miti

  1. Lycaon pictus

    Miti ya Oak(Mialoni kwa kiswahili) inapatikana wapi kwa Tanzania?

    Habari wakuu. Eti hiyo miti inapatikana Tanzania? Sehemu gani?
  2. Huihui2

    Ukame wa sasa ni Matokeo ya Ukataji Miti Mil 2.7 ya Selous

    Magufuli alikuwa hashauriki. Miti 2.7 Milioni ilikatwa kwenye pori la akiba la Selous kupisha ujenzi wa mradi wa umeme wa JNHEP. Idadi hiyo ya miti ikiwekwa ardhini ni sawa na eneo lote la mkoa wa Dar es Salaam
  3. brokenagges

    Kwa ubinafsi huu ni aibu na kukosa uzalendo

    Nipo maeneo ya Arusha mjini, ninasikitishwa sana na hali niliyoiona maeneo ya barabara ya Sokoine jirani na hospital ya AICC. Eneo hili ni mahali kilipo chuo cha utalii cha Tropical Institute. Ukataji miti unaofanyika hapo barabarani eneo la nje ya chuo kwa sababu ya kupasafisha ili mgahawa...
  4. I

    Wataalamu wa Miti na Vyanzo vya maji nawaomba hapa

    JF isiwe ya stori tu jamani, tuje hapa kwenye majadiliano ya muhimu. Naulizia aina ya miti ambayo inakua kwa haraka huku pia inasaidia kutunza vyanzo vya maji kama chemchemi na visima. Tafadhali kama unafahamu niwekee hapo chini.
  5. A

    SoC02 Lima matunda uinuke kiuchumi na boresha afya yako

    Napenda kutoa ushauri kwa kila mtu anayeweza kupanda miti ya matunda ya aina mbalimbali apande kwa wingi,ikishindikana kupanda kwa wingi, panda angalau hata miti mitatu ya matunda aina tofauti tofauti kwani kuna matunda yanatofautiana misimu japo matunda mengi yanafanana misimu ya upatikanaji...
  6. Intelligence Justice

    Ipandwe miti pembeni mwa mto Mpiji

    Wana jukwaa JF na wizara husika ya mazingira Napendekeza ipandwe miti pembezoni mwa mto Mpiji kuanzia daraja linalotengganisha Kibaha na Ubungo hadi Mbweni baharini katika pande zote zinazotenganisha Kinondoni na Mapinga, Bagamoyo ili kutunza mazingira ambayo yanaharibiwa kwa kasi kutokana na...
  7. JanguKamaJangu

    Wazazi walalamika Wanafunzi wa shule tatu za Msingi kusomea chini ya miti Kigoma

    Wanafunzi wa Shule za Msingi Muungano, Mvugwe na Kasasa katika Kata ya Makere, Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma, wanalazimika kusoma wakiwa wamekaa chini ya miti na wakati mwingine kwenye sakafu kwa kile kinachoelezwa na wazazi wao na viongozi kuwa wamekosa madawati ya kutosha. Hayo yameelezwa na...
  8. I

    Naomba muongozo juu ya upandaji bora wa miti ya mvule

    Habarini za leo, Nataka nipande miti ya mvule kwenye shamba langu ili watoto waje kufaidi matunda uko mbeleni. Nipo mkoa wa Mara uku, kwenye wilaya ambayo mvua sio za uhakika na ardhi ina joto kiasi je, mvule utakua vizuri kwenye eneo hili? Pia naomba kufahamishwa mvule unachukua miaka mingapi...
  9. Dr Msaka Habari

    Naibu Waziri Masanja akagua mradi wa Kitalu cha Miche ya Miti Wilayani Magu

    Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja (Mb) amekagua mradi wa kitalu cha miche ya miti wenye thamani ya shilingi milioni 43 unaosimamiwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) katika Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza. Akizungumza leo Agosti 21, 2022 katika ziara, Masanja amewataka...
  10. MUTUYAMUNGU

    MITI YA MIAKA 6 INAUZWA MAFINGA

    Bei laki 6 kwa EKARI Umbali kutoka Mafinga mjini ni km 60 Kijiji kinaitwa Chakilosa Jumla zipo ekari 4
  11. S

    Tunauza Miti (mirunda) Kwa ajili ya ujenzi au matumizi mengine

    Tunauza miti (mirunda) Kwa ajili ya ujenzi wa magorofa , nyumba za kawaida au matumizi mengine tuna mirunda takribani 900 PCs bei yetu ni nafuu sana Mawasiliano. sangmelina85@gmail.com
  12. Zogolo1550

    Kwa kipindi hiki cha upepo mkali,tuondoe miti iliyo karibu na makazi yetu

    Kama una miti mikubwa, mirefu kuliko paa la nyumba yako ni vema ukaiondoa ili kuepuka maafa ya kuangukiwa nayo. Natoa huduma hiyo kwa kutumia chainsaw pia naweza kukuchania na mbao! Napatikana mbezi Louis 0758700852
  13. Chipoku

    Tusipomsemea Rais Samia Watanzania; dunia, miti, wanyama na viumbe vingine vitanena kwa ajili yake

    WAUNGWANA WALINENA HAKUNA KAMA MAMA ILA WATANZANIA TUNASEMA HAKUNA KAMA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN (aka Mama wa Taifa)! Ukimuangalia Mh Rais kwa jicho la akili haraka haraka utagundua kuwa ni: •JASIRI • MKOMAVU KI UONGOZI •HANA PAPARA • ANA JIAMINI AFANYACHO NA KUBWA ZAIDI ANA MAPENZI YA...
  14. Zogolo1550

    Tunatoa huduma ya kukata miti na kuchana mbao jijini DAR

    Tunatoa huduma ya kukata miti na kuchana mbao kwa kutumia mashine (CHAINSAW). TUNAPATIKANA MBEZI MWISHO Kwa mawasiliano :0758700852
  15. Biz TV

    Waziri Ummy amewataka NIMR Kuwa na Mashamba kiła Halmashauri watakayotumia kuotesha Miti dawa

    Waziri Ummy amewataka NIMR Kuwa na Mashamba kiła Halmashauri watakayotumia kuotesha Miti Dawa. "Nimewapa maelekezo NIMR, Nataka kuona Mashamba ya miti Dawa nchi nzima, kwa kuangalia upatikanaji wa hizo dawa. Kwasababu hizi dawa zimetusaidia na zimetutibu" Alisema Waziri Ummy. Aidha Waziri Ummy...
  16. May Day

    Wizara ya Mazingira, NEMC, anzisheni kampeni ya kupanda miti kutumia teknolojia ya "Air Pots" kuinusuru nchi na jangwa linalotunyemelea

    Air Pots ni Vyungu (Container) maalumu vya kupandia mimea mbalimbali ambavyo huwekewa vishimo vidogovidogo kuzunguka chungu, lengo ikiwa ni kuruhusu mizizi ya mimea kuweza kutafuta mwanga na hewa. Teknolojia hii huwezesha Mmea kukua bila kipangamizi na hata kufikia ukubwa wa kutosha kama...
  17. Nyuki Mdogo

    Mwanza jiji: wanafunzi wa shule ya Msingi Kasota wakipata Elimu chini ya Miti

    Wakuu Kwa mujibu wa Mkuu wa Shule hii, Hii Shule ina madarasa ambayo hayakidhi mahitaji kabisa. Shule iko katika manispaa ya jiji la Mwanza, ina eneo kubwa tu ambalo wangeweza kuongeza madarasa matatu ama manne kabisa ambayo yangekidhi mahitaji ya shule.
  18. R

    Wapi nitapata maeneo ya BURE nipande miti?

    Habari Wakuu. Tangu utotoni nimekuwa na hobby ya kupanda miti. Natafuta maeneo mikoa ya Arusha, Kilimanjaro,Manyara,Dodoma na Singida ambayo nitayapata bila kulipia niweze kupanda miti. Natumaini hili litasaidia pia katika jitihada za ulimwengu za kupunguza hewa ukaa (CO2). Mwenye kujua...
  19. soine

    Albert Einstein: Sijui silaha gani zitatumika kupigana WWIII, lakini lakina zana za mawe na miti zitatumiwa kupigana WWIV

    Dunia inaenda kasi sana, hivyo hivyo technolojia na ugunduzi wa mashine na vifaa mbalimbali. Kasi ya ukuaji wa science na silaha za maangamizi kama atomic bomb wakati uhai wake ulimfanya Albert Einstein kushindwa kujua vita vya 3 vya dunia zitakuwepo silaha gani za kivita. Leo hii AI, defensive...
Back
Top Bottom