mikopo

  1. hp4510

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu ya Tanzania, Pitieni tena Sheria za hawa watoa mikopo mitandaoni wamekuwa kero na Wasumbufu sana

    Najua kuna watu wa bank kuu hapa. Me naona Pitieni tena Sheria zenu Kwa hawa watu au msimamishe huduma mpaka wajipange tena. How napigiwa simu 50 na msg 100 naambiwa nimemdhamini mtu kuchukua ela kwao na nimeshirikiana Nae kutapeli? Kwanini wakati wanapeana Mikopo hawakupiga simu kwangu...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Madiwani na Wenyeviti wa Halmashauri wanachukua Mikopo ya 10% kwa Vikundi Feki

    Rais Samia amesema Serikali inashughulikia namna itakavyotoa tena Mikopo ya 10% ya Halmashauri kwaajili ya Vikundi ambayo ilisitishwa baada ya Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya mwaka 2022/23 kuonesha kulikuwa na ubadhirifu mkubwa Akizungumza wakati akiwaapisha Viongozi...
  3. Rayvanny wa jamiiForums

    JamiiForums Tanzania Mikopo inayoendelea kuombwa kwa kasi na Serikali hivi huwa inaenda kweli kwenye sehemu husika au inaisha tu juu juu?

    Ndugu zangu watanzania hivi hili wimbi kubwa la mikopo inayokopa serikali huwa inaishiaga wapi mbona hatupewi maelezo yoyote au taarifa yoyote kuhusu utekelezaji wake? Nchi inaingia kwenye madeni makubwa sana hii lakini huku gharama za maisha zikizidi kupanda na asilimia kubwa ya wananchi...
  4. MD Khalid

    JamiiForums Tanzania Athari za mikopo ya kibenki kushindwa kuwanufaisha wakopaji

    Kumekuwa na utaratibu mbaya sana watu kuchukuwa mikopo mabenkI bila kuwa na utaratibu sahihi utakaowawezesha mikopo hiyo ijilipe wenyewe bila ya kuathiri vipato vyao ila wengi wamekuwa wakifanya maamuzi ya uchukuaji wa mikopo bila ya kupitia taasisi ya DEVELOPMENT SOLUTION GATE kuwapa miongozo...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu kesi yangu na app za mikopo

    Kama nilivoahidi kuwa leo Jumatatu tarehe 26/02/2024 naanza mchakato wa kuwashitaki hawa watu. Nimeanzia TCRA ambako nimepeleka malalamiko yangu, Majibu ya TCRA ni kwamba wao hawahusiki kwa sababu hasimamii watu bali wabasimamia makampuni ya mawasiliano. Hii kidogo imeshitua hivo ikabidi niende...
  6. Mr Sir1

    JamiiForums Tanzania Kuna haja kwa mamlaka husika kuangalia upya mikopo ya mitandaoni

    Kwa uelewa wangu mdogo ili mtu uweze kuwa mdhamini ni sharti kwanza umjue unaemdhamini na pili uridhie kuwa mdhamini. Lakini kwa siku za hivi karibuni kumetokea mchezo wa makampuni ya kutoa mikopo mitandaoni kuwasiliana na watu out of nowhere kwa madai kuwa wao ni wadhamini wa mtu fulani...
  7. H

    JamiiForums Tanzania TCRA mmeamua kuuza utu wetu kwa wahuni wa App za mikopo mtandaoni

    Ndugu wanajamvi, Asalaam Aleikhum. Kama kichwa cha habari kilivo hapo juu nimejikuta na kuwa mhanga wa hawa matepeli wa APP za mitandaoni. Iko hivi kuna mtu ambaye ninafahamiana naye ama ni mtu wangu wa karibu ktk familia, kwa utashi wake binfasi alikopa kwa hawa jamaa, alikopa lini na kiasi...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yaahidi kuwashughulikia wanaowadhalilisha wakopaji Mitandaoni kwa mikopo Kausha Damu

    Serikali imetoa wito kwa watoa huduma za kifedha nchini kufuata sheria na taratibu za huduma za Fedha ikiwemo kupata leseni ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ili kuhakikisha huduma hizo zinatolewa kwa ufanisi bila kuwaumiza na kuwadhalilisha wanufaika na hatimaye kukuza uchumi wa nchi. Akizungumza...
  9. Half american

    JamiiForums Tanzania Kifanyike kipi kuboresha Mikopo kausha damu iwe na manufaa kwa wakopaji?

    Habari wakuu, nmeona kipindi cha ripoti maalum ITV kuhusu mikopo kausha damu. Malalamiko ni mengi sana licha ya kuwepo kwa uhitaji wa mikopo na wengine kufikia hatua ya kuomba hii mikopo isitishwe. Dhamana zinazowekwa na kiasi cha mkopo haviendani kabisa. Kwa maelezo ya wanawake wengi...
  10. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Watu 60 wajiua kwa kuaibishwa na mikopo ya mtandaoni India. Ni kama utapeli unaofanywa Tanzania

    Uchunguzi wa kijasusi uliofanywa na BBC umegundua yafuatayo. 1) Mteja mtarajiwa hutumiwa meseji akiambiwa kwamba amechaguliwa kupata mkopo wa kiasi flani, hivyo afuate link ya ‘playstore’ ili ku-‘download’ na ku-‘install’ app ya kampuni husika. 2) Wakati wa ku-‘install’, ile app inakuomba...
  11. snipa

    JamiiForums Tanzania Precision ya "Tuma kwenye namba hii" na Apps za Mikopo.

