Ajira za mkataba za walimu wa sayansi Ilala DSM

kamima

Member
Oct 12, 2022
6
4
Habari za wakati huu wadau, mimi ni mwanachuo niliyemaliza mwaka huu masomo Physics na Mathematics, katika pita pita zangu nimekutana na hii kwamba manispaa ya Ilala inatoa ajira za mkataba kwa walimu wa sayansi.

Nilitamani kuielewa hii kwa undani kwa watu wenye kulijua hili kwasababu pia nimepata taarifa kwamba hii imeshawahi fanyika Temeke kwa hiyo naamini watakuwepo wenye uzoefu na hili.

Mawazo yenu tafadhali namna gani ya kupata hii ajira kama kweli ipo na ufuatiliaji wake upoje.
 
Habari za wakati huu wadau, mimi ni mwanachuo niliyemaliza mwaka huu masomo Physics na Mathematics ,katika pita pita zangu nimekutana na hii kwamba manispaa ya Ilala inatoa ajira za mkataba kwa walimu wa sayansi...
Tafadhali ukipata utaratibu naomba unijulishe nami nimemaliza mwaka huu Ni Chemistry na Mathematics
 
Habari za wakati huu wadau, mimi ni mwanachuo niliyemaliza mwaka huu masomo Physics na Mathematics, katika pita pita zangu nimekutana na hii kwamba manispaa ya Ilala inatoa ajira za mkataba kwa walimu wa sayansi.

Nilitamani kuielewa hii kwa undani kwa watu wenye kulijua hili kwasababu pia nimepata taarifa kwamba hii imeshawahi fanyika Temeke kwa hiyo naamini watakuwepo wenye uzoefu na hili.

Mawazo yenu tafadhali namna gani ya kupata hii ajira kama kweli ipo na ufuatiliaji wake upoje.
Najijibu mwenyewe kwa faida ya wengine,nimetoka Halmashauri ya jiji ,mkurugenzi ametoa taarifa kwamba ajira za mkataba hazijaanza kutolewa lakini wanashauri watu wajitolee ili upate barua ya utambulisho kutoka kwao.
 
Naomba kuuliza kwani hizo barua za utambulisho unazitumia wapi?au hukupewa ufafanuzi zaid
 
Barua hiyo ni ya kukutambua kwamba unajitolea katika shule fulani , unachotakiwa kufanya ni kuandika barua ya kuomba kujitolea kwenye shule husika yani kwa mkuu wa shule then ipite kwa afisa elimu na mwisho kwa mkurugenzi ,utaipeleka manispaa wao watakupa barua ya utambulisho kutoka kwa mkurugenzi.
 
Matumizi yake ni pale ajira zikitoka mkuu wako wa shule yeye atapeleka jina lako manispaa moja kwa moja then wao wataangalia kwenye data zao kama kweli ulikuwa unajitolea na kama wanakutambua wakikuta hito barua ambayo kopi yake ulipewa basi ajira yako wewe ni moja kwa moja..unapewa kipaumbele kwa lugha nyingine

Acha kudanganyana watu hakuna mtu anayeajiriwa kwa kujitolea.
 
Kuna dogo kada ya afya anajitolea kule Mbeya mwaka wa pili huu. Ajira za mwaka jana zilizotoka hakuitwa, kazi wamepata waliokua kitaa. Sometimes kujitolea ni sawa na kutoa sadaka.
 
Back
Top Bottom