Mtoto wa miaka minne jinsi ya kiume amekutwa ametekelezwa nyuma ya nyumba kwenye makazi ya watu Kisasa majumba 300 baada ya kukatwa mkono wa kulia na sehemu za siri na watu wasiojulikana na kutokomea navyo kusikofahamika.
Siku kadhaa hapo nyuma yameshatukia matukio kama haya mawili ambayo...
Mbwa mwitu ni mnyama mwenye sifa za kipekee ambazo wanadamu wengi wasasa hawana:
Kwanza: Ni mwema kwa wazazi wake.
Pili: Halali na familia yake kimapenzi, yani; Mama, dada n.k.
Tatu: Hupenda kuwa huru, na hufikia mpaka kujiua unapomfungia ndani na kumnyima uhuru wake.
Na daima huishi kwa...
Jinsi wazungu wanavyowajali Mbwa wanaowamiliki, wakati mwingine ni zaidi wanavyojali binadamu wenzao.
Mtu anaweza asiwe anaishi na binadamu mwenzie, lakini anaishi na Mbwa ambaye bajeti yake ya kumtunza inazidi gharama za kuhudumia binadamu maskini walioko mtaani.
Huwa najiuliza chanzo cha...
Ni kisa cha kushangaza sana. Nimeikuta mtandao wa Quora.
Baada ya mazishi ya mwanaume mmoja, mbwa wake alitoweka ghafla na kwenda kusikojulikana. Siku mbili baadaye alikutwa akiwa amelala kwenye shimo alilolichumba juu ya kaburi la marehemu. Kijana wa marehemu alimchukua na kumrejesha nyumbani...
Nina mbwa mkubwa.
Sasa kila mara nikiongeza wadogo ili niongeze idadi hawakai hata mwezi wanakufa.
Wanapitia dalili za kunyongonyea, kupoteza hamu ya kula, wala hawarishi na then hata kam tabibu akija kuwapa dawa huwa wanakufa moja kwa moja.
Chakula wanakula makombwe ya nyumbani kwangu na...
Hawa watu hua najiulizaga, akili zao wote zinafanana, Mazoea yao na mbwa wao wanachukulia kila yule anayo..
Mtu dude unaona kabisa linakuja kwa kasi, unajichekesha tu "hahahaaaa usijali hang'ati" unamsemea mbwa? Hakuna mbwa anayekuja kwa Mgeni(anaamini ni adui) kwa kukukimbilia na kubweka asiwe...
Punda wa Tanzania bado hajampata mtetezi. Ukikutana na punda wa Kanda ya Ziwa, ni kawaida kuona michubuko migongoni na shingoni. Michubuko hiyo imetokana na ama vipigo, au kubebeshwa mizigo mizito iumizayo au vyote kwa pamoja.
Asipokuwa na hizo alama, ujue huyo punda anamilikiwa na msomi...
Shalom,
Tafadhari mwenye video popote alipo aiweke hapa, kuna kichapo Cha mbwa Koko mzungu mwenye matusi ya kutia watu Nyani amekipata, Nairobi ilijaa kizaa zaa baada ya mzungu kupata kichapo huku ikionekana huyu mzungu ni Baharia wa kugaurd ila bahati mbaya alizidiwa na ukubwa na uzito wa...
Uyu mbwa vp? Ni kwa anaumwa au ndo kazeeka? Coz namuonea huruma sana na km ana vidonda mwili mzima. N
atamani hata ningemchoma sindano ya euthanasia tu apumzike coz anaona anateseka sana hata kutembea kwa shida sasa na iyo ngozi ndo kabisa.
Wanasema, mpe mbwa mzee jina zuri! Anaweza asiwe na uwezo wa kuwinda, lakini kutokana na kupewa jina zuri, atajitahudi kuliishi hilo jina.
Mwaka Jana, nikiwa mkoa fulani, nilitaka kumpa mzee mmoja kikazi fulani sehemu nilikokuwa nikifanyia shughuli zangu. Kusudio langu halikufanikiwa kwa sababu...
Mwenendo mbovu wa timu ya Simba, sisi mashabiki ndio tunapata shida huku uraiani.
Wachezaji wa simba zaidi ya 50%, wamechoka wako nje ya form; kwa kifupi wanajivuta kama konokono wawapo uwanjani.
Wachezaji wengi hawana sifa ya kucheza simba ila kwa kuwa ndio waliopo inabidi kwenda nao hivyo...
Fedha inatakiwa uwe na nidhamu nayo katika kuitumia. Kanuni ifuatayo imetumika kwenye vyanzo vyako vyote vya fedha ili uwe na mafanikio yenye amani.
Kanuni
•Fungu la kumi 10%
•Akiba 30%
•Matumizi 40%
•Dharura 10%
•Msaada 5%
•Sadaka 5
Jumla 100%
Hii kanuni inafanya kazi...
Mimi Mjanja M1 sikuwahi kuwaza kama kuna siku nitaandika uzi kwaajili ya wanyama hususani wanyama wa majumbani eg. Paka, Mbwa na wengine ambao tunawafuga.
Kwenye pilika zangu nimekutana na Vitoto vya Paka vikiwa vimetupwa jalalani na muhusika (Mfugaji) hajulikani. NILIUMIA SANA 😢
Ukiachana na...
Serikali ya Korea Kaskazini imepiga marufuku wananchi wake kufuga mbwa na kuishi nao kama sehemu ya familia, badala yake wametakiwa kufuga kwa ajili ya kula nyama na kuchuna ngozi yake.
Tangazo la kupiga marufuku ufugaji wa mbwa kama wanyama pendwa wa kuzurura nao mitaani, lilitolewa kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.