milioni

Millions on the Island (Milioni na otoku) is a 1955 Croatian film directed by Branko Bauer.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    JamiiForums Tanzania Yani ki mbwa milioni mbili

    Si Bora tu nikabweka mwenyewe 🤣😆😝 usiku nikiwa natoka nje
  2. X

    JamiiForums Tanzania Donald Trump ajiunga TikTok ndani ya masaa 24 tu amepata followers milioni 2

    Make China great again? App ileile ambayo alitaka kuifungia akiwa raisi. Mzee kachekecha akili akaona ili apate kura za vijana ajiunge TikTok Post yake ya kwanza tayari imepata likes zaidi kuliko posts zote kutoka kwa @BidenHQ katika muda wa miezi 4 ambao wamekuwa kwenye TikTok. Tutashuhudia...
  3. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Yanga inaweza kutengeneza milioni 600 kwa mwezi wa 6 na 7

    Endapo yanga watachagua team nzuri ya watu wakazungusha haya makombe mawili NBC na Crdb kuanzia dar hadi kigoma na Rukwa na kutoa offer ya Kila shabiki kupiga picha na kombe kwa sh.2000=1000 KILA kombe basi hakitakosa watu 300000 watakaotaka kupiga picha na makombe hayo kwa kiasi hicho
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wakuu Kwema;nikiwa na milioni 20 naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi maeneo ya Bagamoyo?

    Nina kiwanja huko Bagamoyo nahitaji kujenga nyumba yangu ili nitoke kwenye nyumba za kupanga nikiwa na bajeti ya Milioni 20 tu,kwa pesa hii naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi naombe ushauri wenu.
  5. Webabu

    JamiiForums Tanzania Gati la Marekani Gaza labebwa na upepo mkali.Dola Milioni 32 zimepotea bure.

    Gati linaloelea majini lililojengwa Gaza na Marekani kupitishia misaada kabla kufanya kazi yake limeshakumbwa na matatizo mara kadhaa na mwishowe limebomoka kutokana na upepo mkali. Habari zinazoendelea kutolewa ni kuwa dude lote limeanza kuzama na haitokuwa rahisi kuliokoa. Muda mfupi kabla...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Azam kutoa Milioni 50 kila mwezi kwa kila timu ya ligi kuu, hadi sasa umeona mabadiliko yapi kwenye ushindani wa ligi yetu?

    NB: pesa hizi hazihusiani na ubingwa, kila team inapewa Azam kutoa Milioni 50 kila mwezi kwa kila timu ya ligi kuu, hadi sasa umeona mabadiliko yapi kwenye ushindani wa ligi yetu? Ewe mdau wa soka la Tanzania, umeona mabadiliko?
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Matapeli 12 wanaotuma Meseji za kitapeli kwenye simu, Wapandishwa Kizimbani

    "MIMI MWENYE NYUMBA WAKO APA MBONA SIKU ZINAZIDI?" 12 WAFIKISHWA MAHAKAMANI, WAKABILIWA MASHTAKA 32. Na. Jeshi la Polisi, Dar es Salaam, Mei 28, 2024 MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewapandisha kizimbani wakazi 12 wa Ifakara, Morogoro akiwemo Barnaba Gidajuri (45) wakikabiliwa na mashtaka...
  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania Upigaji vituo vya mabasi, Kituo cha Magufuli chawalipia wapangaji bili ya umeme na maji Tsh. Milioni 563.02

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, amebaini upigaji na madudu yanayofanywa katika vituo mbalimbali vya mabasi hapa nchini. Kupitia Ripoti Kuu ya Ukaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 iliyotoka hivi karibuni, pia amesema kuna uendeshaji...
  9. Mr mutuu

    JamiiForums Tanzania WanaJF tupeane mawazo kwa mtu anayetaka kufanya biashara Kariakoo kwa mtaji wa milioni 50

    Kwema wakuu, Kuna mtu kanifata anahitaji ushauri, anataka kujilipua kwenda kariakoo kufanya biashara.... Kwanini Kariakoo? Anaamini Kariakoo ndo hub ya biashara hapa Tanzania.... Mzunguko wa kariakoo si rahisi kuupata mahali pengine popote hata kama unapata faida ndogo Amekua akifanya...
  10. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Wewe ni mnene mweupe? Natoa mahari milioni 5, ndoa mwaka huu

    Umri wowote,dini yoyote,kabila lolote, Kama ww ni mweusi au kimbaumbau no thank you!
  11. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Matumizi ya Tuzo ya Milioni 50 kutoka Jamii forums kwa Maendeleo Binafsi na ya Nchi kwa Miaka 25 Ijayo

