotezwa kimyakimya. Viongozi na matajiri wengi wa US na Ulaya wana asili ya hawa jamaa
 
Tuliwahi kusema Jews runs USA watu wakabisha, jamaa wanamiliki sehemu kubwa ya uchumi wa US na mtu akithubuti kutofautiana nao inakula kwake wahanga wa USS LIBERTY, walisema Israel iliishambulia melivita ya US enzi za six day War.

Waliojaribu kufungua midomo yao walipotezwa kimyakimya. Viongozi na matajiri wengi wa US na Ulaya wana asili ya hawa jamaa
Siyo USA tu wamejaa mpaka Russia huko

Ova
 
Back
Top Bottom