mkataba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania NCCR Mageuzi wapinga vikali mkataba wa LATAFIMA kuzuia Uvuvi ziwa Tanganyika

    NCCR - MAGEUZI wapinga vikali mpango wa serikali ya Tanzania ulioridhia kuzuia uvuvi kwa miezi mitatu mitatu katika miaka ya 2023, 2024 na 2025 ambao miezi mitatu ya mwanzo itaanza mwezi Mei 2023 ziwa Tanganyika kupumzisha uvuvi kwa miezi mitatu kisha mpango huo kurudiwa mwaka 2024 na mwaka 2025...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Tanzania yasaini mkataba wa ugavi wa madini na Tesla ya Elon Musk

    Wakati maombi yake ya leseni ya kutoa huduma za intaneti kupitia kampuni yake ya Starlink yakiwa yamewekewa kigingi na masharti ya serikali, Bilionea Mmarekani Elon Musk amepenya kwenye soko la Tanzania ambapo atanunua malighafi ya kutengenezea betri za magari ya umeme. Taarifa iliyotolewa kwa...
  3. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania TFF hawana uwezo wa kufafanua kisheria vipengele alivyokosea Feitoto kimkataba. Watarudia maneno matano tu. Feitoto ni mchezaji wa Yanga kimkataba

    Hilo ninauhakika. Hawana jeuri ya kusema kuwa feitoto alitakiwa afanye Nini kisheria. Nasisitiza hakuna hoja za kisheria zinazombana
  4. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Hersi akiri Yanga imekiuka mkataba na SportPesa

    Wakati mazungumzo yakiendelea kuhusiana na hatma ya mkataba kati ya Yanga na mdhamini wao SportPesa, Rais wa Yanga Hersi Said amekiri kuwa baadhi ya vipengele vilivyokuwa vinaibana Yanga wamevikiuka katika mkataba wake na SportPesa. Akihojiwa na kituo cha Television cha Clouds, Hersi amesema...
  5. nzahaksm

    JamiiForums Tanzania Hafla ya utiaji saini Mkataba wa Ukarabati wa Kivuko cha MV Magogoni

    Leo wakati navuka kutokea Kigamboni nimekutana na suala la kustaajabisha sana. Viti na mapambo yamewekwa eneo la mbele kidogo ukishuka kwenye kivuko kutoka Kigamboni. Kulikuwa na kivuko chetu kimesimama kutoa huduma na leo ndio kuna sherehe ya kutia saini ili ukarabati uanze mara moja. Kuna...
  6. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Mwathirika mkuu wa ndoa kwa Sasa ni mwanamke! Tubadili Sheria tufunge ndoa za mikataba muolewaji alipwe pesa kulingana na mkataba!

    Kokote unakoenda Tanzania mwanamke ni mhanga wa ndoa! Haijui kesho yake na linapotokea tatizo ni mwanamke ndie anafukuzwa, kupigwa na kudhalilishwa! Hakuna mahari mwanaume akafukuzwa! Akifukuzwa ujue ni yeye aliekuwa analelewa! Tubadili Sheria mwanamke aolewe kwa mkataba kwa usimamizi wa...
  7. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kaya 644 Magomeni kota zagomea kusaini mkataba kununua nyumba

    Dar es Salaam. Wakazi 644 wa Magomeni Kota wamegomea kusaini mkataba wa kuanza kununua nyumba hizo, kwa madai kwamba bei waliyoletewa sio rafiki na haiendani na hali ya uchumi wao. Aidha wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan aingilie kati kwa kuwa bei ya Serikali iliyowasilishwa ni kati ya Sh48...
  8. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Mwigulu mjibu Mpina ishu ya Mkataba wa SGR Tabora Kigoma

    Mwigulu Nchemba naona jana umepambana bungeni kumjibu Mpina kuhusu hoja ya Mfumko wa Bei na waliokuelewa wamekuelewa na ambao hawajaelewa hawataelewa. Kuna jambo kubwa sana Mpina amelizungumzia kuhusu Mkataba wa Kampuni ya China inayojenga reli ya SGR Tabora Kigoma nadhani ni muhimu pia umjibu...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina aanika Bungeni Ufisadi wa Trilioni 1.7 Mkataba wa SGR Tabora - Kigoma

    Mchango wa Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Joelson Mpina (Mb) akichangia kuhusu taarifa ya mwaka ya shughuli za Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu na Kamati ya Kilimo Mifugo na Maji kwa kipindi cha Januari 2022 hadi Januari 2023 Bungeni Dodoma tarehe 31 Januari 2023 Mheshimiwa Spika...
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa sportpesa na Yanga unaruhusu haya?

