miti

  1. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Kama kuna muuzaji wa miche humu naomba anisaidie bei za miche hii ya miti

    1: waburgia ugandesis 2: cordia africana 3: Waburgia ugandesis 4: vepris lanceolata 5: indian almond (Terminalia catappa)
  2. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom na Stanbic wametoa miche ya miti na vifaa kusaidia Singida

    ●Ni kupitia Msafara wa waendesha baiskeli wa Twende Butiama Mkuu wa Kanda ya Kati wa Vodacom Tanzania, Chiha Nchimbi (kulia) na Mkuu wa Mtandao wa Matawi wa Benki ya Stanbic Tanzania, Geofrey Mwijage (kushoto), wakikabidhi miche 100 ya miti kwa Mkuu wa Divisheni ya Awali na Msingi wa Manispaa...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wale watu wa "tusikate miti joto litaongezeka" wako kimya sasa. Mambo mengi tunayosoma shule ni utapeli

    Dar es salaam sasa nina mwaka wa 11, mwaka huu unatia fora kwa baridi kali. Haya nyie wanajiografia mniambie je, kiwango cha upandaji miti Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla kimekuwa kikubwa zaidi mwaka huu? Malori ya mkaa kutoka mkoa wa Pwani ambako kuna miti na misitu mingi yako mengi sana...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya mbao za Miti aina ya Pines: Njoo ujifunze toka Miti inanunuliwa mpaka Mbao zinamfikia mtumiaji wa mwisho

    Natumaini ni wazima wa afya watumiaji wote wa jf. Leo nitaandika kila kitu nachojua kuhusu biashara ya mbao laini zinazotokana na mti aina ya pine. Nitazungumzia kuanzia manunuzi ya miti kutoka kwa mkulima hadi namna mbao inamfikia mtumiaji wa mwisho. Kabla sijaendelea ningependa kuweka...
  5. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Ukipanda Mimea au miti inazuiaje nguvu za Giza na uchawi.

    Nitakueleza kwa kina na kwa lugha rahisi jinsi mimea na miti hii inafanya kazi kuzuia nguvu za Giza: --- 🌿 1. Jinsi mimea inavyofanya kazi kuzuia nguvu za Giza ✅ (a) KIMWILI (Physical effect) 1. Harufu kali (aromatic compounds) Mimea kama uvumba, manemane, mkaratusi (eucalyptus), mikusu...
  6. 3

    JamiiForums Tanzania Nina miti 10 ya maembe naikata kama kuni ambaye yupo interested karibu

    Habari. Shambani kwangu nina miti ya maembe 10 ambayo haizai Tena nimeamua kuikata. Kwa ambaye anafanya biashara ya kuuza kuni kwa wingi anakaribishwa kuja kununua miti hii. Iko miti 10 kila mti nauza sh 20,000. Ukija utakatiwa kwa kila mti sh 5000 kama tu posho ya mkataji wangu. Ukishakata...
  7. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Ukataji wa miti sasa basi, REA yarahisisha upatikanaji wa gesi vijijini

    UKATAJI WA MITI SASA BASI, REA YARAHISISHA UPATIKANAJI WA GESI VIJIJINI Imeelezwa kuwa, mradi wa usambazaji wa mitungi ya gesi kwa bei ya ruzuku katika maeneo ya vijijini na pembezoni imelenga kuchochea, kuwezesha na kuboresha upatikanaji wa huduma za nishati safi ya kupikia ili kuchochea...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Jumaa Aweso awataka Wananchi kulinda mazingira ya vyanzo vya maji kwa kuacha kukata miti ovyo

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amewataka wananchi kulinda mazingira ya vyanzo vya maji kwa kuacha kukata miti ovyo na kufanya shughuli za kibinadamu ili kuepuka ukame. Ametoa wito huo mara baada ya kutembelea mabanda ya maonesho wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani leo Juni 2, 2025...
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Uzio wa miti

    Haupo kwa ajili ya ulinzi.. La hasha.. Bali upo kwa ajili ya kuonesha mipaka, kikomo cha uhuru, umiliki haki miliki na utawala... Je kwenye maisha yako una uzio? Ama ni free to air kama choo cha jiji?
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Rafiki zetu wa kweli hapa duniani ni MUNGU na Miti

    Katika maisha ya binadamu ,tunao marafiki wa wili ambao bila wao hatuwezi kuishi duniani. Rafiki wa kwanza kabisa ni Mungu,muumba wa mbingu na dunia.Alianza kuumba maji ,ardhi ikafuata miti ambayo inatupatia hewa ya oxygen,.Bila hewa ya oxygene huwezi ukaishi hata sekunde moja. Ndiyo maana...
  11. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msambatavangu: Hao wanaosema polisi wanapiga, basi hiyo ni ''trailer'' hawajakutana na polisi wanaofanana na miti na udongo

