mizigo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Stendi ya Mizigo Bariadi ya Bilioni moja, inakusanya Sh. 0 Mwezi mzima

    Kuna vitu huwa vinachekesha sana kwenye hii nchi yetu, unafikiria kweli tunao watalaamu wa kutosha? Wanaoweza kung’amua mambo na yakawa sawa? Yakaleta tija kwa taifa? Angalieni hiki kituko, uko katika Wilaya ya Bariadi, Halmashauri ya Mji wa Bariadi ndani ya Mkoa wa Simiyu. Halmashauri hiyo...
  2. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Stendi ya Mizigo Bariadi ya Tsh. Bilioni moja, inakusanya Tsh 0 Mwezi mzima

    Kuna vitu huwa vinachekesha sana kwenye hii nchi yetu, unafikiria kweli tunao watalaamu wa kutosha? Wanaoweza kung’amua mambo na yakawa sawa? Yakaleta tija kwa Taifa? Angalieni hiki kituko katika Wilaya ya Bariadi, Halmashauri ya Mji wa Bariadi ndani ya Mkoa wa Simiyu. Halmashauri hiyo...
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Kama mbwai iwe mbwai: Ukraine kupiga mabomu meli zinazopeleka mizigo Urusi

    Urusi juzi ilitangaza kupiga meli zinazoenda Ukraine, haya na Ukraine wamejibu, watapiga meli za mizigo zinazopita baharini kwenda Urusi. KYIV, July 20 (Reuters) - Ukraine's Defence Ministry said on Thursday it would consider all ships travelling to Russian ports and Ukrainian ports on the...
  4. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mizigo ya wafanyabiashara imekwama Swiss port airport JK Dar

    Inadaiwa marekebisho ya mfumo yamepelekea mizigo kukwama airport kwa wiki sasa na hakuna taarifa ya lini mfumo utakaa sawa.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliweza kuondoa ucheleweshaji mizigo bandarini? Mbona hakutuambia Watanzania hatuwezi? CCM kwanini tunajidhalilisha?

    Hoja iliyopo midomoni mwa watumishi wa serikali na watawala nikutuaminisha kwamba mizigo inacheleweshwa bandarini. Lakini miaka miwili nyuma tulisifia sana ufanisi wa bandari. Je haiwezekani kwamba tuliopo sasa tumeiua bandari? Magufuli aliwezaje kuwatumia watu hawahawa akapata tija hadi sote...
  6. benzemah

    JamiiForums Tanzania Ndege Mpya ya Mizigo ya ATCL imeanza rasmi safari zake leo 7 Julai 2023

    Kampuni ya Ndege Air Tanzania (ATCL) leo imeanza safari yake ya kwanza ya ratiba ya kusafirisha mizigo kwa kutumia ndege yake ya mizigo Boeing 767-300F iliyowasili nchini mapema mwezi Juni 2023 ambapo mzigo wa leo unasafirishwa moja kwa moja kwenda Dubai kwa muda wa saa tano tu. Mkurugenzi wa...
  7. Exorcist

    JamiiForums Tanzania Watanzania milioni 60 tumeshindwa kununua Crane za kushusha mizigo kwa ufanisi bandarini?

    Tanganyika tunalipa Trillion 12 kila mwaka ikiwa ni pamoja na riba za madeni tuliyokopa. Sasa najiuliza katika mikopo yooote hii tunayolipa, hakuna hata trillion 1 iliyotumika kununua Crane kubwa kama za DPWorld? Zinauzwa trillion ngapi kwani hizi mashine?
  8. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Zambia na Congo zaanza kutafuta njia mbadala kusafirisha mizigo yao

    Wakati wajinga fulani nchini Tanzania wakipigana kufa na kupona kuzuia jitihada za Serikali kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa na ufanisi ili kukamata soko la Afrika Mashariki na Kati huku Serikali ikiendelea kupata shida kutokana na wajinga hao kuendelea kusisitiza ujinga wao, mataifa...
  9. Smith Rowe

    JamiiForums Tanzania Naweza kupata gari la mizigo linalotoka Morogoro to Moshi.?

    Habari wazee, Nahitaji usafiri ijumaa ijayo nina vitu vichache(vitu vya ndani) vya kusafirisha kutoka Morogoro(mzumbe) kwenda Moshi(himo) siku ya ijumaa ya wiki ijayo ya tarehe 7 mwezi wa 7. Usafiri wa magari ya mizigo inayotoka mikoa yoyote ila inapita morogoro au hata kama gari linaanzia...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TPA: Tumechagua DPW kwa kuwa mizigo mingi inatoka Mashariki ya Kati

    Katika Club House inayoendelea, Mkurugenzi wa TPA, Prostus Mbosa amesema wameichagua DP-World kwa kuwa mizigo mingi ambayo Tanzania inapokea inatokea Mashariki ya kati ambapo DPW alionekana ni msihirika bora ukilinganisha na Maersk na wengineo Amesema kwa sasa bandari katika high season huwa...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Iwasimamie Wasafirishaji wa Mizigo Kutoka Nje ya Nchi ili Ipate Kodi Halisi Kutoka kwa Wafanyabishara