    Visit Tanzania ni tangazo ambalo linapaswa kufanywa na idara ya utalii na tanapa ili kuvutia wageni kuja Tanzania kuona vivutio vyetu. Matangazo kama haya huwaga na bajeti yake tena kubwa TU kwenye sekta husika. Je, mkataba unamruhusu sportpesa kuichagulia Yanga nini Cha kuweka kwenye jezi yake...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Yanga na Sport Pesa waingia mdudu baada ya Yanga kutambulisha mdhamini mpya

  12. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tanzania na kampuni ya UAE zatia saini Mkataba wa Makubaliano (MoU) wa mafuta kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya kupokea na kuhifadhi mafuta

    Serikali jana ilisaini Mkataba wa Makubaliano (MoU) na kampuni ya Falme za Kiarabu (UAE) kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya kupokea na kuhifadhi mafuta ya petroli. Mkataba huo ulitiwa saini na Wizara ya Nishati na wawakilishi wa Shirika la Emirates National Oil Company Group (ENOC) lenye...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC hivi kweli 'a Competent CEO' anaweza kupewa Mkataba wa Miezi Sita ( 6 ) na Taasisi inayojitambua?

    Sasa kama mmempa Imani Kajula kuwa CEO wa Simba SC kwa hii Miezi Sita ( 6 ) tu kwanini msimuite Kaimu CEO ili tujue moja. Acheni kudhani wana Simba SC wote hawana Akili kama mlivyo sawa? Hivi katika Corporate World na Taasisi yenye Uweledi na Umakini CEO anayepewa Mkataba wa Miezi Sita ( 6 )...
  14. mitale na midimu

    JamiiForums Tanzania Fahamu hili, kabla hujasaini mkataba wa ndoa na mwenzi wako

    Siku Ile unasaini Ile karatasi ya mkataba wa ndoa ni siku Muhimu Sana Wenda kuliko siku zote katika maisha yako yote. Siku hiyo unasaini mkataba wa Mafanikio yako katika awamu mpya ya maisha au mkataba wa kufeli kabisa katika maisha. Kabla ya kufikiri ni gauni gani utavaa, fikiri Huyu...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Klabu yavunja mkataba wa Dani Alves akikabiliwa na tuhuma za unyanyasaji wa kijinsia

    Beki wa zamani FC Barcelona ameendelea kubaki chini ya ulinzi wa Polisi jijini Barcelona Nchini Hispania kutokana na tuhuma zinazokabili wakati uchunguzi ukiendelea. Alves (39), anadaiwa kumshikashika na kumpapasa mwanamke mmoja bila ridhaa yake katika ukumbi wa muziki, Desemba 2022, tuhuma...
  16. MK254

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda yaingia mkataba na kampuni ya Uturuki kwenye SGR

    Hii ni kwa kipande cha SGR kitakachounga hadi Kenya.... After eight years of non-execution, the Uganda government has terminated the contract of China Harbour Engineering Company (CHEC) to build the country’s first phase of standard gauge railway (SGR), a 273km line from Malaba to Kampala, The...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda yavunja mkataba wa ujenzi wa SGR wa Tsh. Trilioni 5.1 na kampuni ya China, yasaini na Yapi Merkez

    Baada ya miaka 8 ya kushindwa utekelezaji, Serikali ya Uganda imesitisha mkataba wa Kampuni ya China Harbour Engineering Company (CHEC) ya kujenga awamu ya kwanza ya reli ya kisasa (SGR), njia ya kilomita 273 kutoka Malaba hadi Kampala. Njia hiyo, inayoanzia mpaka wa Malaba kati ya Uganda na...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Trucks (Canter na Fuso kwa mkataba)

    Hello. Nahitaji magari yafuatayo kwa mkataba. Kama ambavyo watu hutoa mkataba wa pikipiki na gari za Uber. Nahitaji; 1. Fuso 10 Tone. 2. Canter 3.5 Tones. Au Eicher au Tata.
  19. Mbimbinho

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Duka la vinywaji (Container, Crates na mkataba wa eneo) GOBA Njia nne

    Habari zenu, Kama title inavyosema, nina duka la vinywaji baridi na moto, ila nimeamua kuuza kutokana na kukosa msimamizi na shughuli zangu zimekuwa zinanibana sana. Hivyo Ninauza 1. Containter (20FT) Pamoja na 2. Crates za beer (TBL 78, SBL 45) 3. Soda (Coca 40, PEPSI 28) 4. PIKIPIKI TVS 5...
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Bigirimana wa EPL ataka 700M kuvunja mkataba Yanga

    Yanga ipo tayari kuachana au kumtoa kwa mkopo Gael Bigirimana kutokana na kushindwa kuonyesha kiwango bora kikosini hapo, lakini ugumu unakuja mchezaji mwenyewe hayupo tayari kutoka kwa mkopo na kama kuondoka, basi wavunje mkataba ambao Yanga italazimika kulipa zaidi ya 700 milioni za...
Back
Top Bottom