mkataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Hakuna mkataba wa mradi wowote wananchi tumewahi kuhusishwa kuupitia. Huu wa Bandari ya Bagamoyo hawawezi kuuweka wazi

    Mjadala uliyoshika akili za watu kwa sasa ni faida na hasara za kuendelezwa kwa Ujenzi wa Mradi wa Bandari ya Bagamoyo. Maneno hofu imekua kubwa juu ya yaliyomo katika mkataba wa mradi huu wengi wakitaka UWAZI na USHIRIKISHWAJI kwa wananchi wauone mkataba. Taifa hili halina utaratibu huo...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania CAG: TSh. milioni 140 ambazo Wizara ya Maliasili na Utalii iliilipa kampuni ya Wasafi hazikuwa na Mkataba uliosainiwa

    Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) imeeleza kuwa Sh140 milioni ambazo Wizara ya Maliasili na Utalii iliilipa kampuni ya Wasafi hazikuwa na mkataba wowote uliosainiwa. Wizara hiyo ililipa fedha hizo kwa ajili ya wasanii ambao wangetangaza utalii wa ndani katika mikoa sita...
  3. Regent

    JamiiForums Tanzania Bodaboda ya mkataba faida inapatikanaje?

    Wadau naomba kuuliza anayechukua bodaboda ya mkataba ili kumpelekea kilasiku hesabu Boss 10,000 anaweza kuingiza Tzs ngapi kwasiku akifosi kwelikweli, sehemu ya kazi mtoni kijichi.
  4. Karim Mussa

    JamiiForums Tanzania Sampuli/Mfano wa Mkataba wa kupangisha nyumba

    MKATABA WA KUPANGA FREMU NAMBA……. BLOCK……………………………. MANISPAA YA Mkataba huu umefanyika BAINA ya…………………………………………wa Sanduku la Posta……………………Morogoro ambaye katika mkataba huu ataitwa MWENYE NYUMBA kwa upande mmoja, NA ……………………………………………………………….. WA Sanduku la Posta…………………… Morogoro ambaye...
  5. Mgambilwa ni mntu

    JamiiForums Tanzania IKULU: Utiaji saini mkataba wa ujenzi wa Stiegler's Gorge

    Rais Dk. John Pombe Magufuli akiwa na Mgeni wake, Waziri Mkuu wa Misri, Mostafa Madbouly, wanashiriki utiaji saini wa Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa kuzalisha umeme kwenye Mto Rufiji (Stieglers Gorge). Sherehe hizo zimehudhuriwa pia na Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu; Waziri Mkuu Kassimu...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa ujenzi wa Bwawa kuzalisha umeme a 'Stieglers Gorge' kusainiwa kesho tarehe 12/12/2018

    Kesho historia inaandikwa. Serikali ya Tanzania itatiliana saini Mkataba na Kampuni ya ujenzi kutoka nchini Misri ambayo ilishinda Kandarasi ya ujenzi Wa Bwawa la kuzalisha Umeme la 'Stieglers Gorge'. Bwawa la 'Stieglers' litakuwa na uwezo wa kuzalisha Megawatts 2100 za umeme, kiwango ambacho...
  7. MC RAS PAROKO

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Lemere

    Mkataba wa Lemera Gazeti la Mwanahalisi la tar. 11 Feb. mwaka 2009, katika Makuu yake yenye kichwa cha habari, Mkataba wa Kuuza Kongo lilijikiu katika anga za Virunga. likiclcza kile kiilichoitwa Vita vya Kongo kwamba ilikuwa ni utekelezaji wa Makubaliano ya Lemera y. mwaka I996, yenye shabaha...
Back
Top Bottom