    MHE JULIANA MASABURI AISHAURI SERIKALI IWASIMAMIE WASAFIRISHAJI WA MIZIGO ILI KUPATA KODI HALISI KWA WAFANYABIASHARA Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa Mhe. Juliana Didas Masaburi tarehe 23 Juni 2023 amechangia hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2023-2024 na kutoa mapendekezo...
  12. comte

    JamiiForums Tanzania Iko hatari ya bandari kubaki bandari bila mizigo

    Ukiingia kwenye mtandao wa SPLASH 247.COM utaona makampuni ya usafirishaji wa mizigo duniani yanavyoshidana kumiliki pia bandari maeneo mbalimbali duniani. Hii inaashiria kuwa kila mwenye mizigo atapeleka kwenye bandari zake tu labda alazimike kufanya pale ambapo hatakuwa na namna...
  13. benzemah

    JamiiForums Tanzania Ndege Mpya ya Mizigo ya ATCL Kuanza Kazi Wiki Ijayo

    Ndege mpya ya mizigo aina ya Boeing 767-300F iliyonunuliwa na serikali itaanza kazi ya kusafirisha mizigo nje ya nchi Juni 26, mwaka huu. Hayo yalibainishwa na Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), Sarah Reuben Reuben alisema kuanzia Jumatatu ijayo, ndege hiyo itaanza kusafirisha...
  14. polokwane

    JamiiForums Tanzania Wengi wanaopiga kelele kuhusu bandari ni wapitisha mizigo kimagendo bandarini

    Baada ya kufanya utafiti mdogo imebainika kuwa wengi wa wapiga kelele kuhusu bandari ni wale walio zoea kupitisha mizigo kimagendo yaani kupitisha mizigo kwa kukwepa kulipa malipo halali. Lakini wengine ni lile kundi ambalo lina danganya nyaraka mfano mtu kaingiza kontena 100 akidai kwamba...
  15. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Halima Dendego ni moja ya Wakuu wa Mikoa mizigo

    Leo hii kumekuwa na mgomo mkubwa wa wafanyabiashara wa maduka Iringa. Sababu iliyopelekea kuwa na mgomo mkubwa, ni maamuzi ya kijinga sana ya Mkuu wetu wa Mkoa kutaka kila duka livunjwe vibaraza, yani cap za maduka ziondolewe. Migambo wametumwa usiku kuvunja hivyo vibaraza. Mkuu huyu wa mkoa...
  16. Offshore Seamen

    JamiiForums Tanzania Serikali ipambane Gharama za Bima ya kuisafirisha mizigo zilipwe kwa kampuni za Tanzania kuongeza pesa za Kigeni

    Katika biashara ya kuagiza na kusafirisha mizigo nje ya nchi kuna gharama za bima ya mzigo (Insurance). Kwenye terms za kimataifa za usafirishaji kipengele cha CIF (Cost Insurance and Freight). Mnunuzi au muuzaji hukubali kulipa bima ili mzigo usafiri salama na kukingwa na majanga yoyote...
  17. The Tomorrow People

    JamiiForums Tanzania Ndege ya mizigo Boeing 767-300F ilibadilishwa jina kutoka “Hapa KaziTu" kwenda "Kazi Iendelee”

    Niende moja kwa moja! Picha za mwazo Kutoka Boeing ndege yetu ya mizigo ilikuwa na chapa ya Lake Tanganyika (Hapakazi Tu) lakini wakati wa makabidhiano inasomeka Lake Tanganyika (Kazi Iendelee). Je, tatizo ni nini?
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa Ndege ya Mizigo iliyonunuliwa na Serikali ya Tanzania

    Aina - Boeing 767-300F Uzito wa Mzigo - Tani 52.7 (Futi 15,469) Kasi (Speed) - Kilomita 850/900 kwa Saa Ujazo wa Mafuta - Lita 90,770 (Inatumia Dakika 28 hadi kujaza matenki yote) Uzito wa Jumla - Kilogramu 185,060 Eneo la Kurukia - Mita 2408 Eneo la Kutua - Mita 1829 Chanzo: Boeing/Epic...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Boeing imekabidhi ndege ya mizigo aina ya Boeing 767-300F, Magufuli atajwa

    Kampuni ya kutengeneza ndege ya Boeing ya nchini Marekani imekabidhi ndege ya mizigo aina ya Boeing 767-300F kwa Wakala wa Ndege za Serikali Tanzania (TGFA) tayari kwa safari ya ndege hiyo kutoka Marekani na kuja hapa nchini Tanzania. Makabidhiano hayo yamefanywa katika kiwanda Boeing kilichopo...
  20. benzemah

    JamiiForums Tanzania Ndege Mpya ya Mizigo Iyafikie Masoko ya Nje

    Kesho Tanzania itapokea ndege ya mizigo. Hatua hii ichukuliwe kwa uzito wa pekee na wafanyabiashara wakubwa na wadogo. Ndege hiyo kubwa ya mizigo aina ya Boeing 767-300F itakuwa na uwezo wa kubeba tani 54 za mizigo na kusafiri katika nchi za Ulaya, Asia na kwingineko ambako soko litapatikana...
Back
Top Bottom