mbwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. pombe kali

    JamiiForums Tanzania Namna ya kujitetea unaposhambuliwa na mbwa

    Kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu kufuga mbwa kwa ajili ya ulinzi majumbani, hii inapelekea watu kununua mbwa tu bila kujifunza tabia za mbwa kama unavyojua kuna aina mbali mbali za mbwa na wote wana tabia tofauti Mbwa wengine siyo mahsusi kwa ulinzi wa majumbani. Ni vyema ukajifunza tabia...
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nauza Mbwa wadogo

    sio mimi wa kwangu ila mimi ninkama mtu wa kati tu kuna rasi mmoja anavyo anauza 20000 tu ila naye cha juu changu hapo tufanye 30000 GO AWAY. Nakutumia kutokea Mtwara wewe kazi yako kuwapokea dar tu ni wazuri sana mimi nimekachukua kamoja kadume bado sijakatungia jina. Any suggestions?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivo mpenzi/mke wako huombwa penzi ukiwa mbali nae

    Competition ni kubwa sana mda mwingine ni kujifanya huyaoni msikague sana simu mtakufa na presha na misongo ya mawazo
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Bilionea Ratan Tata amwachia urithi wa takriban Tshs 267 Bilioni mbwa wake

    Bilionea wa India, Ratan Tata, aliyefariki mapema mwezi huu akiwa na umri wa miaka 86, ameacha kiasi "kikubwa" cha utajiri wake wa pauni milioni £91 kwa mbwa wake mpendwa, Tito. Ratan Tata, magnate wa biashara anayesimamia chapa za Jaguar, Land Rover, na Tetley, kupitia wosia wake amemwacha...
  5. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Israel akili nyingi sana. Walianza kwanza na kuwachapa majirani. Walianza kupiga mbwa kisha wakaenda kumpiga mwenye Mbwa.

    Nlisema siku ile kuwa kile kimya cha Israel ni kibaya kuliko kujibu kwake kwa haraka.nikamwambia mtu mmoja humu Ritz na ile ID yake nyingine na madogo Adiosamigo na Webabu kuwa waombee Israel ajibu kwa haraka. Itakuwa afadhali. Nliwaambia kukaa kimya kwa Israel baada ya kuchokozwa ni kubaya...
  6. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Ukitaka Rafiki wa kweli fuga mbwa! Hawa viumbe hawanaga unafiki

    Wakuu hii nimejionea mbwa wana urafiki wa kindaki ndaki
  7. Mpakwa Mafuta wa Bwana

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili mbwa wangu wawe wakali?

    Nimefuga mbwa wawili, kuanzia mwaka Jana, mbwa wangu hawabweki, hawana utisho, na wakiona mgeni huuficha mkia kwenye uvungu wa paja na kisha kakimbia kwenda kujificha. Tabia ya mbwa hawa inanisikitisha sana na kunifedhehesha sana mtaani kwetu. Msaada tafadhali
  8. FORBIDDEN HISTORY

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli ukichanganya masega ya nyigu kwenye chakula unachompa mbwa vitamfanya mbwa kuwa mkali?

    Wakuu nisaidieni kujua kuhusu hili. Ila pia kama ni kweli nisaidie kujua, masega hayo unayapikia pamoja na nyama ya umbwa au baada ya kuandaa chakula ndio unaweka masega hayo. Karibuni.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ali Khamenei agawa nishani kwa makamanda waliotoa kipigo cha mbwa koko

    Kulikuwa kipigo kwenye vituo vya kijeshi na kijasusi: Hayakuwa maeneo ya raia wala miundo mbinu. Kilikuwa kipigo cha mbwa Koko!
  10. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Leo tarehe 28 mwezi Septemba ni siku ya kichaa cha mbwa duniani, tujikumbushe kuhusu ugonjwa huu hatari

    Kichaa cha Mbwa ni ugonjwa hatari unaosababishwa na kundi la virusi waitwao Lyssa (kuna virusi wa Rabies na virusi wa Australian bat wote hawa huleta ugonjwa huu). Ugonjwa huu huwapata binadamu kwa kuumwa na mnyama Kama Mbwa, Mbwa mwitu, paka, Fisi, popo na wengineo wa jamii hiyo mwenye virusi...
  11. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Kichaa cha dini hakina tiba kipo kama kichaa cha mbwa

    Mtu akishapata kuchaa cha dini ndio basi tena. Dawa yake karne hii haipo. China wananyonga lakini wapi Kifupi hiki kichaa IKITOKA IMEENDAA
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tangu lini Mbwa Masikini wa Afrika 'akimbwekea' Mbwa Tajiri wa Ulaya na Marekani wanatishika au hata kupepesuka tu?

