miti

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mwambisi Forest yashinda Milioni 50 Kampeni ya upandaji miti ya NMB

    Shule ya Sekondari ya Mwambisi Forest iliyopo Kibaha, mkoani Pwani, imeibuka mshindi wa kwanza kitaifa katika kampeni ya upandaji miti iliyoandaliwa na Benki ya NMB, na kuzawadiwa Shilingi milioni 50. Akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi hiyo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Tawala...
  2. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya miti milioni 226 imepandwa Tanzania nzima

    ZAIDI YA MITI MILIONI 226 IMEPANDWA TANZANIA NZIMA Kupitia kampeni ya kitaifa ya upandaji miti millioni 1.5 kwa kila Halmashauri nchini, jumla ya miti milioni 226.97 ilipandwa kwa mwaka 2023/2024 ambapo miti milioni 211.81 ndiyo ilistawi ikiwa ni sawa na asilimia 76%. Tathmini ya miti...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu: urembo kwa kutumia vipande vya miti

  4. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Funzo: Hakika Penye Miti hakuna Wajenzi

    --- BTW - Mwenye kujua jina la mwimbaji / jina la wimbo sikiliza dakika ya 2:53
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Katika malighafi zote za bunifu na sanaa mbalimbali, malighafi zitokanazo na miti zinaongoza kwa mbali

    Huu utafiti umetokana na mada za ubunifu nilizopost mwezi uliopita kwenye majukwaa mbalimbali Malighafi zitokanazo na miti na mazao yake zimejitokeza karibia kila mahali Hapa Nita post bunifu mpya Kali na nzuri zitokanazo na hiyo miti na bidhaa zake
  6. Nyendo

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Jengo la Walimu katika Shule ya Msingi Nsololo (Tabora) lililoezuliwa paa limetelekezwa mwezi wa pili sasa

    Jengo la Shule ya Msingi Nsololo lililoezuliwa paa limetelekezwa Walimu wanakaa chini ya miti Nimefika Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora, kuna jambo limenisikitisha na baada ya kuwauliza Wenyeji, nguvu ndio zimeniisha kabisa. Nimeambiwa huu sasa ni mwezi wa pili na nusu kuna jengo la Walimu katika...
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Part 2: Ubunifu utokanao na miti, magogo na mbao… Kazi za viwango

    Huu si ubunifu wala usanifu wa kubahatisha wala kukurupuka.. Kila mkono uliogusa mojawapo wa hizi kazi akili yake ilikuwa imetulia na roho ni nyeupe... Huwezi kufanya hizi kazi kwa ufanisi huu kama rohoni mwako na kichwani mwako umejawa na stress za kila aina ... Na hata kununua pia😀
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu; vigoda vya mbao, miti

    Hivi vigoda/stuli ni very special. Hakuna msumari hata mmoja uliotumika na bei yake ni kichaa.. Na wengi huvitumia kama urembo na si matumizi halisi ya kukalia.. Hivi havipigwi polishi bali hupakwa Silla
  9. excel

    JamiiForums Tanzania Chukua Somo: Kama Umejenga/Upo kwako, Usipande miti ifuatayo..

    This is Africa and its traditions Miti ifuatayo sio mizuri sana kuipanda nyumbani kwako 1: Muembe 2: Mbaazi 3: Muashoki 4: Mpanga Uzazi 5: Mbuyu Utakaribisha viumbe wa Ajabu Usiku ukiendekeza miti ya aina hio Hio miti inapendwa na wachawi, Majini na mapepo ya Kila aina. Chukua tahadhari...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu wa kutumia majani ya miti

    Wanasema sanaa ni kila kitu hasa ukiwa msanii wa sanaa.. .. Sio usanii wa wizi na udanganyifu lakini Leo tunaangazia kwenye sanaa ya majani ya miti.. Unaweza kuona ni kwa kiasi gani tukiwekeza kwenye ubunifu na sanaa tutatatua tatizo la ajira kwa kiwango gani... Wahitimu wengi watapata ajira na...
  11. jaytravo

    JamiiForums Tanzania Shamba la mitiki linauzwa lina zaidi ya miti elfu 1700 karibu ununue karibu uwekeze kwa uwaminifu sana lipo tanga korogwe

    Habari za wakati huu ndugu zangu najua wengi mmesikia kuhusu kilimo cha miti ya mitiki hekari moja inaweza kukuingizia zaidi ya milion 300 kwa hekari moja kwa miti iliyokomaa. sasa basi lipo shamba lenye hekari 6 lenye miti zaidi ya 1700 lililopo tanga korogwe lenye miti ya miaka 12 mpka 14...
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ubunifu saa za ukutani za mbao na miti

  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Sanaa bunifu inayotokana na Mbao, masalia ya mbao, miti, magogo na mizizi ya miti

    Fenicha, urembo vitu na nyenzo mbalimbali.. Kwa wapenzi wa asili na wana mazingira
  14. V

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Barabara ya Talian kuelekea miti mirefu,Chanika Buyuni ni hatarishi

    Wizara ya miundo mbinu , kupitia TARURA , Tunaomba msaada Barabara hii muiangalie , kwanza hatarishi na madimbwi yamekua makubwa ,mazalia ya mbu na kila uchafu. Mkandarasi alianza kazi, mwisho wa siku akatoa kifusi, hajarudisha na hakuna kinachoendelea. Tunaomba TARURA, waje waiangalie na...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yapanda miti mingine zaidi ya 1500 eneo la Milala (Mpanda - Katavi) baada ile ya awali kunyauka

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuripoti juu ya kutelekezwa kwa Mradi wa upandaji miti eneo la Bwawa la Milala, Manispaa ya Mpanda unapojengwa mradi mkubwa wa maji wa Miji 28, Serikali imechukua hatua ya kupanda miti mtingine. Awali, Mwanachama huyo alisema kulikuwa na Kampeni ya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Miti mikubwa pines inauzwa

    Kuna mashamba matatu ya miti ya Mbao jamii ya pines ( pinus patulla), miti ina umri wa miaka 12 na 13. Miti hii iko kijiji cha Chogo Mufindi, ni 100km toka Mafinga kwa njia ya Ibwanzi, au 120km toka Iringa/Mafinga. Bei ya kila eka moja ni Tsh 1,200,000/. Mashamba yanafikika kirahisi. Shamba la...
  17. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Nimepanda miti minne, mitatu mbele ya hotel ya Kebby's na mmoja ilipokuwa shule ya Mwenge Open Academy (MOA)

    Jana tarehe 17/12/2024 nilipanda miti minne mtaa wa Mwenge Kijijini. Nimepanda jumla ya miti minne, mmoja mbele ya ilipokuwa shule ya Mwenge Open Academy (MOA), na mingine mitatu nimepanda mbele ya Kebby's Hotel. NI utamaduni wangu wa kupanda miti kandokando ya barabara ili kuwafanya waendao...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Aliyepewa milioni 10 na Diamond, Mzee Makosa asema atazitumia kupandia miti kwa ajili ya jamii

    Mzee Makosa amesema milioni 10 alizopewa na Diamond atazitumia kupandia miti kwa ajili ya jamii. Soma, Pia: Diamond Platinumz ampa milioni 10 Mzee Makosa, aliyekuwa tajiri mkubwa Iringa na kufilisika Unaonaje mpango huu wa Mzee Makosa?
  19. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nashauri shule inapojengwa iende sambamba na zoezi la kupanda miti mazingira ya shuleni

    unakuta shule nzuri inajengwa inaelekea kukamilika katika halmshauri fulani lakini miti haijapandwa inasubiri mpaka ajage mwalimu mpenda miti au mwanafunzi mpenda bustani aaanzishe miche so inachukua miaka mingi.. Wakati kulikuwa na uwezekano kipindi ujenzi unaanza palepale inapandwa ya matunda...
  20. Abas s baqar

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Tembo akilala kama wanyama wengine hatoweza kuamka kwasababu ya uzito

    Je ni kweli mnyama Tembo huwa hawezi kulala kama wanyama wenzie na akilala kama wanyama wenzake hupelekea kifo kwasababu ya uzito wa mwili wake
Back
Top Bottom