Mwenye kujua Wasafirishaji mizigo kwa anga kutoka UK to Tanzania?

DUMEGUY

JF-Expert Member
Aug 15, 2014
500
204
Habari, mwenye kujua kampuni kongwe inayohusika na usafirishaji mizigo kutoka Uk ilionunuliwa kupitia ebay au amazon ama duka lolote, nitashukuru kwa msaada
 
Kama unataka tu kwa ebay na Amazon hata Aramex wanatoa Hio huduma
Aramex bei zao si mkasi sana mkuu.
kwa mfano unakuta yale ma Dell Optiplex ya zamani yenye i7 5th gen, ebay ukiwa mfatiliaji unaweza yapata mpaka kwa bei 70$ ila usafiri unaambiwa 300$, hapo si balaa mkuu.
 
Mizigo mizito mizito unapakia zako Silent ocean ,naona wana ship from US saizi
 
Screenshot_2023-11-04-11-38-51-174_com.whatsapp.jpg
 
Back
Top Bottom