Serikali iajiri madaktari watano kwenye milioni kumi aliyokuwa analipwa Hayati Ali Hassan Mwinyi

Execute

JF-Expert Member
Sep 21, 2022
3,000
7,285
Ni jambo la uhakika kwamba sasa hivi serikali imepata ongezeko la takribani milioni 10 aliyokuwa analipwa hayati Mwinyi.

Napendekeza waajiriwe madaktari watano ili kuhudumia wananchi kutokana na hospitali binafsi kugomea bima ya afya.
 
Tunataka tupitishe watoto wa viongozi nao walipwe pensheni kaa kwa kutulia
 
Watoto wa viongozi waendelee kulipwa stahiki za wazazi wao pindi wanapofariki.😅😅

Hii nchi hii ndio maana wanajisemea ukiweza kwepa kodi we kwepa.
 
Back
Top Bottom