miti

  1. GoldDhahabu

    Mimea ina akili?

    Huo hapo chini ni mche wa tunda la PASHENI. Inafahamika kuwa katika ukuaji wake, hutambaa juu ya miti au egemeo litakalokuwa jirani yake. Nilikuwa nasubiri ukue vya kutosha ndipo niuwekee egemeo. Lakini nimeshangaa kukuta umeshajisogeza kwenye fensi na kuendelea kukua kwa kuukwea. Hakuna mtu...
  2. Webbyllon

    Nahitaji wavuna mikaa na kuni tuongee biashara juu ya eneo langu

    Nina ShambaPori lenye ukubwa wa heka 100 lipo Gwata mkoa wa Pwani ambalo limejaa miti mikubwa sana hivyo natafuta maboss ambao watahitaji kuvuna mikaa na kuni tuongee biashara napatikana kwa namba 0743699500 for call/whatsapp.
  3. Clayton Paul

    Waelewe Watu kupitia Miti

    AINA 3 ZA WATU KATIKA MAISHA YAKO.. 1. Watu Majani 2. Watu Tawi 3. Watu Mizizi Watu Majani: Hawa ni watu ambao wanakuja katika maisha yako kwa msimu tu. Huwezi kuwategemea kwa sababu ni dhaifu. Wanakuja kuchukua tu wanachotaka, lakini upepo ukija wataondoka nao. Unatakiwa kuwa makini na hawa...
  4. Mr Dudumizi

    Mgogoro wa Bandari na Vita vya Misemo: Kupanguliwa kwa Mipango na Uongozi

    Habari zenu wanaJF wenzangu? Kwa wale tuliokuwa tunafuatilia methali, na misemo mbali mbali ya wahenga shuleni. Bila shaka mnaukumbuka msemo huu unaosema kuwa siku ya kufa nyani basi miti yote atakayoshika itamtereza. Msemo huu kwa wale vichwa nazi mnaweza kuuchukulia poa, lkn kiuhalisia una...
  5. J

    SoC03 Tusichoke kupanda miti

    Nakumbuka namna ambavyo kampeni ya upandaji miti ilivyokuwa na mwitikio mkubwa miaka ya nyuma kidogo hasa mwishoni mwa miaka ya tisini na mwanzoni mwa miaka ya 2000. Kampeni Ile ni Kama ilizimika au imepungua Sana Ile nguvu yake, msingi wa hoja ya kuishadidia kampeni hii ni uhalisia wa hali ya...
  6. Blance93

    INAUZWA Mashine ya kukatia miti chainsaw inauzwa

    Chainsaw aina ya Newtop inauzwa Imetumika miezi mitatu,ipo katika hali nzuri kabisa haina tatizo lolote,nililinunua kwa ajili ya kuandaa shamba sasa nimemaliza sina uhitaji nayo tena ndo maana nimeamua kuiuza. Mashine ni newtop 272 spea zinapatikana bila tatizo kwan zinaingiliana na Hus272...
  7. T

    Imaging Africa kitendo chenu cha kukata miti usiku Bamaga Mwenge ni cha kihuni, na ni uharibifu wa mazingira, hakikubaliki

    Kampuni ya matangazo ya Imaging Africa usiku wa jumamosi tarehe 24.06.2023 walifanya uharibifu mkubwa wa kimazingira kwa kukata miti iliyooteshwa pembezoni mwa barabara. Imaging Africa imefyeka miti hiyo ambayo hawakushiriki kuiotesha wala kuitunza. Wamefyeka miti ili ubao wao wa matangazo ya...
  8. 1x1

    SoC03 Upandaji miti mijini linda mazingira

    Utangulizi: Miji inakua kwa kasi katika nchi nyingi, na Tanzania haijaachwa nyuma. Huku miji ikikua, madhara ya mazingira yanazidi kuongezeka, na hii inahitaji mabadiliko ya haraka. Katika andiko hili, tutachunguza madhara ya mazingira yanayotokana na kukua kwa miji, jinsi upandaji miti...
  9. N'yadikwa

    Milunda inauzwa bei chee, 3000 kila mti ipo miti 1500

    Miti ipo Suma Katumba Rungwe Mbeya. Leta hela jichukulie miti, ni minene inafaa kwa ujenzi wa aina yoyote. Ipo barabarani kabisa ukifika Suma Secondary ni hapohapo barabarani shamba lilipo. Kama unavyoiona pichani. Serious buyer piga simu: 0658615426.
  10. saadala muaza

