Mpo 100 kwenye chumba, ili ushinde milioni 100 unatakiwa kufanya kitu kimoja unachokiweza sana kuliko wote. Utafanya nini?

Precious Diamond

JF-Expert Member
Jun 9, 2023
397
993
Wakuu kwema? Tuchangamshe kichwa kidogo.

Mpo watu 100 kwenye chumba kimoja, na kuna milioni 100 za kushindaniwa. Ili uweze kunyakua mahela hayo unatakiwa kufanya kitu kimoja ambacho utawashinda wengine wote.

Ungefanya kitu gani?

Mimi ningekaa kimya tu, maana watu asiku hizi hawajui kunyamaza, ni kama wanawashwa hivi, bla kupigizana kelele hawaoni raha, kitu kidogo tu keleeleeee mtindo mmoja.

Wewe ungefanya nini?
 
mkuu hicho chumba kipo wapi nije kukiona
 
Ningesema sitaki iyo pesa, na ningemmind aliyetoa ilo wazo. Nadhani kila mtu anayetaka hiyo pesa asingesubutu kufanya hivyo.
 
Kwangu mi hao mia hawatoshi kama hapa jf kuna watu 100000+ na wote wanajua nawakalisha nikiamua sembuse hao mia oya mello niongeze cheo expet member cheo kidogo sana hiki angalau unipe hata umods niwe napiga piga bann wapuuz kama hawa mtoa post mana ameandika upumbavu mtupu churaa wewe
 
Kuwafanya kuwa kitu kimoja ii yeyote atakayeshinda agawie wengine.

Kama unakumbuka big brother na maisha plus,wale waliokuwa social ndio walishinda mara zote,walipendwa na washiriki wenzao lakini mpaka na watazamaji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom