miti

  1. S

    Ijue bahari: Baharini kuna misitu mikubwa yenye miti mikubwa ya kutosha kuchana mbao kama utazamia

    Ngoja tuambizane ukweli kuhusu bahari! Kuna wakati unaweza hisi umejifunza yote! Kumbe unachokijua hapa duniani hakifikii hata theruthi ya theruthi ya maajabu ambayo huyajui hapa duniani! Hata mengine ukisimuliwa unaweza fikilia ni chai! Ukweli ni kwamba kila kitu Mungu kakibalansi! Ukibeba...
  2. T

    Tree of Life Foundation kupanda miti milioni moja mwaka 2023

    Pamoja tunaweza. Taasisi ya Tree of Life Foundation iko mbioni kupanda miti ya matunda, kivuli na ya mbao kwenye mwaka mpya wa 2023. Upandaji huo utaambatana na utoaji wa elimu ya mazingira kwa wananchi walio mijini na vijijini. Karibu tushirikishane pamoja katika kuyatunza mazingira ya nchi yetu.
  3. S

    Nyumba ya kijanja vijijini bila pesa kutumia miti na mawe udongo nyasi

    Ndugu zangu naomba msaada kwa mwenye ujuzi katika ujenzi nataka nijenge kijijini pesa ngumu ngumu kweli je naweza jenga kwa kutumia material ya asili kama wajengavyo vijiji vya wenzetu nchi za mbali nifanyeje
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Je, wajua miti ni sumaku inayovuta nguvu za kiroho? Panda miti nyumbani kwako

    Anaandika, Robert Heriel Kuhani katika Hekalu Jeusi. Andiko hili lamfaa kila mtu. Lugha iliyotumika ni laini. Sio Kali kama nilivyozoea Kwa mada zangu nyingi. Kisayansi Miti ni moja ya viumbe hai muhimu katika Ecosystem (kutegemeana Kwa viumbe hai n mfu ili kufanya Maisha yaendelee katika...
  5. Lycaon pictus

    Mtu aliyepanda miti. Umewahi kusoma hadithi hii?

    MTU ALIYEPANDA MITI Hii hadithi imehamasisha mamilioni ya watu duniani kupanda miti na kutunza mazingira. Unafaa sana wakati huu tunaokabili tatizo la uharibifu wa mazingira. Umewahi kuisoma? Ulijifunza nini? Muandishi: Jean Giono 1953. Mtafsiri: Pictus Publishers ltd Email...
  6. Lord Denning

    Wakati hadi Ethiopia wanafanikiwa kupanda miti bilion 20 kwa miaka 4 sie huku tunaendekeza tu wafugaji kukata miti

    Maisha ni mipango. Na kila aliyefanikiwa leo ujue alipanga na kutekeleza mipango yake vizuri siku nyingi nyuma Leo Ethiopia wametangaza kutimiza malengo yao waliyojiwekea mwaka 2019 kupanda miti billion 20 ifikapo mwaka 2022 Kati ya nchi ambazo sasa zimekuwa na hali nzuri ya hewa iliyoanza...
  7. Lycaon pictus

    Miti inakua kutoka wapi? Mbona hatuoni shimo pale ulipotoka?

    Habari wakuu sana. Eti wakuu. Miti inakua kutoka wapi? Mbona unakuta mti mkubwa sana. Una kilo hata milioni moja(ukiwa mkavu), lakini pale ulipotoka hatuoni kama kuna kilo milioni moja zimetoka. Mti unatoka wapi?
  8. Kyambamasimbi

    Na tuifanye nchi yetu kuwa ya kijani tupande miti kwenye makazi yetu

    Kuna baadhi ya jamii au Kaya huamini kuwa miti Ni Kama adui wa usalama wao lakini kumbe miti Ina faida nyingi kuliko hasara. Jamani tumeona mabadiliko ya Hali ya hewa na tabia ya nchi. Jamani tubadilike tupande miti angalau mti mmoja utakuwa umechangia kutunza Mazingira yetu.
  9. MakinikiA

    Viwanja vya ndege vinazungukwa na mashamba migomba au miti kuruhusu ndege kutua kwa dhalula salama

    Kuna tetesi kwamba kuna maelekezo kutoka kwa waongoza ndege kumweleza rubani wa ndege ya precision kutua kwenye maji nani alikuambia sehemu salama. Kama blackbox kutakuwa na communication itaeleza kwamba rubani alielekezwa apeleke kwenye maji waongazaji ndege wanatakiwa kuchapwa viboko 24 ,12...
  10. S

    Jangwani hakuna miti ya maana wala misitu lakini mbona mvua zinanyesha?

