mikopo

  1. R

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Waziri wa Fedha Tanzania amewahi kukopa fedha nyingi kuliko Mwigulu Nchemba?

    Kwa wataalam wa bajeti na masuala ya uchumi, ni waziri gani wa fedha amewahi kukopa fedha nyingi kwa muda wa miaka mitatu ya uongozi wake kama Mwigulu Nchemba? Kukopa siyo tatizo, je mikopo hii mingi ya Mwigulu inafanya kazi tarajiwa? Tutaweza kuirejesha kwa wakati uliowekwa? Baada ya Mwigulu...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la mikopo umiza:Raisi Samia, unda Chombo au Taasisi maalumu itayohusika kusimamia na kudhibiti biashara ya kukopesha fedha

    Tatizo la mikopo umiza maarifu kama "kausha damu", linazidi kushika kasi hapa nchini huku Benki Kuu yenye dhamana ya kusimamia na kuendesha hii biashara, ikiionekana kushindwa kabisa kudhibiti uholela wa hii biashara japo teyar kuna sheria na Kanuni za kusimamia uendeshaji wa hii biashara...
  3. IKEKERA

    JamiiForums Tanzania KWA WATUMISHI WA UMMA:Fanya hivi ukitendewa ndivyo sivyo na afisa mikopo

    Habari za mida hii GT...niende kwenye mada Katika kujikwamua na maisha ya kawaida huenda ukajikuta unaingia benki na hivyo kufanya mawasiliano na afisa mikopo... Picha linaanza ambapo huanza kukupigia hesabu za mkopo wa muda mrefu mfano miaka 9... Tatizo linaanzia pale ambapo mnakubaliana...
  4. Jay_255

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Nauza mfumo utakaokusaidia kutunza kumbukumbu za mauzo na manunuzi hata kama upo mbali na biashara yako

    FedhaBook: Mfumo wa kusimamia hesabu za biashara yako hata kama upo mbali na biashara yako Okoa muda na kujichosha kupiga mahesabu kwa kichwa na kalamu na daftari na uutumie muda huo kufanya mambo mengine binafsi na ya kimaendelea au ya kifamilia Ni mambo gani unaweza kuyafanya ukiwa na mfumo...
  5. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Kuna muda ni bora kuweka Airplane mode kuepuka mizinga

    Kuna muda ukipata hela wenzako unaofanyanao kazi kama wanajua umepata hela ni bora kuweka Airplane mode kuepuka Mizinga 😃, simu zitaingia Kama zote, utasikia Mkuu mbona kimya unaniachaje!
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Songwe: Polisi yawakamata wanaotoa Mikopo ya Kausha Damu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe kwa kipindi cha mwezi Aprili, 2024 linawashikilia watuhumiwa 424 kwa tuhuma ya kujihusisha na matukio ya Ukatili wa kijinsia, Uvunjaji, Wizi, mauaji, utapeli kwa njia ya mtandao, Kujifanya mtumishi wa serikali, Kughushi nyaraka, dawa za kulevya, ukiukwaji wa sheria...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Watakatishaji fedha wanaotoa mikopo mitandaoni wanalindwa na nani? Wanapata wapi pesa za kukopesha watu wasiowafahamu?

    Tanzania kuna mtandao mkubwa umeibuka wa utakatishaji fedha unaoongozwa na wanasiasa na viongozi wa umma wanaokwapua fedha za walipa kodi zisizo haki yao. Kutokana na watu hawa kupata fedha wasizo na uchungu nazo wametengeneza application zakutoa fedha online kama mikopo. Masharti yao...
  8. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Hii mikopo ya simu bora kausha damu, Serikali iiangalie aisee

    Aisee hii mikopo n balaaa inatesa wamama wengi sana ingawa hawajajua Majuzi nilikuwa napiga kwa shemeji yenu, ana simu mbili, ya kwanza ilibaki nyumbani ya pili piga kimya haipatikani na kaaga anaenda kanisani. Nikamuuliza aliporudi vipi mbona umezima simu, sio mimi wenye simu zaoo sijalipia...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nashauri mikopo ya elimu ya juu ifutwe, mbona wenzao wa diploma wanasoma bila mkopo iweje wao?

