mizigo

  1. Sam 2023

    JamiiForums Tanzania Kampuni bora za mabasi na kampuni za usafirishaji mizigo

    Habari wakuu, poleni na kazi. Napenda kupata majina ya kampuni 5 bora za mabasi hapa nchini kwa ajili ya kushiriki tuzo. Vigezo ni 1. Ubora wa huduma 2. Mwendo mzuri (50/80) 3. Lugha nzuri kutoka kwa wahudumu na wasaidizi 4. Usafi wa mabasi 5. Maslahi kwa wafanyakazi wa mabasi hayo. Pia...
  2. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Kuhifadhi mizigo

    Aisee shughuli ya kuhamisha vitu while looking for a house ni kimbembe si cha dunia hii. Hivi business people wameshindwa kabisa kuweka kama warehouses for people to rent kasehemu hapa mjini kuweka vitu kwa muda kwa mwezi kwa bei nafuu kwa sisi walala hoi Jaman. Kuliko kuanza kutafuta nyumba...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Agent from Turkey To Tanzania

    Wakuu..naomba kujua freight forwarder wa kulete mizigo kutoka Uturuki mpaka Tanzania. Wawe waaminifu na gharama nafuu.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji usafiri wa mizigo kutoka Himo mpaka Kisongo Arusha

    Habari wakuu. Nahitaji usafiri wa mizigo kutoka Himo mpaka Kisongo Arusha. Mzigo wa tani Moja ukiwa kwenye magunia au viroba. Naomba price quote. Ni biashara endelevu.
  5. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Jimbo la Hai anza kufungasha mizigo yako mapema

    Kwa masikitiko makubwa, kila Jimbo Tanzania linapokea fedha za mfuko wa Jimbo kwa maendeleo ya Jimbo. Huu ni mwaka wa 3 Jimbo la Hai halijawahi kuona au kupokea fedha za mfuko wa Jimbo kwa ajili ya ujenzi wa maendeleo ya Hai. Mbunge Saashisha Mafue akiulizwa anataka kukata watu na mapanga...
  6. Akabi kemanya

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye uzoefu wa kampuni ya kusafirisha mizigo

    Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamuhuri, Nielekee kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyo jieleza Mimi natami kuanzisha kampuni ya usafirishaji wa mizigo ndani ya nchi ila changamoto kubwa kwangu sina uzoefu wa hii kazi kwa mwenye uzoefu tafadhari Nivitugani vya kuzingatia kabla na baada ya...
  7. mike2k

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa zaidi ya billion 80 kwenye ununuzi wa ndege ya mizigo

    Leo katika kupitia pitia masuala ya nchi nakutana na article katika gazeti la mwananchi kuhusu ufisadi wa zaidi ya billion 80 kwenye ununuzi wa ndege ya mizigo. Kulingana na ripoti ya Mhasibu Mkuu na Mdhibiti (CAG) ya hivi karibuni, kasoro katika bei ya ndege mpya ya mizigo ya Air Tanzania...
  8. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Waliopokea ongezeko la gharama za ununuzi wa ndege ya mizigo waachie nafasi zao watupishe

    Kuna watu wameongeza 110% kwenye gharama za Ununuzi wa Ndege ya Mizigo. Nadhani Sasa Mh. Rais ameanza kuwafahamu Watanzania. Hawa watu msiishie kuwafuta kazi waende mahakamani. Hii Nchi watu Kuiba ni sehemu ya maisha Yao so kuwasimamia Kwa kuwabembeleza watakutafuna Hadi ukome. Watanzania...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mashimba Ndaki ametumbuliwa. Je, Mawaziri Mizigo wamekwisha Serikalini?

    Mashimba Ndaki aliyekuwa Waziri wa Uvuvi, ameshatumbuliwa kutokana na kile kinachotajwa utendaji kazi mbovu wa kusimamia wizara hiyo na sasa yuko benchi kuungana na kina Prof. Palamagamba John Kabudi, William Lukuvi, Dk. Medard Kalemani, Prof. Kitila Mkumbo, Geofrey Mwambe, Dk. Faustine...
  10. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa malori ya mizigo wamekuwa kero kwa abiria Stendi ya Kilombero

    Kituo cha magari madogo ya abiria Kilichopo kilombero jijini Arusha maarufu kama stand ya Kilombero kimezidiwa na wingi wa shughuli nyingi za kiuchumi hususani biashara tofauti na Lengo kuu la kituo hicho cha daladala. Kituo hicho ndio kitovu cha daladala karibu zote zinazoelekea sehemu...
  11. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Kwanini magari ya Azam yakiwa na mizigo hayapiti kupima mzani?