    Najiuliza hili jambo mara nyingi kwani kuna wakati nilikuwa kule Sharjah,moja katika falme za kiarabu (IMARATI). Siku moja ikanyesha mvua kubwa tena ya kutisha na kwa muda mrefu. Nikajiuliza kule hakuna misitu kama huku kwetu tunayoitegemea kwa mvua,inakuwaje wapte mvua ?
  11. Analogia Malenga

    Rais Samia: Pwani wanakata sana miti na kusababisha uhaba wa maji

    Rais Samia amesema shida ya maji inayoendelea katika Mkoa wa Dar es salaam imesababisha na athari za kimazingira ikiwemo kukata miti. Amesema mkoa wa Pwani unaongoza kwa kukata miti iliyoko kando ya mto Ruvu unaoleta maji Mikoa ya Dar es Salaam na hivyo wanasababisha uhaba wa maji. Rais...
  12. Lycaon pictus

    Miti ya Oak(Mialoni kwa kiswahili) inapatikana wapi kwa Tanzania?

    Habari wakuu. Eti hiyo miti inapatikana Tanzania? Sehemu gani?
  13. Huihui2

    Ukame wa sasa ni Matokeo ya Ukataji Miti Mil 2.7 ya Selous

    Magufuli alikuwa hashauriki. Miti 2.7 Milioni ilikatwa kwenye pori la akiba la Selous kupisha ujenzi wa mradi wa umeme wa JNHEP. Idadi hiyo ya miti ikiwekwa ardhini ni sawa na eneo lote la mkoa wa Dar es Salaam
  14. brokenagges

    Kwa ubinafsi huu ni aibu na kukosa uzalendo

    Nipo maeneo ya Arusha mjini, ninasikitishwa sana na hali niliyoiona maeneo ya barabara ya Sokoine jirani na hospital ya AICC. Eneo hili ni mahali kilipo chuo cha utalii cha Tropical Institute. Ukataji miti unaofanyika hapo barabarani eneo la nje ya chuo kwa sababu ya kupasafisha ili mgahawa...
  15. I

    Wataalamu wa Miti na Vyanzo vya maji nawaomba hapa

    JF isiwe ya stori tu jamani, tuje hapa kwenye majadiliano ya muhimu. Naulizia aina ya miti ambayo inakua kwa haraka huku pia inasaidia kutunza vyanzo vya maji kama chemchemi na visima. Tafadhali kama unafahamu niwekee hapo chini.
  16. A

    SoC02 Lima matunda uinuke kiuchumi na boresha afya yako

    Napenda kutoa ushauri kwa kila mtu anayeweza kupanda miti ya matunda ya aina mbalimbali apande kwa wingi,ikishindikana kupanda kwa wingi, panda angalau hata miti mitatu ya matunda aina tofauti tofauti kwani kuna matunda yanatofautiana misimu japo matunda mengi yanafanana misimu ya upatikanaji...
  17. Intelligence Justice

    Ipandwe miti pembeni mwa mto Mpiji

    Wana jukwaa JF na wizara husika ya mazingira Napendekeza ipandwe miti pembezoni mwa mto Mpiji kuanzia daraja linalotengganisha Kibaha na Ubungo hadi Mbweni baharini katika pande zote zinazotenganisha Kinondoni na Mapinga, Bagamoyo ili kutunza mazingira ambayo yanaharibiwa kwa kasi kutokana na...
  18. JanguKamaJangu

    Wazazi walalamika Wanafunzi wa shule tatu za Msingi kusomea chini ya miti Kigoma

    Wanafunzi wa Shule za Msingi Muungano, Mvugwe na Kasasa katika Kata ya Makere, Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma, wanalazimika kusoma wakiwa wamekaa chini ya miti na wakati mwingine kwenye sakafu kwa kile kinachoelezwa na wazazi wao na viongozi kuwa wamekosa madawati ya kutosha. Hayo yameelezwa na...
  19. I

    Naomba muongozo juu ya upandaji bora wa miti ya mvule

    Habarini za leo, Nataka nipande miti ya mvule kwenye shamba langu ili watoto waje kufaidi matunda uko mbeleni. Nipo mkoa wa Mara uku, kwenye wilaya ambayo mvua sio za uhakika na ardhi ina joto kiasi je, mvule utakua vizuri kwenye eneo hili? Pia naomba kufahamishwa mvule unachukua miaka mingapi...
  20. Dr Msaka Habari

    Naibu Waziri Masanja akagua mradi wa Kitalu cha Miche ya Miti Wilayani Magu

    Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja (Mb) amekagua mradi wa kitalu cha miche ya miti wenye thamani ya shilingi milioni 43 unaosimamiwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) katika Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza. Akizungumza leo Agosti 21, 2022 katika ziara, Masanja amewataka...
Back
Top Bottom