Jeshi la Marekani lakamata magaidi 5 walioteka meli ya mizigo ya Muisraeli

Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
12,902
15,331
Jeshi la Marekani limewakamata washambuliaji watano waliokamata meli ya mizigo yenye uhusiano na Israel katika Ghuba ya Aden huku kukiwa na mashambulizi ya makombora kutoka Yemen inayodhibitiwa na Wahouthi. Mwangamizi USS Mason alijibu siku ya Jumapili wito wa SOS kutoka kwa meli ya kibiashara ambayo ilikuwa imechukuliwa na washambuliaji wenye silaha katika Ghuba, Kamanda Mkuu wa Marekani alitangaza.
---
US destroyer USS Mason responds to a distress call from an Israel-linked commercial tanker in the Gulf of Aden.
The US military has captured five attackers who seized an Israel-linked cargo ship in the Gulf of Aden amid missile attacks from Houthi-controlled Yemen.

The destroyer USS Mason responded on Sunday to an SOS call from a commercial tanker that had been taken over by armed assailants in the Gulf, US Central Command announced.

The Liberian-flagged tanker, which had been hauling phosphoric acid, was identified as the Central Park by the vessel’s company. The ship is managed by Zodiac Maritime Ltd, a London-headquartered international ship management firm, owned by Israel’s Ofer family.

The US military said the USS Mason, with help from allied ships, demanded that the commercial ship be released by the attackers.

“Subsequently, five armed individuals debarked the ship and attempted to flee via their small boat,” US Central Command said in a statement. “The Mason pursued the attackers resulting in their eventual surrender.”

The statement added that two ballistic missiles were fired from Houthi-controlled parts of Yemen in the general direction of the Mason and the Central Park, but landed about 10 nautical miles away from the vessels, resulting in no damage or injuries.

 
Hawasemi kweli hao, wamarekani wameipiga missiles hiyo meli na kuua wote, wafanyakazi wa melini na walioiteka.

Hapo imetumika "Hannibal declaration" ya mazayuni, wameogopa tanker hilo limebeba makemilkali.
 
Waislamu wa Buza wamekuwa kimya sana, yaani kwa uhalisia Yemen haitaweza teka meli tena
We huelewi akili zao hao na misuli yao wamekunjia juu ili waende choo vizuri wanaona wametoboa watafungwa Marekani.
Kumbe hawajui kuna jela kule inaitwa Angola.
Na US kupigwa kifungo miaka 200 no parolle ni kawaida tu.
Mnaishia jela kulima kabichi tu.
 
Waislamu wa Buza wamekuwa kimya sana, yaani kwa uhalisia Yemen haitaweza teka meli tena
FAKE NEWS
WALIOKAMATWA NI MAHARAMIA WA KISOMALI SIO WA YEMEN


Pentagon:

"The militants we captured were Somali Pirates and not Yemenis"

Yemenis forced the Americans to retract their lies and tell the truth for once
IMG_20231128_015118.jpg
 
FAKE NEWS
WALIOKAMATWA NI MAHARAMIA WA KISOMALI SIO WA YEMEN


Pentagon:

"The militants we captured were Somali Pirates and not Yemenis"

Yemenis forced the Americans to retract their lies and tell the truth for onceView attachment 2827150

Wote ni magaidi tu either Somalis or Yemenis washughulikiwe.! Ikiwezekana wawaishwe peponi kwenye bikira 72 na mito ya Heineken
 
Hawasemi kweli hao, wamarekani wameipiga missiles hiyo meli na kuua wote, wafanyakazi wa melini na walioiteka.

Hapo imetumika "Hannibal declaration" ya mazayuni, wameogopa tanker hilo limebeba makemilkali.
Kwa hiyo wewe ni miongoni mwa hayo magaidi yaliyowahishwa kuchukua mabikra 72?
 
Back
Top Bottom