    SoC03 Urafiki wa Tumbili na Mamba

    Mwandishi: Saadala muaza Lilikuwa ni ziwa lenye uzuri wa ajabu.Uzuri ambao ulipambwa kwa miti mirefu iliyojaa rangi ya kijani. Pembezoni mwa ziwa hili kulikaliwa na nyasi zilizosambaza mbawa zake na kulipa sura ya peponi ziwa hili. Katika moja wapo ya miti mizuuri iliyopatikana katika ziwa...
  11. Ojuolegbha

    Dc. Haniu azindua zahanati ya Isyonje wilayani Rungwe

    Kuelekea kilele cha kumbukumbu ya miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hapo jumatano tarehe 26.04.2023, Mkuu wa wilaya ya Rungwe Mhe. Jaffar Haniu amezindua rasmi zahanati ya Isyonje iliyopo kata ya Isongole. Pamoja na uzinduzi wa zahanati hiyo pia ameongoza wakazi wa kijiji hicho...
  12. Stephano Mgendanyi

    Serikali Iondoe Makato ya Miti Kilimo cha Tumbaku

    MHE. EMMANUEL CHEREHANI - SERIKALI IONDOE MAKATO YA MITI KILIMO CHA TUMBAKU Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Kahama-Shinyanga Mhe. Emmanuel Cherehani katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza swali Wizara ya Kilimo na kujibiwa na Naibu Waziri Kilimo Mhe. Anthony Mavunde. "Wakulima wa...
  13. Logikos

    Wakati tulilalamika miti Milioni 2 (Bwawa la JKN) Marekani wanakata miti 31.1m kila mwaka ili itumike chooni

    Lets put things in perspective watu walilalamika hapa Rejea - Takribani miti milioni 3.5 ilikatwa kupisha ujenzi wa Umeme JNHP (Stieglers) Ingawa matumizi ya Toilet Paper yanachangia about 15% ya deforestation Sisemi tuache kutumia huduma hii muhimu lakini tukumbuke wakati tunalaumiana...
  14. S

    Miti ya Cherry Blossom inaweza kustawi Tanzania vema?

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri. Naomba kuuliza kwa wenye utaalamu wa mambo ya mazingira. Je, kwa mazingira yetu Tanzania miti hii ya Cherry Blossom inaweza kustawi vema kama sehemu nyingine Japan, korea etc?
  15. D

    Watu walifanyaje kazi kabla ya mashine kuvumbuliwa?

    Ilikuwa mwaka 1915 wakati wafanyikazi wa misitu walikata miti mikubwa kama hii. Iliwachukua mwaka mmoja kuuweka mti kama huu ardhini. Najiuliza ilichukua muda gani mti huu kuota na kuwa mkubwa hivyo🤔
  16. Roving Journalist

    DC aongoza upandaji wa miti 1000 Rungwe ndani ya siku moja, aahidi Mbolea ya Ruzuku kuendelea kusambazwa

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ameongoza zoezi la Upandaji miti katika Kijiji cha Ijoka, Kata ya Mpombo Halmashauri ya Busokelo ikiwa ni hatua muhimu ya kulinda vyanzo vya maji, kudumisha uoto wa asili, na kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. Jumla ya miti 1000 imepandwa leo...
  17. Stephano Mgendanyi

    RC Singida azindua kampeni ya upandaji miti milioni 1.5 wilaya ya Ikungi

    RC SINGIDA AZINDUA KAMPENI YA UPANDAJI MITI MILIONI MOJA NA NUSU WILAYA YA IKUNGI Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Peter Serukamba amezindua kampeni ya upandaji miti Milioni moja na nusu (1,500,000) katika Wilaya ya Ikungi. Katika uzinduzi wa kupanda miti Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Mhe...
  18. Omari Makoo

    Plot4Sale Shamba la miti ya Mikalebeya linauzwa

    Shamba lina ukubwa wa Hekari 2 Lina miti 1000+ Miti ina umri wa miaka Shamba lipo Mwanza, Ukerewe Bei yamba pamoja na miti yote iliyopo kwenye shamba ni shilingi milioni tisa na laki tano(9,5000,000) Tu.
  19. mirindimo

    KKKT Dayosisi ya Pwani, pesa za miti mlizochangisha ziko wapi?

    Hii Dayosisi ina makando kando mengi sana, walichangisha pesa kwa ajili la kupanda miti ekali zaidi ya 1000 kwa makanisa yote ya Dar es Salaam kuwa ule mradi ni wa vijana leo hii hakuna hata mchicha umepandwa na si ajabu yale mashamba wameshagawana maaskofu. Ikitokea mtu akasema ukweli kua...
Back
Top Bottom