mbwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Aina mbalimbali za mbwa. Jamii ipi unaikubali sana kati ya hizi?

    Naanza na boss mwenyewe kabisa.
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

    Chagua upande kisha weka hoja makini, sifa, wema, ubaya, uzuri ujanja, mahusiano, mitazamo na maono ya kila upande.. Jitahidi usiweke kejeli za kuudhi sana.. Matusi na dhihaka zinazokera. Tuepuke ishu za vibamia [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na kina Mario... Kina sugar daddy na sugar...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Askari wa kikosi cha Mbwa na farasi wawafariji wagonjwa na wahitaji Hospitali Zakhem

    Askari Polisi wa kike kikosi cha Mbwa na farasi Makao Makuu Dar es salaam wameendelea kuyakumbuka makundi ya wahitaji licha ya kuwa na dhamana ya kuwalinda raia na mali zao ambapo wamewafariji wagonjwa katika hospitali ya Zakhem iliyopo Mbagala wilaya Temeke Mkoa wa Dar es salaam na kutoa vitu...
  4. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Matokeo bora zaidi Hatua ya Makundi ya CAF Champions League

    Kumbe hapo zamani Uto alishawahi pigwa 6-0 kwenye hatua ya makundi ?
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ndoa ni lazima kwa watu wanaotaka kuwa na familia na kizazi Bora, ila kizazi cha mbwa au nyoka Ndoa sio lazima

    NDOA NI LAZIMA KWA WATU WANAOTAKA KUWA NA FAMILIA NA KIZAZI BORA, ILA KIZAZI CHA MBWA AU NYOKA NDOA SIO LAZIMA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kama hutaki kuzaa watoto na kuwafanya wawe watoto bora wenye malezi ya Baba na Mama. Basi kwako Ndoa sio lazima. Ndoa sio ishu ya Sex pekee. Sex...
  6. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mi bahili mpaka najishangaa mwenyewe

    Sijawahi hata siku moja kuliwa nauli. Dada mmoja alijaribu kula tsh 8,000 yangu. Nikasema moyoni ataitapika. Wala sikumlaumu. Ukiliwa nauli na demu usimtukane. Kuwa mpole kuwa kama fala. Usimzindue. Ile pesa nilimtumia alipoipata akasema hatoweza kuja. Nikamwambia its ok hamna shida pole pia...
  7. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ambae hana mpango wa kuoa ni Mbwa Dume na Mwanamke ambae hana mpango wa kuolewa ni Paka Jike.

    Kupanga ni kuchagua mwanaume ambae hana nia ya kuoa ni Mbwa Dume na Mwanamke ambae hana mpango wa kuolewa ni Paka Jike, uamuzi ni wenu. Fuatilia tabia na mienendo ya maisha ya hao viumbe hawanaga ndoa wala kuoa au kuolewa. Hawa viumbe kazi yao ni kunyandua na kupata matokeo ya minyanduano...
  8. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mbwa na paka warithishwa Tsh billion 7, ni baada ya watoto wake kutomtembelea

    Mwanamke mmoja huko Shanghai, China Bi Liu amewaachia urithi wa Dola Milioni 2.8 sawa na Tsh Bilioni 7 kwa mbwa na paka wake aliokuwa anaishi nao na kuwatosa watoto wake watatu. Bi Liu amefanya uamuzi huo wa kuwapa utajiri paka na mbwa wake baada ya watoto wake wa kike kumtelekeza na kugoma...
  9. assadsyria3

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tunamuomba Rais Samia atembeze kipigo cha mbwa koko kwa wote wanaotaka kuandamana

    Utaratibu wa kuleta vurugu na maandamano ili kuvunja amani na kuleta mifarakano isiyo ya lazima haikubaliki na ni lazima raisi asimame kidete kwa watu wanaotaka kuleta fujo na vurugu. Hali ngumu sio Tanzania tu, Nenda Kenya kaulize kuhusu garama za maisha je zipo chini? Hawa si wana tume huru...
  10. kajamaa kadogo

    JamiiForums Tanzania Je, wewe mwanaume unaweza kuuliwa na mbwa hawa wa kufungwa?

    wanasema ukitaka kumuua mbwa au paka mpe jina baya. je ni yapi maoni yako kuhusu wewe hapo binafsi juu linapokuja suala la mbwa anakushambulia anaweza kukusababishia kifo Mada kwa ajili ya wanaume
  11. Southern Highland

    JamiiForums Tanzania Kuna nini cha ziada kwa matunzo haya ya mbwa?

