Wanafunzi zaidi ya 450 wameahirisha masomo baada ya kukosa mikopo

Colgate3

JF-Expert Member
Jun 13, 2020
800
1,424
Hii ni taarifa mbaya sana kwa mstakabali wa hatima ya taifa letu.

Wanafunzi zaidi ya 450 wameahirisha masomo baada ya kukosa mikopo baada ya mitihani kukaribia.

Kwa mujibu wa utaratibu wa chuo, mwanafunzi atakayeruhusiwa kufanya mtihani yaani UE atawajibika kuwa na kitambulisho cha chuo na sio form ya utambulisho.

Na ili upate kitambulisho mwanafunzi anapaswa kulipa nusu ya ada ya chuo na michango mingine.

Mwanafunzi anaporipoti chuini kabla ya kulipa ada hupewa form maalum yenye muhuri wa chuo na hii hudumu hadi atakapilipa na kupewa kitambulisho.

Idadi ya wanafunzi 450 kwa chuo kimoja ni idadi kubwa sana, ambapo inawezekana na vyuo vingine kuna hali kama hii.

Waziri wa Elimu ingefaa uingilie kati jambo hilo.
 
Wachache sana hao,harafu kama ni fani sio za kipaombele hakuna shida
 
Back
Top Bottom