Natafuta Toyota Landcruiser - Bajeti milioni 40

raslimali

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
1,344
1,012
Habari wakuu.. Natafuta Toyota landcruiser station wagon au pickup kwa ajili ya kuifanyia conversion kuwa safari car ya kubeba watalii. Tuma picha za nje, ndani na engine pamoja na details za gari kwa whatsapp 0656388678. Iwe model ya kuanzia mwaka 2000 na kuendelea. Bei isizidi milioni 40. Karibuni!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom