mikopo

  1. hmaloh

    JamiiForums Tanzania Application za kutoa mikopo wanapata wapi haki ya kuingilia faragha kwenye simu ya mteja na kuhack majina?

    Kama kuna siku nimewahi kudhalilika basi ni leo. Hivi jamani hawa jamaa wanao-deal na application za kutoa mikopo wanapata wapi haki yakuingilia faragha kwenye simu ya mteja nakuhack majina kisha kutuma jumbe za udhalilishaji yani leo nimevuliwa nguo Wanajamvi wenzangu daah! What a shame ila...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan anatazamia kutafuta mikopo zaidi toka China wakati wa Kongamano la Ushirikiano kati ya China na Afrika mwezi wa 9

    Rais Samia Suluhu Hassan atatembelea China mwezi Septemba kwa ajili ya Kongamano la Ushirikiano kati ya China na Afrika (Focac) ambapo anatarajiwa kusaini mikataba mipya ya mkopo huku Tanzania ikianza kutekeleza sera mpya ya mambo ya nje iliyofanyiwa marekebisho. Kwa mujibu wa Wizara ya Mambo...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Mtazamo binafsi: Wanafunzi wanufaika wa mikopo wafungue mashtaka juu ya ucheleweshwaji wa stahiki zao

    Habari za mda wanajukwaa. Moja kwa moja niende kwemye mada husika. Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na malalamiko kutoka kwa wanafunzi wa elimu ya juu hapa nchi kuwa wamecheleweshewa stahiki zao( fedha za kujikimu) kutoka bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Ifahamike ya kuwa hizo...
  4. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 10% mikopo inayotolewa na almashauri kwa vijana ni bora ikajenge vyuo vya ufundi ilikuwa na wabunifu wengi kuendana na kasi ya teknolojia duniani

    Ili Tanzania kuendana na kasi ta teknolojia duniani ni lazima tuwe na vyuo vingi vya ujuzi angalau kila wilaya, ilikusudi wale wanao onekana wameshindwa mitohani basi baraza liwachague kwenye hivyo vyuo vya ujuzi kuliko kuwaacha wakae mitaani tu hali zikisha kuwa ngumu za maisha ndo wanageuka...
  5. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 10% ya fedha inayotolewa na Halmashauri kwaajili yakuwainua vijana kiuchumi zitumike kujenga vyuo vya ufundi kuendana na kasi ya teknolojia ya dunia

    Ili Tanzania kuendana na kasi ta teknolojia duniani ni lazima tuwe na vyuo vingi vya ujuzi angalau kila wilaya, ilikusudi wale wanao onekana wameshindwa mitohani basi baraza liwachague kwenye hivyo vyuo vya ujuzi kuliko kuwaacha wakae mitaani tu. Hali zikisha kuwa ngumu za maisha ndo...
  6. N

    JamiiForums Tanzania KERO Ukiwa na mkopo Songesha hupati mkopo benki

    Songesha na mikopo mingine ya simu imepelekea watumishi kunyimwa mikopo wanapoenda bank kukopa, na hii ni kutokana na mamlaka zinazosimamia mikopo kuweka utaratibu wa madaraja high risk, risk na low risk katika kadiri mteja anaposongesha. Hilo limetokea leo mimi mwenyewe nilipoenda bank na...
  7. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Taarifa zangu kwa watu wa Mikopo ya mtandao zinatumikaje?

    Hawa wakopeshaji hutakuja kukutana nao ana kwa ana. Nilikopa kwa shida na nikajutia kukopeshwa. Swali langu je kwa kuwa wanataarifa zangu kama nakala katika picha yangu na Nida yangu je hawawezi kuzitumia vibaya? Yaani ni wanatukana matusi na dharau wanadhani ukikopa huna akili, maskini...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Walimu wanadhalilika kwa mikopo na kumuaibisha Rais Samia ambaye ni mwajiri wao

    Mikopo inawadhililisha kila kona ya nchi. Kampuni za Microfinance zinawakopesha wanashindwa kulipa. Wanashitakiwa kila kona na hii ni aibu kubwa kwa mwajiri wao maana inaonekana hawallipi vizuri.
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bayport na Banc ABC wanapata wapi namba zetu za simu na kutumbua na meseji zao?

    Mimi ni mtumishi wa serikali. Kuna malalamiko yaliwahi pia kuandikwa hapa siku za nyuma lakini lile tatizo nadhani limezidi maradufu. Kampuni za mikopo mfano Bayport, Manoto Bank, ABC na zingine zimekuwa zikituma meseji za huduma zao wakati sijawahi kujiunga wala kujaza fomu zao. Kwa mfano hao...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania HESLB: Fedha za kujikimu (Chakula na Malazi), Wanafunzi kuanza kupokea kuanzia Jumatatu, Mei 20, 2024

    UFAFANUZI KUHUSU MALIPO YA FEDHA ZA KUJIKIMU KWA ROBO YA NNE Ijumaa, Mei 17, 2024 Tunapenda kuwafahamisha wanafunzi wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu na umma kuwa tunakamilisha malipo ya fedha za kujikimu (Chakula na Malazi) kwa robo ya nne (Quarter IV) na wanafunzi watarajie kupokea fedha...
  11. thefather