    Kuna nini cha ziada kufuga no sio kufuga ni kumpa matunzo haya mbwa huyu? Je, kipo ambacho wengi hatuoneshwi au ni mapenzi tu kwa mnyama huyu? Lakini pia kufuatia na tukio la juzi mbwa kujeruhi watu wanaomfuga ni ipi hatari kwa dada huyu mlezi wa mbwa? Huyu anatofauti gani na yule mbwa alojeruhi...
  12. excel

    JamiiForums Tanzania Mbwa gani mzuri wa kisasa kwa ajili ya ulinzi maeneo ya nyumbani?

    Hello ladies and Gentlemen? Naombeni tushauriane ni mbwa gani mzuri wa kisasa kwa ajili ya ULINZI? Nataka kufuga hapa nyumbani nishaurini nisije kujichanganya kwa Pitbul na wengineo.
  13. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Mbwa aina ya Bulldog wajeruhi familia

    Usiku wa kuamkia leo Tarehe 8/1/2024 majira ya saa Nne usiku Familia ya Ndugu Nicholaus Kunju ilishambuliwa na Mbwa na kuisababishia madhara Kwenye sehemu mbalimbali za miili yao,walio shambuliwa ni Mke wake pamoja na watoto. Walikuwa Mbwa aina ya Bull dog ambao anawafuga kwa ajili ya ulinzi...
  14. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Mbwa Mbegu nzuri ya kufuga

    Nahitaji kufuga mbwa. Naombeni kama kuna mdau anaweza ni bless na mbwa nitashukuru sana. Zisiwe zile mbegu za mbwa wa kizaramo... Vile vyembamba vinatanga na njia wakati wote. Hapana. Pamoja na kuwa ninaomba lakini pia haimaanishi nitachukua mbwa ambaye najua sitakuwa na furaha naye. Wale...
  15. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Kwanini mbwa wanatupiwa mawe?

    Sijui ni desturi ya huko Tanganyika ama ni nini? Mtu akimuona mbwa lazima amtupie jiwe! Nafikiri hii pia ni mojawapo ya zile "tamaduni za kitanganyika" ambazo zinapigiwa makelele mpaka wameamua kuunda programu maalumu ya kwenye redio ili KUHUBIRI na KUTANGAZA UTAMADUNI WA KITANGANYIKA. Na...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu inayouza mbwa (mnada wa mbwa): Sehemu ambayo mtu unafika na kuchagua mbwa unayemtaka kwa maeneo ya Dar es Salaam

    Ninatafuta sana sehemu ambako kuna kitu kama mnada wa mbwa. Sehemu ambayo watu hupeleka mbwa wao kuuza hapo na watu huenda hapo kununua mbwa. Yaani sehemu ambayo unakuta wauzaji mbalimbali wanauza mbwa aina mbalimbali ili uwe na nafasi ya kuchagua mbwa unayemtaka. Sehemu yenye ushindani pia...
  17. Baba Tee

    JamiiForums Tanzania Mbwa wakali wa ulinzi (mali dutchie puppies)

    Ninauza mbwa wakali kwa ajili ya ulinzi Aina: MALI DUTCHIE DOG Mbwa hawa ni mchanganyiko wa baba yao ambae ni Dutch Shepherd na mama yao ambae ni Belgian Malinois Umri : 3.5months Bei: 300,000/- kwa mbwa mmoja wamekwishapata chanjo Walipo: Kigamboni-Kibada Mawasiliano: 0713621678 au...
  18. Bull Bucka

    JamiiForums Tanzania Iringa: Wanaswa wakimchuna mbwa kwa ajili ya kitoweo

    Wananchi wanne wa Kijiji cha Ugwachanya Kilichopo Kata ya Mseke Mkoani Iringa wamekutwa wakimchuna Mbwa kwa ajili ya maandalizi ya nyama. Akizungumzia kuhusu Mkasa huo Mmiliki wa Mbwa huyo Bi. Veronica amesema kuwa alipata taarifa ya Mbwa wake kupotea ambapo alifanya jitihada za kumtafuta na...
  19. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Je, unajipenda wewe na ndugu zako? Usithubutu kufuga hizi jamii 25 za mbwa, ni HATARI SANA

    Fikiri mara mbili kabla hujaamua kufuga mbwa hawa nyumbani kwako. Airedale Terrier Airedale Terriers ni mbwa wanaopenda kujitegemea na kuwa huru. Ni mbwa wenye akili sana lakini ni wasumbufu mno. Mbwa hawa wanajulikana kama Mfalme wa Uharibifu. Airedale Terriers wanapenda sana kucheza...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mbwa wazuri wa ulinzi: Cross ya German Sherpherd jike x Belgian Malinois

    WANAPATIKANA KIBAHA. KWA SASA WANA MIEZI 3
Back
Top Bottom