    WanaJf, Salaam! Nimefuatilia kwa KARIBU sana na kugundua kiwa MAGARI ya mizigo ya kampuni ya AZAM na GBP huwa hayapiti kupima uzito wa mizigo yao kwenye mizani ya TANROADS. Hii sababu gani? Nikiwa na gari la namna hiyo nitumie njia ipi nami lisipime uzito? M. Kabende China
  12. dubu

    JamiiForums Tanzania Abiria wa Precision Air, Walazimishwa kuacha mizigo Mwanza kwamba ndege imejaa

    Mwanza: Wasafiri ya Ndege ya Precision Air, Wakatazwa kupanda na mizigo yao kwa sababu ya ndege kujaa sana na haina uwezo kwa sababu za kiufundi Kitendo hicho kimewatia wasiwasi wasafiri wa ndege hiyo ambao imechukua masaa mawili hadi kukubali kupanda ndege hiyo ambayo walitaka maelezo ya kina...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Kuagiza ama kuuza mizigo (Internatianal trade)

    Habari za muda wanajukwaa. Mimi nina rafiki yangu aliepo Asia (korea) wakati wa kujadili Idea za hela akaniambia yeye anafanyaga pia International trade. Akaniambia kuwa maaana yake ni yeye ni mtafuta masoko wa kimataifa anatuma mizigo kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine ama bara jingine...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Katani: Bashe na Mwigulu ni mawaziri mizigo. Wanaumiza wananchi. Amwaga machozi kwa kutukanwa kujadili uganga.

    Video hii hapa.
  15. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Meli ya mizigo ya Tanzania imepinduka Kusini mwa Iran

    Meli ya mizigo ya Tanzania iitwayo Anil imepinduka katika bandari ya Assaluyeh Kusini mwa Iran Siku ya Jumanne, Januari 24 kutokana na mpangilio mbaya wa Makontena kwenye bodi. Ajali hiyo imetokea katika Bandari inayohusika na kemikali za petroli na gesi zinazozalishwa nchini Iran iliyopo...
  16. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania New Force/ Golden Deer acheni uhuni kwa mizigo ya abiria

    Ninapenda kutoa huu mkasa kama ifuatavyo. Tarehe 12/1/2023 nimetuma mzigo kutoka DSM kwenda Mbeya kama inavyoonekana kwenye risiti. Nimekabidhi ofisi ya Mbezi imeandikwa Golden Deer na Newforce ipo flow ya pili mwisho kabisa jirani na sehemu ya chakula. Mzigo nilitwgemea tarehe 13 Januari ufike...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Maboresho TPA yaongeza meli, mizigo

    Uboreshaji unaoendelea katika sekta ya bandari nchini umeongeza ufanisi na kati ya Oktoba hadi Desemba idadi ya meli zilizohudumiuwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) zimeongezeka. Msemaji Mkuu wa serikali, Gerson Msigwa alisema jana mjini Dodoma kuwa kipindi hicho meli zilizohudumiwa na TPA...
  18. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Kutujengea reli halafu tukatane kwenye mizigo anayosafirisha, sio utapeli wa Kimataifa?

    Kuna harufu ya UTAPELI wa kimataifa, Habari SERIKALI kuchukua mkopo kienyeji kienyeji na kisha kukatana kwenye usafirishaji imetoka wapi ?? Utaratibu wa wauza mazao wakileta mizigo kwa mafuso ndio serikali inataka kutumia kwenye SGR na treni zetu mpya ambazo zote ni za mkopo. Awepo mwamba...
  19. Financial

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kutumia FUSO kubeba mizigo ya semi trailer

    Habari wana jf, Nlikuwa nafuatilia juu ya Mitsubishi Fuso Fighter horse ambayo ina 11700 cc ukubwa wa engine yenye uzito kwa horse pekee 6300kg nikaona inafanana cc na scania 124 . Je, naweza kutumia hiii gari kubeba mizigo tani kama za scania ? Ni zipi changamoto za hizi gari kwa hizi kazi...
  20. Execute

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Morocco ninaamini mmeshamaliza kupakia mizigo yenu, ndege inaondoka baada ya swala ya Isha

    Ndugu zangu kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho. Mara baada ya adhana jioni ya leo majira ya saa mbili kasorobo tutakuwa tunatoka uwanjani na tukimaliza kuswali ndege itakuwa inaondoka. Tunawatakia safari njema na tutakuja marakesh kutalii hivi karibuni.
Back
Top Bottom