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kivipi mikopo itawainua watanzania hasa vijana na sio kuwa janga linalo sababisha maafa na kuaribu ndoto za wengi

    Mikopo rahisi na rafiki ni miongoni mwa njia bora kabisa inayo weza kuwainua watanzania wengi hasa vijana kwa kutoa fursa ya kupata mitaji na kuwezesha ndoto,ubunifu ,ujuzi na vipaji mbalimbali walivo navyo vijana hii itapelekea kupunguwa kwa wimbi kubwa la vijana wasio na ajira mitaani na...
  12. lugoda12

    JamiiForums Tanzania MIKOPO

    Usithubutu hata 👌🏾 kwa hawa jamaa aiseeh, wee acha tu! 😂
  13. Mr Beast

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Hata Ulaya ilijengwa kwa Mikopo toka Marekani Marshall Plan si dhambi kukopa ili kujenga miradi ya maendeleo kama SGR au JNHP

    === Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu na mashaka Watanzania kwani Serikali yao ya awamu sita chini ya Dkt Samia Suluhu Hassan ina nia na dhamira njema dhidi yao. Kafulila akihojiwa Katika kipindi Cha Television amesema si kosa nchi kukopa kwaajili ya...
  14. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Hizi App za mikopo online ni mkombozi wa wanyonge au nyonya damu?

    Ni uzi mwingine tena kuhusu Application za kukopesha watu ukiwa na dharura. Sijakopa, ila hii weekend nimetumiwa zaidi ya meseji 8 tofauti tofauti ya watu wanne nnaowajua wamekopa na hawajalipa sasa meseji inasema niwaambie walipe. Wao wanasema mimi niliwekwa kama mdhamini lakini baada ya...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kitengo Maalum Kuanzishwa Kusimamia Mikopo ya 10%

    KITENGO MAALUM KUANZISHWA KWAAJILI YA KUSIMAMIA MIKOPO YA 10% Naibu Waziri OR-TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainabu Katimba (Mb) amsema serikali imefanya maandalizi makubwa katika usimami wa mikopo ya 10% kwani imeamua kuanzisha kitengo maalumu cha usimamizi wa Mikopo hiyo kwa ngazi ya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kufikia Tanzania Tuitakayo: Kufungamanisha mikopo ya Halmashauri na mkakati wa manunuzi ya umma kupitia makundi maalum

    Nchini Tanzania, hali ya umasikini bado imetamalaki licha ya jitihada mbalimbali kuchukuliwa ili kupunguza umasikini na kukuza uchumi. Jitihada za kupunguza umasikini zimeonekana kuwa na matokeo hafifu kutokana na ongezeko kubwa la watu. Hivi sasa Tanzania inakadiriwa kuwa watu zaidi ya milioni...
  17. je parle

    JamiiForums Tanzania WATOA MIKOPO TAFUTENU MBINU YA KUDAI NA SIO KUDHALILISHA WATU KUWA WANAJIUZA HII SIO SAWA

    niende moja kwa mbili kwenye mada kuu. kuna hawa watoa nikopo wa sasa kwa njia ya Mtandao Dah wanafanya kitu cha AJABU sana hizi ni kampuni za HOVYO sana mana wanakopesha wanawake ambao hawana kazi yoyote MTAANI .Bali wanakula tu Hizo hela alafu wanashindwa kulipa na kudhalilishwa na watoa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mikopo ya halmashauri kwa wanawake ,vijana na watu wenye ulemavu bado haitoshi

    Jambo la utoaji wa mikopo kwa wajasiriamali wadogo ambao wengi wao ni wanawake vijana na watu wenye ulemavu bado haitoshi kwa kiasi kikubwa. Ili kupata Tanzania bora tunayohitaji lazima serikali iangalie kwa kiasi kikubwa juu ya kutafuta njia mbadala ya kuweza kuwawezesha watu wengi zaidi...
  19. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya inaongoza Afrika Mashariki kwa madeni makubwa katika taasisi za Mikopo duniani

    Kwa mujibu wa taarifa ya Madeni iliyopo katika tovuti ya Shirika la Fedha Duniani (IMF), imeonesha takriban nchi 47 kutoka Afrika zimeendelea kuwa na Madeni katika taasisi hiyo ya Fedha ambapo hadi hadi kufikia Mei 16, 2024 Nchi 10 zilikuwa na Deni la takriban Tsh. Trilioni 72.3. Aidha, Nchi...
  20. J

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Taasisi zinazotoa mikopo zitunze faragha za wateja wao

    Napenda kulalamikia makampuni ya mikopo madogomadogo na assasi zisizo za kiserikali, kurekebisha kauli zao na misimamo yao, Mtu anapoomba mkopo nikwamba anahitaji mkopo ule ajikimu na matatizo aliyonayo, lakini badala yake wao hu (upload users devices data) mfano Phonebooks na meseji kisha mteja...
Back
Top Bottom