    Nashauri hii mikopo ya elimu ya juu ifutwe, mbona wanachuo wenzao wa diploma wanasoma bila mkopo na hatusikii kelele zozote? Tofauti yao na wenzao wa diploma ipo wapi? Nimeona Serikali inataka kuwapa mikopo na hawa diploma, hili nalo litakuwa kosa kubwa sana, yaani kujibebesha mzigo juu ya...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ona hukumu ya mikopo chechefu kutoka Court of Appeal

    1. Hukumu hii ni halali kabisa according to my legal observation. Reasoning ya waheshimiwa majaji iko correct...time barred serving of legal documents to respondents. under the following preliminary objection: The amended record o f appeal by the appellant was served on the 1st, 2nd, and 3rd...
  11. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Siri zavuja mikopo chefuchefu

    SIRI ZAVUJA MIKOPO CHECHEFU - Jaji aliyehukumu kihuni kesi za wafanyabiashara waliokataa kulipa mkopo waliokopa kisha kukimbilia mahakamani na kuwapa ushindi ahamishwa mahakama -atolewa mahakama kuu divisheni ya biashara na kupelekwa mkoa mmoja wa nyanda za juu kusini -Wafanyabiashara...
  12. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Ripoti Maalumu Mikopo Chechefu, Mabilioni ya Shilingi yakwapuliwa, wengine wagoma kulipa

    JItihada za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kukaribisha na kuhamasisha uwekezaji wa ndani na kutoka nje ya nchi kuja kuwekeza nchini unaelezwa kutiwa kigingi na tabia chafu inayozidi kuota mizizi ya baadhi ya wafanyabiashara wakubwa kushirikiana na baadhi ya majaji wa mahakama kuu wasio waaminifu...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Michezo haramu katika mikopo chechefu. Je, Martin Masese anapata wapi taarifa nyeti kama hizi?

    Martin MM ameandika makala ndefu katika mtandao wa X akionyesha ni kwa jinsi gani wanasiasa na wanachama wa chama cha mapinduzi wasiozidi kumi walivyojinufaisha na mikopo ya benki na baadaye wakaenda mahakamani kupinga kulipa mikopo hiyo. Kwa unyeti wa taarifa hizi ni wazi kwamba wapo watu...
  14. Black Legend

    JamiiForums Tanzania Bank kutoza "processing fee" kwenye mikopo ni uwizi mkubwa.

    Kumekuwa na mfumo huu kandamizi wa bank nyingi Tanzania kumtoza ada ya kupitisha mkopo mteja wa bank hizo. Ukiangalia kiundani,kuandaa mkopo na kumhudumia mteja ni jukumu la bank.....mteja aishie kukatwa riba tu na sio vipengele vingine kandamizi kwa mteja.
  15. Even MOre

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mikopo ya 10% ya Halmashauri imegeuka kuwa mikopo ya Wanachama wa CCM

    Habari wana jamvi. Naomba kuwasilisha mada hii kuviomba vyama vya Upinzani vipaze sauti kuhusu utaratibu mbovu ambao kwa sasa Halmashauri nyingi Nchini wanafanya kutoa mikopo kwa kigezo cha kuwa mwanachama wa CCM hasa vikundi vya wanachama wao ndivyo vinapewa mkopo. Niko Mkoa x na ninafanya...
  16. SteveMollel

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Afisa mikopo na laana alopewa na mteja

    Anachotaka Christine ni kupanda cheo hapa benki toka kuwa afisa mikopo mpaka kuwa meneja wa tawi. Anaamini akikaa hapo, wazazi matajiri wa 'boyfriend' wake watamheshimu na kumwona anafaa kuolewa na mtoto wao. Lakini sasa shida ni moja, mfanyakazi mwenzake anayeitwa Stu. Bwana huyu naye...
  17. Kibra49

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kampuni zinazotoa mikopo ya bajaji, ukiacha kampuni ya watu credit

    Habari wadau naomba kufahamishwa kampuni zinazotoa mikopo ya bajaji hapa Dar es Salaam.
  18. Chinga One

    JamiiForums Tanzania Kwa wale mnaolalamika kudhalilishwa na kampuni za mikopo mtandaoni, fanya hivi kuwazuia kuona taarifa kwenye simu yako

    Moja kwa moja kwenye mada.... Fanya hivi nenda setting>Privacy>permission manager>apps that can control your data....ukifungua huku utazikuta apps zote ulizo allow ku access simu yako then gusa kila kipengele kimoja kimoja kuanzia kwenye sms,camera,files,contacts utakuta hizo apps ulizoruhusu...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Taarifa Binafsi: Kampuni ya Mikopo inayojiita Credit Land imenifanyia udhalilishaji

    Nimepitia udhalilishaji wa kimtandao naomba kupata utaratibu nifanyeje tafadhali. Wamenidhalilisha vibaya mno wameniundia mpaka group, wameadd ndugu zangu na marafiki wakidai ni tapeli nimekaidi kulipa mkopo wao na matusi juu. Kampuni inaitwa Credit Land
  20. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Mikopo umiza, kausha damu ni matunda ya mifumo ya kibenki iliyojaa urasimu

    Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu kwenye vyombo vya habari madhila wayapatayo wakopaji wa taasisi za mikopo midogomidogo hususani akina Mama inaonekana sauti ya vilio ni kama imepanda zaidi. Kwanza kabisa taasisi hizo pamoja na kupewa jina baya kana kwamba zinakosea sana ni zao la mifumo mibovu...
Back
Top Bottom