Wakati vita nchini Sudan vikiingia katika mwaka wake wa pili mwezi ujao, Kamati ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Mtoto (CRC) Jumatatu ilionya juu ya hali ya kutisha ya mzozo wa watoto, huku takriban milioni 24 wakielekea ukingoni mwa "kizazi". janga".
Tangu mzozo huo ulipozuka Aprili 2023...
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Omary Mwanga, maarufu Marioo, anayedaiwa zaidi ya Sh. milioni 500 kwa kuvunja mkataba, anatarajiwa kujitetea Mahakama Kuu Machi 18 na 19, mwaka huu.
Marioo na Meneja wake Sweetbert Mwinula wameshtakiwa katika Mahakama Kuu Masjala ya Wilaya ya Arusha mbele ya...
Ripoti mpya iliyotolewa na shirika la UNICEF inaonyesha kuwa zaidi ya wanawake milioni 230 duniani kote ni manusura wa ukeketaji. Ongezeko hilo limechangiwa na ukuaji wa idadi ya watu katika nchi fulani.
Ripoti mpya iliyotolewa na shirika la UNICEF inaonyesha kuwa zaidi ya wanawake milioni 230...
Halafu mnaficha nini kuwa jana baada ya Mechi Kocha kamtukana Tusi Tukuka Jaribu Baadae kwa Upuuzi wa kutowapa Fedha zao Wachezaji walizoahidiwa na zilizowavunja Moyo na kwa Makusudi wakaamua Kutuumiza?
Bosi Magugu Magugu safari hii wala hausiki na Kipigo hiki kwani anaangushwa na Mnafiki...
Mfanyabiashara Ramadhani Ntuzwe ‘Babu Rama’ aliyekuwa akipaza sauti katika vyombo mbalimbali vya habari kwa takriba miaka saba kwamba anaida fidia ya Sh 986 milioni Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), anadaiwa kujiua kwa risasi leo Jumatano Machi 6, 2024 nyumbani kwake Urambo mkoani Tabora...
Ni jambo la uhakika kwamba sasa hivi serikali imepata ongezeko la takribani milioni 10 aliyokuwa analipwa hayati Mwinyi.
Napendekeza waajiriwe madaktari watano ili kuhudumia wananchi kutokana na hospitali binafsi kugomea bima ya afya.
Kwema Wakuu!
Kuna aina tatu za Maskini.
1. Maskini wa kutupwa (Fukara)
2. Maskini wa kawaida
3. Maskini aliyechangamka.
1. Maskini Fukara
Maskini Fukara hili kundi ni wale Watu ambào kula yao ni mshikeshike, hawana pakuishi, yaani hawa ndio huitwa hohehahe. Hawa kwa asilimia kubwa wamekata...
Wakuu kwema? Tuchangamshe kichwa kidogo.
Mpo watu 100 kwenye chumba kimoja, na kuna milioni 100 za kushindaniwa. Ili uweze kunyakua mahela hayo unatakiwa kufanya kitu kimoja ambacho utawashinda wengine wote.
Ungefanya kitu gani?
Mimi ningekaa kimya tu, maana watu asiku hizi hawajui kunyamaza...
MBUNGE SAASHISHA MAFUWE: MILIONI 300 KUJENGA DARAJA MACHAME
Daraja la Makoa lililopo Machame, ambalo limejengwa kipindi kirefu na ambalo lilikua ni kero kubwa imeanza kujengwa upya kwa gharama ya shilingi Milioni 300.
Akizungumza baada ya kufika kukagua ujenzi wa daraja hilo, mbunge wa jimbo...
Nashindwa kuwaambia jinsi nilivyojikatia tamaa kiasi cha kuwa kichaa.
Ila ninachoweza kuwaambia tu vijana wenzangu tuacheni kubeti kwa malengo kwamba tunapata pesa huko haraka haraka.
Fikiria nimefanya kazi ya kuajiriwa kwa miaka 8, nikafukuzwa kazi nikaenda NSSF nikachukua milion 7.5...
https://www.math.tugraz.at/~elsholtz/WWW/papers/papers14faber.html
https://explainingscience.org/2019/09/01/the-goldbach-conjecture/
Mnamo 1742, Mwahisabati nguli kwa jina la Christian Goldbach, alifikiria dhana ambayo ilimshinda kuijibu na kuomba Mwanahisabati mwingine mbobozi anayejulikana kwa...
Mwanamuziki wa Afrobeats wa Nigeria, Davido ametangaza kuwa atatoa Naira 300m ($197,000) kwa vituo vya Watoto yatima nchini mwake.
"Mimi na taasisi yangu tunaahidi jumla ya Naira Milioni 300 kwa Vituo vya Watoto yatima kote Nigeria... kama mchango wangu wa kila Mwaka kwa Taifa...maelezo ya...
Na Mwandishi wetu
Dodoma
Serikali kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imesema imepata mafanikio makubwa katika mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya ambapo kuanzia mwezi Januari hadi Disemba 2023 kilogramu zaidi ya milioni moja za aina mbalimbali za dawa za kulevya...
Habari wakuu.. Natafuta Toyota landcruiser station wagon au pickup kwa ajili ya kuifanyia conversion kuwa safari car ya kubeba watalii. Tuma picha za nje, ndani na engine pamoja na details za gari kwa whatsapp 0656388678. Iwe model ya kuanzia mwaka 2000 na kuendelea. Bei isizidi milioni 40...
Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Bunda mkoani Mara, Karoli Mganga anatuhumiwa kughushi nyaraka na kujipatia zaidi ya Sh800 milioni kinyume cha sheria.
Paroko huyo anatuhumiwa kuhusika kwenye tukio hilo pamoja na mhasibu wa parokia hiyo, Gerald Mgendagenda.
Akizungumza na waandishi wa...
Ninayo milioni 6 kwa ajili ya biashara. Nahitaji partner wa kufanya nae biashara. Partner ni lazima awe tayari kuwekeza kiasi hicho hicho cha pesa kwenye biashara. Yaani jumla tuwe na milioni 12.
AINA YA BIASHARA
Nipo tayari kufanya biashara yoyote kati ya hizi;
1) Alluminium
2) Kuuza spare za...
Mahakama ya Benki ya Dunia imetupilia mbali sababu nyingi za Tanzania za kubatilisha tuzo ya dola milioni 119 (zaidi ya TZS 309 bilioni) kwa mchimba madini wa nikeli kutoka Australia.
lakini uamuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Tanzania Eliezer Feleshi kuendelea kutaka kufutwa kwa tuzo hiyo katika...
Jumla ya Ada kwa Miaka yote mitano: 32,769,250
Tukumbuke hiyo ni ada tu haijajumlisha gharama za chakula, hostel, stationary, na mengineyo
Swali langu kwa mliosoma ama kusomesha watoto wenu degree ya udaktari Kairuki Is it worth it ?
DAR: Watumishi 4 wa akiwemo Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU) akiwemo Mkurugenzi Mtendaji, Jackson M. Ngalama, Emmanuel G. Mdoe (Mhasibu), Pamela M. Sellemia (Mkuu wa Idara ya Mikopo), Timothy P. Mashishanga (Dereva) wamefikishwa Mahakamani kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.