    Kuna Thread niliwahi zungumzia juu ya Apps hizi scam za Mikopo. Sasa Leo tujaribu kuangalia kwa upande wa matapeli wa tuma kwenye namba hii ambalo ni gang kubwa na wanafunikwa na kivuli Cha wakubwa. Kama nilivyowahi kueleza kuwa Apps za Mikopo kama vile PesaX, Msafi, Twiga Loans n.k hizi apps...
  12. X

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa njia ya Mtandao

    Habari Wana JamiiForum? Nilikuwa nahitaji kufahamu je ni sahihi kwa watu wanaokopshe kwa njia ya app kuhack phonebook ya mteja na kuanza kuwatumia watu walio kwenye phonebook ya mteja na kusambaza taarifa za mteja kwa kushindwa kulipa deni ndani ya siku walizokubaliana? Na isitoshe wanaotumiwa...
  13. hp4510

    JamiiForums Tanzania Serikali ipitie upya Sheria ya 'Mikopo ya Mtandaoni (Online)'

    Hii mikopo ya online inasaidia Sana, pamoja na kwamba Riba Yao ni kubwa Sana, wakikupa elf 20 unarudisha elf 29 kwa siku Saba Shida inakuja Kwa wafanyakazi wao ambao wanadai hiyo mikopo Aisee ni kama vichaa, mkopo ukibakia siku moja Tu Yan kesho yake unatakiwa kulipa utakuta missed call zaidi...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya Mikopo yaiweka pabaya Misri

    UAE in talks to buy Egypt coastline for $22bn The United Arab Emirates has expressed an interest in buying the Ras El Hekma area on Egypt’s northern coast as a form of economic support for Cairo, Egyptian newspapers have reported. The privately-owned Egyptian newspaper Al Mal stated on Sunday...
  15. Muwa mtamu

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi zaidi ya 450 wameahirisha masomo baada ya kukosa mikopo

    Hii ni taarifa mbaya sana kwa mstakabali wa hatima ya taifa letu. Wanafunzi zaidi ya 450 wameahirisha masomo baada ya kukosa mikopo baada ya mitihani kukaribia. Kwa mujibu wa utaratibu wa chuo, mwanafunzi atakayeruhusiwa kufanya mtihani yaani UE atawajibika kuwa na kitambulisho cha chuo na sio...
  16. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya bank za kibiashara aliyokuwa anakopa Magufuli machungu yake ndio yanaonekana sasa

    Kwenye hii dunia ili ushindane na mzungu inahitaji uwe na akili kubwa sana ya kufikiria mbali ukishindana na mzungu kwa hisia ni swala la mda tu utaumia sana RAIS Magufuli alitumia hisia kushindana na wazungu Wakati Magufuli kaamua kuchukua mikopo bank binafsi watu tulilaani sana ila wako...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa TALGWU, Mhasibu na Mkuu wa Mikopo wafikishwa Mahakamani kwa Ubadhirifu wa Tsh. Milioni 133.5

    DAR: Watumishi 4 wa akiwemo Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU) akiwemo Mkurugenzi Mtendaji, Jackson M. Ngalama, Emmanuel G. Mdoe (Mhasibu), Pamela M. Sellemia (Mkuu wa Idara ya Mikopo), Timothy P. Mashishanga (Dereva) wamefikishwa Mahakamani kwa...
  18. greygreyo

    JamiiForums Tanzania Hali ya mikopo vyuoni ni Mbaya

    Wanafunzi hawajakamilishiwa boom zao mpaka sasa na mitihani inafika na wanategemea kulipia ada, HESLB wanampango gani?
  19. A

    JamiiForums Tanzania Hizi Taasisi za mikopo zinakera sana ,Zijirekebishe zinakera Kwa kweli

    Mnanikera sana Kila baada ya siku mbili mnatuma tu Text zenu ,mtu kama anahitaji huduma atawafata ofisin kwenu, Na siyo Kila mtu ana malengo ya kukopa kopa hovyo.
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wahudumu wa mikopo ya mitandaoni walinipigia kabla ya muda wa marejesho nikawaambia kuwa sitawalipa kwakuwa wameniletea usumbufu. Sijawalipa

    Muhudumu wa kwanza alinipigia siku moja kabla ya siku ambayo nilipaswa kulipa na kuniambia nifanye malipo haraka kuna zawadi. Nikamjibu kistaarabu tu siku ikapita. Muhudumu wa 2 alinipigia siku ambayo nilipaswa kulipa nikamwambia atulie kwakuwa wameweka interest kwa kila siku inapoongezeka ...
Back
Top Bottom