miti

  1. A

    Tunatoa huduma ya kuzalisha ya miche ya miti ya mbao na kupanda mashambani

    PANDA MITI YA MBAO NA NGUZO UNUFAIKE BAADAE. Kilimo cha miti kimepata umaarufu wa ghafla miaka ya hivi karibuni kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ongezeko la mahitaji ya mazao ya miti na Katika Tanzania mikoa ya Njombe ni moja ya mikoa maarufu inayoongoza kwa misitu mikubwa ya kupandwa...
  2. FrankLutazamba

    Ni jambo zuri Serikali inavyohimiza tupande miti ila napendekeza ingehimiza tupande miti ya matunda kama machenza mpaka katika barabara zetu

    Serikali yetu pendwa inaendelea kuotesha maelfu ya mbegu za miti kwa ajili ya kupandwa, pendekezo langu wangekuwa wanapanda miti ya matunda inayodumu na kuchanua kama mipera, machenza, michungwa na kadhalika hata katikati ya majiji katika barabara badala ya miti isiyo zalisha matunda. Ila katika...
  3. Erythrocyte

    Uchumi wa Kati: Wanafunzi wafanyia mitihani chini ya miti

    Hii ni shule ya Sekondari ya Kiparang'anda ya mkoani Pwani, aibu hii imetokana na uhaba wa madawati pamoja na vyumba vya madarasa.
  4. Miss Zomboko

    Serikali kuacha kutumia nguzo za miti ili kuzuia ukatikaji wa umeme hasa sehemu zenye mafuriko

    SERIKALI itaachana na matumizi ya nguzo za umeme zitokanazo na miti na badala yake itatumia nguzo za zege ili kuepukana na uharibifu wa nguzo kuoza na kusababisha tatizo la ukatikaji wa umeme. Hayo yamesemwa wilayani Rufiji mkoani Pwani na Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu wakati...
  5. H

    Ifahamu miti ya mastafeli (mastakafeli) na mitopetope

    Moja ya matunda yaliyoonekana ni ya kiswahili na tumekuwa nayo na kuishi nayo katika jamii yetu ni matunda haya mawili kutoka katika miti tajwa hapo juu. Japo inatokea katika familia moja ya Annonacea ila kwa kiiingereza hili kundi la miti jamii hii huitwa Custard Apple trees. Tuchambue pamoja...
  6. M

    Dodoma ipandwe miti sasa

    Sio kila kitu mpaka aseme Rais wetu Magufuli jamani. Hebu pandeni miti sasa hapo jijini Dodoma kwa kila kaya iwe na miti isiyopungua 2 na iwe ni jukumu la wahusika kwenye kaya.
  7. Steven Nguma

    Natafuta Mbegu za miti ya matunda mbalimbali

    Habarini za kutwa, samahani naomba kuuliza. Kuna siku niliona tangazo humu la kuhusu mbegu za miti ya matunda mbali mbali. Muuzaji alisema yupo Morogoro, nilijaribu kuwapigia simu lakini bahati mbaya sikuhifadhi namba yao. Mwenye kumbukumbu naomba msaada tafadhali.
  8. idawa

    Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

    Waziri wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ametangaza kuwaruhusu wagombea wote waliochukuwa fomu na kuzirejesha kwa ajili ya kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini Tanzania Novemba 24, 2019 wanaruhusiwa kushiriki uchaguzi huo...
  9. pelezicr

    Kwanini mashamba ya Miti hayana fulsa kwenye dhamana ya mkopo?

    Naomba msaada, Kama kuna mdau ameshawahi kupata mkopo kupitia dhamana ya shamba la miti anipe maelekezo ya vigezo vya kuzingatiwa. Asante.
  10. S

    Zaidi ya miti milioni 2 kukatwa kupisha mradi wa umeme wa Stiegler's gorge

    Serikali ya Tanzania inajiandaa kukata miti eneo la ukubwa wa asilimia tatu ya hifadhi ya taifa Selous. Mapema asubuhi ya Jumatano, serikali ilipokea maombi ya zabuni ya kukata miti hiyo kutoka kwa makampuni ya ndani na nje ya nchi yaliyoonyesha nia ya kutekeleza mradi huo wa kukata miti...
Back
Top Bottom