HII TIMU INAYOMRUBUNI FEI TOTO ILI IMSAJILI MPAKA AKAVUNJA MKATABA NA KLABU YAKE YA YANGA MBONA AIMTAMBULISHI MPAKA SASA KAMA YUKO HURU?

Mtanzanias

JF-Expert Member
Jul 30, 2021
1,747
3,723
Mpaka sasa sijaelewa kuna tatizo gani kwa mchezaji aliyevunja mkataba na klabu yake na akaona yuko sahihi kisheria na yuko huru kusajiliwa na timu yoyote ile nashangaa timu iliyomrubuni na kumpa mamilioni ya pesa akalipe na kuvunja mkataba imeshindwa kumtambulisha mpaka sasa, Mchezaji huru tena hot cake kwa kiwango chake angekuwa ashatambulishwa lakini naona kuna ukimya na siku zinasonga zikibaki siku 10 tu dirisha lifungwe, Uoga huu ni wa nini wakati mchezaji yuko huru?
 
Mpaka sasa sijaelewa kuna tatizo gani kwa mchezaji aliyevunja mkataba na klabu yake na akaona yuko sahihi kisheria na yuko huru kusajiliwa na timu yoyote ile nashangaa timu iliyomrubuni na kumpa mamilioni ya pesa akalipe na kuvunja mkataba imeshindwa kumtambulisha mpaka sasa,
Kwani ukiwa huru maana yake ni lazima ucheze?
 
Mpaka sasa sijaelewa kuna tatizo gani kwa mchezaji aliyevunja mkataba na klabu yake na akaona yuko sahihi kisheria na yuko huru kusajiliwa na timu yoyote ile nashangaa timu iliyomrubuni na kumpa mamilioni ya pesa akalipe na kuvunja mkataba imeshindwa kumtambulisha mpaka sasa, Mchezaji huru tena hot cake kwa kiwango chake angekuwa ashatambulishwa lakini naona kuna ukimya na siku zinasonga zikibaki siku 10 tu dirisha lifungwe, Uoga huu ni wa nini wakati mchezaji yuko huru?
Kwani dirisha la usajili limeshafungwa?
 
Umetoa wapi kiherehere cha kuandika post wakati mwenyewe unakiri bado kuna siku 10?
Mbona huulizi ni kwanini hao Yanga walisema watatangaza usajili wa kutikisa nchi halafu wakaishia kumleta Yahaya?
 
Ukitaka mpira wako ufie Bongo hata kama una kipaji na uwezo wa kucheza Barcelona basi jisajili Yanga.

Mbele ya safari wachezaji wenye malengo watakimbia kusajiliwa na Yanga.
Yan kwakua tu Yanga imeamua kusimamia taratibu na sheria ndio zinakutoka shombo?

Kama utaratibu unafuatwa shida itoke wapi? Huu uswahili badi tu hamjauacha
 
Umetoa wapi kiherehere cha kuandika post wakati mwenyewe unakiri bado kuna siku 10?
Mbona huulizi ni kwanini hao Yanga walisema watatangaza usajili wa kutikisa nchi halafu wakaishia kumleta Yahaya?
Wewe umemleta nani? Ngoja tusubili huo utambulisho wa feisal mtausubili mpaka kiama
 
vipi simba kule mapinduzi cup,manaake tusiji sahaulishe hapa na ya fei toto
Mbumbumbu mikia bin makolo fc wameingia Mtumbwi wa vibwengo tuliwajaza upepo kuwa eti ukichukua kombe la mapinduzi unakosa makombe yote bara , wakajaa!.wakaleta vibonde zenji!!

Sasa sisi utopolo tunachukua ndoo ya mapinduzi na makombe yote ya bara ni yetu na lengo letu ni kufikisha unbeaten 100!

Kila kombe kwetu Lina thamani na rangi yake! Ni mwendo wa kuvunja rekodi tu
 
Simba hawanaga haya mambo, ikitokea mchezaji amesaini Leo na kesho akataka kuvunja mkataba ruksa, hii ndio timu ya kimataifa sio unachezea vilabu vya waganga wa kienyeji ukipigwa muhuri hutoki.
Yanga tunapiga mpira Kila mchezaji bongo anaota kuja Yanga! Nani alijua Mudathir hesabu zake ni Yanga?
 
Back
Top Bottom