    Utangulizi Kushinda shindano la "Stories Challenge" na kuibuka mshindi wa shilingi milioni 50 ni tukio la kipekee linaloweza kubadili maisha. Malipo haya ni fursa adhimu ya kuweka msingi imara wa maendeleo binafsi na ya nchi. Katika makala hii, nitaelezea jinsi ninavyoweza kutumia fedha hizi kwa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda asikitishwa kuona kisima cha maji kilichogharimu tsh milioni 600 Longido hakiwanufaishi wakazi wa eneo hilo

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda , ameonesha hali ya kushangazwa na kuchukizwa mara baada ya kutembelea na kukagua mradi wa kisima cha maji uliopo kijiji cha Ilidonyo Kata ya Sinya katika Halmashauri ya Wilaya ya Longido uliotumia kiasi cha fedha takribani Tsh Milioni 600 na bado...
  13. Logikos

    JamiiForums Tanzania Algeria wameshabadilisha Magari zaidi ya Milioni Moja kutumia LPG (Sio CNG bali LPG) - Gesi tunayopikia Majumbani

    Gesi hii ambayo wanaiita Auto-Gas ndio mixture ya (Butane na Propane au Propane) na ndio huku tunapikia majumbani...; nimetoa hii habari hapa kuonyesha kwamba ni busara kutumia ulichonacho na Algeria hii gesi ndio bei rahisi sana nadhani kuliko sehemu nyingine... Wamefanikisha hayo kwa kutumia...
  14. B

    JamiiForums Tanzania TOA Tanzania yapata uwekezaji wa $30 Milioni kutoka BII za kupanua miundombinu ya mawasiliano na kuboresha huduma ya mawasiliano Tanzania

    ● Pesa zitatumika kujenga minara mipya 200 na kuongeza upatikanaji wa huduma ya mawasiliano vijijini ● Upanuzi wa miundombinu utaboresha upatikanaji wa mtandao, na kuongeza nguvu kwenye jitihada za serikali za kufikia malengo ya kidijitali, huduma jumuishi za fedha pamoja na kutoa nafasi za...
  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Serikali: Watumiaji wa Intanet wafikia milioni 36.8

    Serikali imesema kumekuwa na mafanikio makubwa ya sekta ya habari na Mawasiliano, pamoja na upatikanaji wa mawasiliano nchini, hivyo kuongeza idadi ya laini za simu, watumiaji wa intaneti na huduma za kutuma na kupokea fedha katika Mwaka wa Fedha 2023/2024 . Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Festo Sanga: Watu Milioni 3 ndio wanaolipa kodi kati ya Milioni 30+ wanaostahili kulipa

    CASHLESS ECONOMY-DIGITAL ECONOMY (Uchumi wa Kidijitali, matumizi ya fedha kielectroniki kwenye shughuli za kiuchumi). Leo (16/05/2024) nimesimama Bungeni kuomba ufafanuzi kwa serikali, Katika Dunia ya sasa, uchumi umehamia kwenye mifumo (elekroniki) iwe kununua au kulipa au kupata huduma yoyote...
  17. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Tazama banda la kupokelea Samaki lililojengwa na TAMISEMI kwa Tsh. Milioni 50

    Utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa banda la kupokelea samaki katika soko la kimataifa la samaki lilipo eneo la Katambe Magarini lililojengwa kwa fedha za mfuko wa ndani Halmashauri kiasi cha Tsh. Mil 50 lakamilika kwa 100%. OR TAMISEMI
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Akamatwa akiwa na milioni 29 Gest

    Mkazi wa Jijini Dar es salaam amekamatwa na Polisi Mkoani Njombe akiwa na Tsh. 29,374,000 katika nyumba ya kulala Wageni (Gesti) Mjini Makambako ambapo fedha hiyo inadaiwa ameipata kwa njia ya wizi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Mahamoud Banga, amesema wamemkamata Mwakatundu wakiwa...
  19. Replica

    JamiiForums Tanzania Huawei katoa Pura 70, hatari na nusu. Angalau milioni 5 kuikamata

    Huawei amezindua series za Pura 70 nchini China ikifungua ukurasa mwingine wa maendeleo pamoja na vikwazo vya Marekani. Ripoti zinasema simu hiyo imetumia zaidi vifaa vinavyotengezwa China kuliko simu yoyote Huawei imeshawahi kutengeneza kabla. Pamoja na hivyo bado Kirin 9010 inayotengezwa na...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ndaisaba Ruhoro Achangia Milioni 5 Ujenzi wa Kanisa Katoliki Rulenge - Ngara

    MHE. RUHORO, MBUNGE WA JIMBO LA NGARA NA WANAJIMBO KATORIKI LA RULENGE - NGARA. 💒⛪🗓️12 MAY,2024.💒⛪ Mhe. NDAISABA GEORGE RUHORO, Mbunge wa Jimbo la Ngara, Sekreterieti CCM 'W' na M/kiti CCM 'W' Ndg VITARIS NDAILAGIJE amefanya ziara alimaarufu OPERESHENI JENGA KANISA katika Kanisa Katoliki...
Back
Top Bottom