Vontec
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 232
- 363
Anaandika Edo Kumwembe... ✍️
Ninachohisi ni kwamba sio kwamba huyu Mrembo na wenzake wanamtaka Dejan...nadhani wamemuweka katika mtego kwamba yeye ndiye avunje mkataba ili wasimlipe.
ndo maana wakatoa ile taarifa. Akili nzuri. Mzungu sasa avunje tu mwenyewe. Na kama ikitokea hivyo itabidi ailipe timu.
Nadhani hapo wakutane waamue aondoke bila ya mambo ya kulipana. Uwanjani? Hajaacha pengo kwa sababu hakufikia matarajio makubwa lakini binafsi naona ana kitu na positioning yake ni nzuri.
Wakati huohuo...
Jemedari akizungumza Redioni haliibua mambo yafuatayo akichambua mahojiano ya Ahmed Ali na Waandishi:
👉 Inawezekana hakukua na mawasiliano mazuri kati ya Mchezaji (Dejan) na Club (Simba), akaongelea kuhusu kutokupewa gari(kwa mujibu wa makubaliano kwenye mkataba) na hakumaliziwa sign-in, na akaponda kauli ya Ahmed Ali kwamba ilimpasa Dejan asubiri kwakua mtu kakaa miezi miwili tu.
👉 Akaendelea Jemedari. Privacy ya mchezaji haswa wa kigeni ni muhimu mno aswa akiwa nje ya kambi, kumove kutoka sehemu moja hadi nyingine na kama hana gari itabidi agharamikie usafiri kwa pesa zake mwenyewe, na mtu unakua unajihisi unakosa privacy ikizingatiwa upo nchi ya watu.
👉 Dejan anadai Sababu ya yeye kuondoka ni kwasababu wameanza simba wenyewe ku-breach mkataba na maelewano.
👉 Anaendelea Jemedari kumponda Ahmed Ali kwa kauli yake kwamba taratibu kwenye kuvunja mkataba, kwa kuhoji: Taratibu zipi zinafuatwa kwenye kuvunja mkataba!?wao wenyewe wanaelewana kwenye mkataba wao, kwahiyo mimi kwa maelezo ya Ahmed nimekuja kugundua kwamba inawezekana, kuna shida pia imetoka upande wao (Simba) kwasababu kama humpi mtu gari haswa Dejan ambaye ni wakipee atajihisi mnyonge, rangi yake sio sawa na sisi.
Sisi tumetoka huku africa yeye ametoka mbali, yeye ni rangi nyeupe, kwenye mambo mengi yeye yupo tofauti na sisi, ni tofauti ukiwa na mganda, mzambia au mtu mwingine ambao wanaweza kubahatisha maneno mawili matatu ya kiswahili akaja mganda mwenzie maybe Agent, mkabishana bishana mkaleta uswahili wenu mkaelewana, lakini huyu ni mtu tofauti, so kwa statement zake mi nadhani ilipaswa kuwa vile yeye alivyo hili kuondoa unyonge, apewa like a special treatment, Why!? kwasababu wachezaji wa nje inabidi watimiziwe vitu kama hivyo (Magari), Kwanini!? kwasababu wao (Wachezaji wa nje), kuna vitu kama security yao, ao hawawezi kupanda daladala etc.
Watapewa magari. Sasa kwa watu kama hawa (Dejan) mahitaji yao kimkataba nadhani yangeangaliwa zaidi.
👉 So kama hakuna communication hapa kati ya muajiri na muajiriwa inaweza ikatengeneza shida, Okay kuna iyo mbayo pesa kama imelipwa yote au haijalipwa yote, kama hamuwasiliani vizuri pia inaweza ikamtengenezea shida mchezaji akaona kwamba hawa jamaa vipi!! ndo maana kuna iyo kitu imezungumzwa hapo kwamba Yeye (Dejan) amesema kwamba wameanza wao Simba ku-breach contract kwahiyo yeye ameona bora aondoke.
👉 Anamalizia Jemedari...
Lakini sasa as a human being yeye (Dejan) kama mchezaji na yeye ana utaratibu ambao anaujua kwenye mkataba, wa kwamba ukitaka kuvunja mkataba unapaswa kutoa notice ya mwezi mmoja/miwili ata wao (Club) wanakupa ivyoivyo, sasa yeye kwanini aende akaandike kwenye mitandao ya kijamii!?