Mikopo inayoendelea kuombwa kwa kasi na Serikali hivi huwa inaenda kweli kwenye sehemu husika au inaisha tu juu juu?

Rayvanny wa jamiiForums

Senior Member
Apr 7, 2023
132
347
Ndugu zangu watanzania hivi hili wimbi kubwa la mikopo inayokopa serikali huwa inaishiaga wapi mbona hatupewi maelezo yoyote au taarifa yoyote kuhusu utekelezaji wake?

Nchi inaingia kwenye madeni makubwa sana hii lakini huku gharama za maisha zikizidi kupanda na asilimia kubwa ya wananchi wakiteseka. Serikali isije kuwa inakopa kopa hovyo kwa maslahi yao binafsi.

Ninaamini mikopo hii kama itakuwa inakopwa na watawala kwa maslahi yao binafsi nchi nzima haita husika kulipa mikopo hiyo sikuna mamlaka za haki za kimataifa, basi mikopo hiyo kama itaendelea kukopwa na serikali kwa mgongo wa watanzania maskini kusudi wajinufaishe wenyewe bila ushiriki wowote wa wananchi wala utekelezaji wowote wenye uwazi basi watanzania hawatokuwa na sababu ya kulipa mikopo hiyo.

Ninatamani niende kwenye benki kuu ya dunia
 
Eti zimechimbiwa ktk handaki msoga
Alisikika mnywa kangala akiropoka kilabuni.
 
Duh 🙄 !
Maneno mazito !
 
Huko ndio wanachota kina Mwigulu kwa ajili ya kusakia urais.
 
Hilo swali ni bora ukamuuliza ndugu Lucas Mwashambwa 🤓
 
90% ya hiyo mikopo huliwa na mchwa. Ni 10% pekee ndiyo hutumika kwa matumizi sahihi.
 
kwa mikopo tuliochukua toka tupate uhuru hii nchi isingetakiwa kuwa na shida za barabara maji umeme na makazi kwa wananchi wake....
 
Ndugu zangu watanzania hivi hili wimbi kubwa la mikopo inayokopa serikali huwa inaishiaga wapi mbona hatupewi maelezo yoyote au taarifa yoyote kuhusu utekelezaji wake?

Nchi inaingia kwenye madeni makubwa sana hii lakini huku gharama za maisha zikizidi kupanda na asilimia kubwa ya wananchi wakiteseka. Serikali isije kuwa inakopa kopa hovyo kwa maslahi yao binafsi.

Ninaamini mikopo hii kama itakuwa inakopwa na watawala kwa maslahi yao binafsi nchi nzima haita husika kulipa mikopo hiyo sikuna mamlaka za haki za kimataifa, basi mikopo hiyo kama itaendelea kukopwa na serikali kwa mgongo wa watanzania maskini kusudi wajinufaishe wenyewe bila ushiriki wowote wa wananchi wala utekelezaji wowote wenye uwazi basi watanzania hawatokuwa na sababu ya kulipa mikopo hiyo.

Ninatamani niende kwenye benki kuu ya dunia
Una hoja
 
Nadhani kuna haja ya kuitazama upya Wizara ya Fedha.

Kuna watendaji wazuri na wazoefu sana lakini kuna ambao sina hakika juu ya uwezo wao,uzalendo wao na uadirifu wao matharani wanaosimamia idara na kurugenzi nyeti Kwa maendeleo ya nchi..

Mipango
Madeni
Ubia
Ukaguzi
 
Ndugu zangu watanzania hivi hili wimbi kubwa la mikopo inayokopa serikali huwa inaishiaga wapi mbona hatupewi maelezo yoyote au taarifa yoyote kuhusu utekelezaji wake?

Nchi inaingia kwenye madeni makubwa sana hii lakini huku gharama za maisha zikizidi kupanda na asilimia kubwa ya wananchi wakiteseka. Serikali isije kuwa inakopa kopa hovyo kwa maslahi yao binafsi.

Ninaamini mikopo hii kama itakuwa inakopwa na watawala kwa maslahi yao binafsi nchi nzima haita husika kulipa mikopo hiyo sikuna mamlaka za haki za kimataifa, basi mikopo hiyo kama itaendelea kukopwa na serikali kwa mgongo wa watanzania maskini kusudi wajinufaishe wenyewe bila ushiriki wowote wa wananchi wala utekelezaji wowote wenye uwazi basi watanzania hawatokuwa na sababu ya kulipa mikopo hiyo.

Ninatamani niende kwenye benki kuu ya dunia
WEWE UNAONA MISAFARA YA MTU MDOGO KAMA MSKONDA MAGARI ZAIDI YA 30 NDIO MIKOPO INAKOPOTELEA MANOTI ANAYAGAWA KAMA NJUGU NDIO MIKOPO HIYO
 
Tuliwaletea Rais miongoni Mwa mitume. Mlimuita chizi na mshamba. Tukawapa yule mnaehisi sio chizi na mshamba!
Bado tena mnaendelea kulia. Hakika hamjui mnachotaka. Nitaifanya Tanzania kuwa gomoro na sodoma kisha kuiondoa kwenye uso wa dunia na kuiangamiza kabisa
 
Laiti ungeelewa mfumo wa pesa duniani wala usingeshangaa !

Pesa hizo ni kwa watu wachache ,hata ulipaji wanalipa 1 then wanakopa 2 ....Ingia kweny mfumo upate easy money 💰

Make sure you secure cash first
 
Back
Top Bottom