mizigo

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kusafirisha mizigo kutoka Kigoma kwenda Kampala

    Hi wanajamii, Nahitaji usafiri wa haya magari makubwa nataka kuchukua mzigo kutoka Kigoma kupeleka Kampala...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Zijue mashine na mitambo mbalimbali inayotumika bandarini kupakia na kupakua mizigo na shehena mbalimbali

    Leo nakuletea orodha ya mitambo na mashine mbalimbali zilizotengenezwa mahsus kwa ajili ya kupakia na kupakia mizigo na shehena mbalimbali bandarini. 1. Reach stacker Reach Stracker ni mtambo unaotumika kupanga makontena ndani ya bandari. Mtambo huu una uwezo mkubwa wa kuinua kontena na...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Yemen yashambulia tena Meli Vita ya USA na meli ya mizigo ya biashara huko Red Sea

    Utawala wa Houthi unaoongoza sehemu kubwa ya Yemen umeshambulia tena Meli Vita ya USA pamoja na meli ya mizigo, huu ni muendelezo wake wa kujibu mashambulizi ambayo USA alifanya wiki 2 zilizopita kwenye ardhi ya Yemen lakini pia ni muendelezo wa ahadi ya Yemen kushambulia kila meli za Israel na...
  4. Influenza

    JamiiForums Tanzania Bariadi: Meya aeleza kwanini Stendi ya Mizigo eneo la Kidulya haikusanyi mapato tarajiwa

    Mstahiki Meya wa Mji wa Bariadi Mkoani Simiyu, Elias Masanja anaaelezea kinachoendelea juu ya mradi huo: “Waziri Mkuu alikuja hapa akatoa tamko kuhusu maboresho ya Stendi hiyo ya mizigo, kwanza sehemu ya kuegesha magari haijawa na miundombinu mizuri, pia hakuna ghala la kuhifadhia mizigo...
  5. Richard

    JamiiForums Tanzania Tanzania sasa yapata kibali kipya cha kupakua na kupakia mizigo Nairobi. Kenya walitaka tufuate taratibu

    Baada ya maombi ya Tanzania kupata kibali kipya cha kuruhusu kupakia na kupakua mizigo kiitwacho Fifth Freedom Traffic Rights, ndege za ATCL sasa zimeruhusiwa kutua Nairobi. Ndege za ATCL zikiwa njiani katika safari za kimataifa safari hii zitaruhusiwa kupakua na kupakia mizigo katika katika...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kenya na Tanzania zarejesheana Vibali vya Safari za Ndege

    Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), imeruhusu tena vibali vya Shirika la Ndege la Kenya (KQ) vya kuendesha safari za ndege za abiria kati ya Nairobi na Dar es salaam chini ya vifungu vya Haki za Uhuru wa Trafiki namba tatu na nne kuanzia January 22, 2024 na imetengua uamuzi wake wa jana...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Tanzania yazuia ndege za Kenya Airways kutua nchini. Ni baada ya Kenya kutoruhusu ndege za Tanzania kubeba mizigo Kenya

    Kumekucha. Kama kupata tupate wote, kwa nini unazuia ATCL isinlbebe mizigo Tanzania na kutua Kenya. Nadhani kuna haja ya kutumia forum za kidiplomasia za EAC. Vinginevyo tuambiwe EAC imeshindwa kukutanisha viongozi wake ili kutatua mambo yao kwa amani. ====== Taarifa ya Mamlaka ya Usafiri wa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nashauri kufanyike uchunguzi wa kina juu ya kinachoendelea kwenye Bandari zetu baada ya mapato kupungua huku shehena ya mizigo ikiongezeka

    Nilifuatilia maelezo ya Menejimenti ya TPA hivi karibuni waliyoyatoa kupitia vyombo vya habari. Maelezo yao yalikuwa ni kwamba shehena imeongezeka zaidi ya matarajio yao kwa meli nyingi zaidi kushushia mizigo kwenye bandari zetu hususan bandari ya Dar. Hata hivyo,viongozi hao hawakutaka...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania India yaapa kulipiza kisasi kwa shambulizi lililofanywa kwa meli yenye mizigo yake - Iran ijiande

    Ugaidi wa kidini unaifanya Iran izidi kutengeneza maadui hata kule ambapo hakukua na ugomvi. Ikumbukwe India ni ya nne kwa ubabe wa kijeshi duniani. New Delhi’s defense officials vowed to bring those responsible for the recent attacks on two predominantly Indian-crewed merchant vessels to...
  10. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bandari ya Mombasa haijawahi kupokea mizigo kama wakati huu, meli zinachepuka kutoka Dar

    Hivi kuna nini bandari ya Dar, je mwarabu aliyepewa kashindwa? Maana meli nyingi zimetamaushwa kwa kusubirishwa Dar hadi zimegeuza na kushushia mizigo Mombasa.... Nakumbuka mwarabu alipewa bandari zote baada ya Wabongo kushindwa, itabidi hatimaye zipewe mzungu maana hata mwarabu ni wale wale...
  11. 5

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kampuni bora ya kusafirisha mizigo kutoka china kuja Tanzania Kwa ndege (zinazosafirisha simu)

    Wakuu naomba msaada wa kampuni Bora inayosafirisha simu za viswaswadu na smart phones Kwa haraka kuja Tanzania Kwa haraka Kwa njia zote mbili ndege na meli angalau mwezi mmoja niwe nimepokea mzigo. Kuna kampuni Zina ahadi hewa Hadi inaboa, tumia uzoefu wako. Itapendeza ukiambatanisha na gharama...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Marekani lakamata magaidi 5 walioteka meli ya mizigo ya Muisraeli

    Jeshi la Marekani limewakamata washambuliaji watano waliokamata meli ya mizigo yenye uhusiano na Israel katika Ghuba ya Aden huku kukiwa na mashambulizi ya makombora kutoka Yemen inayodhibitiwa na Wahouthi. Mwangamizi USS Mason alijibu siku ya Jumapili wito wa SOS kutoka kwa meli ya kibiashara...
  13. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pallet kwa ajili ya kubebea mizigo inauzwa. Zipo Moshi Mjini

    Habari , ninauza pallet mahususi kwa ajili ya kubebea mizigo ni imara na zinadumj maana zimetengenezwa na ni mpya Zipo hapa. Moshi mjini Mawasiliano ni. 0672701329 Bei 25,000 kwa kila pallet.... Na pia zinafaa hata kutumika madukani kuwekea mizigo , friji na kazalika... Karibuni wandugu.....
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wabeba Mizigo Mlima Kilimanjaro Wanalipwa Kiasi gani kwa siku?

    Wakuu swali langu ni hilo wale wagumu aka ma-porter wanaopanda Mlima Kilimanjaro Wanalipwa Kiasi gani kwa siku au kwa mwezi?
  15. M

    JamiiForums Tanzania SHOPPING SERVICES: Nanunua, nafunga na kusafirisha bidhaa kutoka Kariakoo kwenda mikoa yote Tanzania na nchi jirani

    NANUNUA,NAFUNGA NA KUSAFIRISHA BIDHAA KUTOKA KARIAKOO KWENDA MIKOA YOTE TANZANIA NA NCHI JIRANI. HUDUMA ZA ZIADA 📌Nafuata,nafunga na kusafirisha bidhaa iliyokwisha kununuliwa Kariakoo kupitia mitandao kama fb na insta. 📌Nafanya ukaguzi na kuhakiki ubora wa bidhaa uliyonunua kariakoo kupitia...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TAZARA yatoa taarifa ya ajali ya Treni ya abiria na mizigo zilizogongana uso kwa uso maeneo ya Mwakanga, 62 wajeruhiwa

    Pia soma: TAZARA: Treni ya abiria na mizigo imegongana uso kwa uso maeneo ya Mwakanga, 62 wajeruhiwa
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Treni ya abiria na mizigo imegongana uso kwa uso maeneo ya Mwakanga, Oktoba 18, 2023

    Kuna ujumbe huu unasambaa kwenye mitandao ya kijamii juu ya ajali ya treni kugongana uso kwa uso, mwenye taarifa kamili atupatie, inasemekana imetokeo usiku huu Jumatano Oktoba 18, 2023. Ujumbe unaosambaa na video hiyo unasema "Ajali hii imetokea usiku huu hapa station ya Mwakanga, treni ya...
  18. DUMEGUY

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua Wasafirishaji mizigo kwa anga kutoka UK to Tanzania?

    Habari, mwenye kujua kampuni kongwe inayohusika na usafirishaji mizigo kutoka Uk ilionunuliwa kupitia ebay au amazon ama duka lolote, nitashukuru kwa msaada
  19. Webabu

    JamiiForums Tanzania Ndege yatua Uhispania na abiria kamili bila mizigo yao

    Usafiri wa ndege ni usafiri wa raha na wa haraka zaidi. Pamoja na hivyo ni moja ya usafiri wenye vituko vingi zaidi. Wiki mbili zilizopita ndege moja huko Marekani ilibidi irudi ilikotoka baada ya abiria mmoja kuchafukwa na tumbo na kuichafua ndege nzima. Juzi tena tarehe 11 ndege ya shirika...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Na sisi Wasafirishaji wa abiria na Mizigo tutatangaza nauli mpya

    Kwanza naomba nikiri kwamba mimi ni miongoni mwa wasafirishaji wa mizigo na Abiria ndani na nje ya nchi . Nimetumiwa Private message kwamba kutakuwa na kikao Alhamisi hii cha kujadili ongezeko la Nauli kutokana na kupanda kwa gharama za mafuta . Nitawajulisha kitakachojili . Usiku mwema .
Back
Top Bottom