Wabeba Mizigo Mlima Kilimanjaro Wanalipwa Kiasi gani kwa siku?

Mara ya mwisho ilikuwa 20000 per day + akipewa tip hapo anajazia
Kwa sasa sijui itakuwa kiasi gani,ngoja wajuvi waje watupe bei ya sasa

Ova
15 ila wazungu wema huwapa tip nzuri hadi dola 100
Shukrani wakuu maana nisingependa kwenda kutafuta kazi huko pasipo kujua Wanalipwa Kiasi gani kwa siku lkn kama malipo yanaanzaia 15 basi ngoja nijisogeze Moshi.
 
Hii ishu serikali matamko yanakua mengi. Makampuni mengi bado yananyonya wafanyakazi wao kuanzia porter mpishi na Guide.

Imagine kampuni inalipa 5,000/= kwa siku kama mshahara bado kwa wageni napo unakuta wamechukua hela yote hadi ya tipping.

Suluhisho ni kuwa namna wanavyochaji park fees , itumike utaratibu huo huo malipo ya mishahara yawe zinapelekwa details za hela iliyowekwa kwenye account za waliofanya kazi ili siku ya kushuka kampuni inaonyesha slip zilizofanya hayo malipo kwenye geti la kutokea

Bila hivyo watu tunatumia nguvu nyingi ila malipo kidunchu, na ukiikataa kazi mwingine anakwenda
 
Hii ni hatari mkuu kupanda ule Mlima uje ulipwe 5,000 kwa siku ni pesa ndogo sana ukizingatia ile mizigo wanayobeba ma-porter huwa naiona ni mizito sana na huwa wanatakiwa waibebe mpaka juu.
Bila hivyo watu tunatumia nguvu nyingi ila malipo kidunchu, na ukiikataa kazi mwingine anakwenda
Hii hali niliikutaga pale Nyegezi stand Mwanza kipindi inajengwa watu walikuwa wanalipwa pesa ndogo sana upande wa zege 6,000 au 7,000 kwa siku na walikuwa watu wakigoma wengine wanaikubali. Kazi ya kulipwa 12,500 unalipwa 7,000.
 
Hii ishu serikali matamko yanakua mengi. Makampuni mengi bado yananyonya wafanyakazi wao kuanzia porter mpishi na Guide.

Imagine kampuni inalipa 5,000/= kwa siku kama mshahara bado kwa wageni napo unakuta wamechukua hela yote hadi ya tipping.

Suluhisho ni kuwa namna wanavyochaji park fees , itumike utaratibu huo huo malipo ya mishahara yawe zinapelekwa details za hela iliyowekwa kwenye account za waliofanya kazi ili siku ya kushuka kampuni inaonyesha slip zilizofanya hayo malipo kwenye geti la kutokea

Bila hivyo watu tunatumia nguvu nyingi ila malipo kidunchu, na ukiikataa kazi mwingine anakwenda
Duh 5000 kwa tena walikuwaga wanalipwa $9 hivi...
Sema tip ndiyo ilikuwa inawafanya waishi pia..
Usiniambie sahv makampuni wanazuia mpaka tip za ma porters

Ova
 
Shukrani wakuu maana nisingependa kwenda kutafuta kazi huko pasipo kujua Wanalipwa Kiasi gani kwa siku lkn kama malipo yanaanzaia 15 basi ngoja nijisogeze Moshi.
Pia ukweli ni kuwa hazipo kila siku na ni kazi nzito balaa.huwa wanapeana kikabila na wanachama Chao mambo ya kupambana siwezi changia ila mm.huwa naona hawana maisha bora huko dar unaweza Pata 10 ya kila siku kuliko huku ni ya msimu wanaweza sababu wanakaa nyumba za bure za familia
 
Duh 5000 kwa tena walikuwaga wanalipwa $9 hivi...
Sema tip ndiyo ilikuwa inawafanya waishi pia..
Usiniambie sahv makampuni wanazuia mpaka tip za ma porters

Ova
Sio kuzuia, yaani pesa ya tip wanachukua kwa mgeni mwisho wa siku nayo bado wanaikata
 
Pia ukweli ni kuwa hazipo kila siku na ni kazi nzito balaa.huwa wanapeana kikabila na wanachama Chao mambo ya kupambana siwezi changia ila mm.huwa naona hawana maisha bora huko dar unaweza Pata 10 ya kila siku kuliko huku ni ya msimu wanaweza sababu wanakaa nyumba za bure za familia
Umemaliza.
 
Kipindi flani tumemaliza six tulikua tunapiga hizo cargo.walikua wanatoa 15k per day ila inategemea na kampuni husika.
Sema siku mmeshuka kutoka mlimani wazungu hasa ukutane na mmarekani awe amekuelewa anakuachia tips za kueleweka.ila ukiwa na mapafu pesa ipo kule,kuna jamaa angu amefanya hizo mambo mpaka saivi ana kampuni yake ya tours.
 
Nadhani wana standard rates ila kuna makampuni yanafanya uhuni na pia uhaba wa fursa hao wadau wanachukua mpaka elfu5 -10, very stressful indeed
 
Back
Top Bottom