    Wakuu kumbe kuna polisi wanaofanana na miti na udongo === "Nimeona mwingine anasema sema jamani nasikia hao polisi askari wanapiga, hiyo ni trailer tena yinyi mmekutana na polisi ambao sisi tunashinda nao kila siku yani ambao wamezoea kidogo mambo ya uraia tuna wengine wanafanan na miti na...
  12. Mangi wa Rombo

    JamiiForums Tanzania Natafuta Nguzo za miti (Wooden Poles) kwa ajili ya kuzungushia uzio

    Tafadhali husika na kicha cha habari hapo juu! Natafuta nguzo za miti (Wooden Poles) Pisi 225 Kwa ajili ya kuzungushia uzio shambani (Nimeambatanisha picha hapo chini). Natafuta zile ambazo zina dawa kabisa manake shamba lina mchwa kweliii! Ningependelea kama kuna msambazaji ambaye yupo...
  13. Mangi wa Rombo

    JamiiForums Tanzania Natafuta Nguzo za miti (Wooden Poles) kwa ajili ya kuzungushia uzio

    Tafadhali husika na kicha cha habari hapo juu! Natafuta nguzo za miti (Wooden Poles) Kwa ajili ya kuzungushia uzio shambani (Nimeambatanisha picha hapo chini). Natafuta zile ambazo zina dawa kabisa manake shamba lina mchwa kweliii! Ningependelea kama kuna msambazaji ambaye yupo Morogoro au...
  14. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Videos : Hili sakata Yanga tunapigwa Miti kila sehemu. Huku Simba wamenyamaza tu

    Inauma sana. Tumekuwa tunashambuliwa na kila mjuzi wa soka. Hadi watu wetu wenyewe wanatugeuka kuwa hatuna akili. Simba wao wamenyamaza tu kama hawahusiki. Viongozi why lakini? Je ni kuficha aibu ya matokeo ya barua ya CAS? tumeamua kutafuta kichaka cha kujifichia? Sasa tunachimba shimo...
  15. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Nasikia wakristo wakishika miti ya minazi mnazi unakufa na mkristo akipanda mnazi unakufa

    Wakuu nasikia hivyo wakuu leo nimekaa kijiweni na wazee wa pwani hapa pwani ya pangani wanasema kwasababu mti wa minazi ni twahara kwa maana hiyo ili upande unatakiwa uwe twahara ukiushika huo mti wa mnazi wakuu je ni kweli wakuu?
  16. U

    JamiiForums Tanzania Jamaa anadai miti ya michongoma na miashoki haramu kupandwa majumbani kwani mayahudi wataitumia kujificha ndani yake kabla na kiama!

    Wadau hamjamboni nyote? Ni mambo ya Imani na siwezi yabishia kwani wenyewe wanaamini hivyo Bado nawaza nifanyeje kwani nahofia.nosijeipanda miti hiyo kisha baadaye mayahudi wakaja jificha Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu
  17. G

    JamiiForums Tanzania Plot4Rent Shamba la miti linauzwa Njombe

    Habari ndugu, KUNA SHAMBA LA MITI AINA YA MIPAINA LINAUZWA, Shamba lipo mkoa wa Njombe, wilaya ya Njombe mjini, kata ya Kifanya, kijiji cha Lilombwi. Lina ukubwa wa ekari 20, na kila ekari inauzwa kwa shilingi 1,200,000/=. Unaweza kununua kuanzia ekari tano. Miti ina muda wa miaka minne tangu...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Kampeni za upandaji miti Kitaifa ziliishia wapi?

    Miaka fulani kulikua na kampeni ya Kitaifa upandaji miti January Mosi ghafla ikahamishiwa Aprili ghafla ikapotea. Tumetoka mbali ndugu zangu
  19. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Cairo: Jiji lenye wakazi zaidi ya milioni 23 bila kuwa na miti hata ya kivuli

    Maisha ya Cairo ni tofauti na Dar es salaam au Nairobi kijiografia na uoto wa asili. Ni jiji wakazi milioni 23 na ukame wa nyasi hadi miti. Hali ya hewa ni joto kali na Bado wenyeji wana utamaduni wa kunywa kahawa na chai mchana bila kusahau shisha..Ni Bora zaidi kuishi miji ya East Africa kwa...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni Dawa gani utumie au ufanyeje kwa njia za Miti Shamba kama ukihisi Umelishwa Sumu au Umekula Sumu ili uweze Kupona na Usife au Usidhurike?

    Nimeanzisha huu Uzi Makusudi nikiwa nataka kuwasaidia Watu hasa hasa kwa mwaka huu na Nyakati tulizopo kwa sasa.
Back
Top Bottom