    Halafu ukute huyo Mbwa mwenyewe wa Afrika hana hata Afya na hajui Kukabiliana na Adui ila kutwa Kujitutumua tu.
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni kweli wahamiaji wanakula paka na mbwa wa wenyeji Marekani?

    Mojawapo ya mjadala mkubwa jana katika mdahalo wa wagombea urais wa Marekani ni tuhuma za Donald Trump ambazo zinaungwa mkono na wanachama wengi wa Republicans kwamba wahamiaji wanawinda/wanaiba na kula pets(paka, mbwa na bata wa urembo) wa wenyeji huko Marekani. Je tuhuma hizi ni za kweli?
  14. P

    JamiiForums Tanzania Je, 'Mbwa Mpumbavu' anayebwekea maendeleo anaweza kuwa ndiyo simba wa Kizimkazi?

    Mara nyingi binadamu anaongea ya moyoni wakati wa utani, akiwa ana hasira, amelewa au akiwa na furaha sana. Hivi karibuni kuna sentensi tata imetoka kwa mkuu akisema mbwa mpumbavu anabwekea maendeleo yeti. Bila kumtaja jina, watu wengi wanabaki wanajiuliza, ni nani? Wengi tunadhani ni TAL...
  15. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Tumeshamjua SIMBA bado mbwa anaebweka ni nani?

    tunataka ufafanuzi wa Rais ni nani huyo mwenye hadhi ya mbwa?
  16. hitler2006

    JamiiForums Tanzania MBWA WA MASAKI NA WATANDALE WAPI WANABWEKA SANA

    Nimejikuta najiuliza tu swali hivi mbwa wa huko ushuani kama njiro,capripoint,osterbay nao wanabweka sana kama wa huku kwetu uswahilini maana huko ushuani nasikia wana majina eti mara german shephard...na wa huko wanashinda indoor well fed,wanaratiba ya kuonana na vet,lakini pia hawapati kadhia...
  17. Forest Hill

    JamiiForums Tanzania BASKET OF DEPLORABLES kauli iliyomkosesha Urais Hilary Clinton,vipi Alie waita watu MBWA ???

    Ukiwa Kiongozi wa Taasisi yeyote kubwa,lazima uwe na HIGH EMOTIONAL INTELLIGENCE, ukiwa Kiongozi na unaongozwa na hisia unajichimbia shimo mwenyewe... Zaidi ya Mara moja tumeona Mkuu Kadhiirisha kua Ana hisia dhaifu so hapaswi kubeba hisia za watu zaidi ya million 60,. Art Of Public Speaking...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Kuna Mbwa Mpumbavu anabwekea maendeleo yetu

    Rais Samia alitoa kauli hiyo wakati alipo muomba Naibu waziri wa Sanaa na michezo maarufu kama Mwana Fa kuimba mashairi wakati akitaka kuanza kuongea na wana Zanzibar katika uzinduzi wa Suluhu Sports Club. katika sehemu aliyoimba Mwana FA ambaye ni Naibu Waziri wa Sanaa na Michezo alisema "mbwa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Sadaka ya mbwa, yenye laana, iliyobeba uharibifu, HAIPOKELEWI ng'o!!

    Salaam, Shalom!!! Kuna wajinga wengi wanaodhani kuwa watumishi wa Mungu na Mungu mkuu kuwa Wana njaa na kudhani kuwa wapo Ili kukusanya sadaka Ili kujiongezea ukwasi, Usilolijua ni kuwa, SADAKA HUKATALIWA, Fuatana nami. 1. Nabii Elisha, anakataa vitofali sitini vya Dhahabu alivyoleta Naamani...
  20. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Dada aliyelalamika mtandaoni kuwa wanaume ni mbwa kumbe alifanywa kitu mbaya

    Kwa yaliyomkuta yule binti anayelia kuwa wanaume wote ni mbwa utamuonea huruma... Nasikia mwamba alimpeleka lodge baada ya ile kazi binti usingizi ukampitia,kuamka jamaa kaishakimbia na simu na pesa za binti,binti akajikuta hana hata nauli na simu imekwenda. Yaani unamtelekeza mtu na hela na...
Back
Top Bottom