mbwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. rubii

    JamiiForums Tanzania DONGE NONO kutolewa kwa atakae fanikisha kupatikana kwa Mbwa HUYU

    MIlioni 1 ukifanikiwa kumpata mbwa huyuu.....FURSA FURSA FURSA
  2. Scars

    JamiiForums Tanzania Wale ambao wanapima thamani ya mnyama wa kufugwa katika jicho la kitoweo tu, mnalakujifunza hapa

    Helpful and caring Na hapo mbwa anafanya hayo yote bila expectations ya award huko peponi. Wanyama wakifundishwa na kuwa treated vizuri, wanakuwa na umuhimu na wenye msaada zaidi kuliko hata watu. Love is a universal language
  3. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Yesu Kubambikiwa alitakasa vyakula vyote ina maana alimkaidi Mungu alietuchagulia vya kula? Ni ruksa kula nzi, paka, mbwa, chura, kinyonga, nyoka?

    Mungu alishaweka sheria tule vyakula vifuatavyo Wanyama - wawe wenye kwato + miguu ya kupasuka kati + mwenye kucheua walioruhusiwa: Ng;ombe, mbuzi, kondoo, swala, nyati, n.k wasioruhusiwa: Nguruwe, Kobe, punda, mbwa, nyau, panya, n.k. Samaki - wawe na magamba + mapazi walioruhusiwa...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Abweka kama mbwa kisha afariki dunia

  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa FIFA imeifungia Yanga kusajili madirisha matatu kutokana na deni la Kocha Luc Aymael

    Kwa mujibu wa @FARPostZA, FIFA imeifungia klabu ya Yanga kusajili wachezaji kwa madirisha matatu (3) mfululizo baada ya kushindwa kumlipa fidia ya kuvunja mkataba aliyewahi kuwa Kocha wao Luc Aymael. Kocha huyo raia wa Ubelgiji ambaye pia amewahi kuzifundisha Free State Stars na Polokwane City...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Awauzia wakazi wa Dar es salaam mishikaki ya nyama ya Mbwa kwa zaidi ya miaka 10. Adai wanaipenda, ni tamu

    Mzee mmoja ambaye jina lake linahifadhiswa, amekutwa akitengeneza mishkaki kwa kutumia nyama ya Mbwa na kusema biashara hiyo aliianza tangu mwaka 2010 akiwa katika stendi ya Ubungo na sasa alikuwa stendi ya mbezi (Kituo cha Mabasi Mbezi, Magufuli). Chanzo : Channel Ten
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Siasa: Kama hii katuni ya chatu na mbwa imechorwa na Masood Kipanya basi anapaswa kupewa tuzo ya kutuchanganya

    1. Yaani hapo kuna mbwa na chatu. 2. Chatu amemmeza mbwa. 3. Miguu ya mbwa imetoboa tumbo la chatu. 4. Mbwa anatembea huku amemezwa. 5. Najaribu kulitazama jicho la chatu nimebaki nimeduwa sielewi kwanini liko hivo.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Katuni ya Masoud Kipanya inamaanisha nini?

    Ndugu hii katuni inamaanisha nn?
  9. Zombie S2KIZZY

    JamiiForums Tanzania Karibuni Jijini Mwanza (Rock City)

    Hahahaaaaa wabongo bhana cjui ni nani anaewauzia tumbaku yaan kabla hamjavaa sox mnaanza kuvaa viatu alfu ndo mvae sox kwel viatu vichwa box rafu Leo mmechezea sharubu za rock city sa nawafanya wafu. Hivi kwann watanzania ni watu wa ajabu Sana ujinga ukabila ujuaji na ushamba ambao wametoka...
  10. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Kutumika Mbwa kwenye uokoaji Syria na Uturuki

    Mbwa bado anaonekana ni kiumbe chenye msaada sana kwa binadamu. Kwa sasa Mbwa anatumia sana kwenye nchi ambazo zimepata majanga ya tetemeko Hivi karibuni yaani Syria na Uturuki. Najiuliza nchi hizi ni za kiislamu vipi kuruhusu Mbwa atumike wakati kwa uislamu Mbwa ni najisi. Nauliza tu kupata...
  11. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Timu zilizokuwa Kibonde kwa Tanzania ila sasa Wanatupiga kama mbwa koko

    1. Madagaska 2. Gambia 3. Comoro Saivi Kibonde wetu labda Somalia tu au nasema uongo ndugu zangu?
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kisa cha binti aliyebakwa na Wazungu wanne na mbwa wao

    Hiki ni kisa cha miaka mingi kidogo, kuna baadhi ya members wa JamiiForums walikuwa hawajazaliwa, na wengine walikuwa ni wadogo sana, na wengine walikuwepo ila walikisahau. Ninakiweka kisa hiki ili kuwakumbusha mabinti wa kizazi hiki ambao wanadhani mabwana wa kizungu na maisha ya kudanga ndio...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mchezaji wa zamani wa Zambia auliwa na mbwa wake

    “Baada ya umeme kurudi, niliingia ndani kumtafuta mume wangu lakini sikumpata. Niliendelea na upekuzi kisha nikamuona akiwa amelala nje kwenye bustani. Nilipotoka nje kupeleleza kulikoni, nikagundua mume wangu alikuwa hatikisiki baada ya kuumwa na mbwa wetu watatu." Kiungo wa zamani wa timu ya...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wapenda mbwa tuchukue tahadhari

    Niende moja kwa moja kwenye mada, ukiamua kufuga mbwa hasa hawa wakizungu kama Rottweiler, Pitt Bull, Mastif, Belgium Malnoir nk, tenga muda wa kuwa nao karibu. Mafunzo ni muhimu wafanye watambue kuwa wewe ndo mkuu na kiongozi. Kwanini nasema hivi kuna kipindi nileta habari ya mbwa ya mbwa...
  15. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Nilisema Feisal Toto akitushinda hii kesi mniite mbwa

    Hii kesi n ktk kesi rahisi kuliko zote. Niliandika akishinda kesi kiiten mbwaaa
  16. Afrocentric view

    JamiiForums Tanzania Chanzo halisi cha mbwa (Origin of dogs)

    Bonobo! Canis Lupus Familiaris ndiyo jina la hii specie tunayoijua na kuipenda..Almaaruf kama Mbwa!! Wengi mkiulizwa mbwa wametokea wapi kwa haraka haraka mtasema waliumbwa na Mungu. Lakini kama maswali mengi kwenye hii dunia, majibu yake huwa sio rahisi kihivyo. Leo tuingie deep zaidi ya...
  17. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Unamfahamu mbwa mshenzi?

    Huyu mbwa maarufu kama Basenji(Mshenzi) ni mbwa mwenye asili ya africa ya kati. Wazungu walipomuona kwa mara ya kwanza walisema ni mbwa wa wenyeji na wenyeji waliitwa washenzi ni mbwa ambaye habweki, anatoa tu sauti tofauti. nyingine ni ile analia kama king'ora usiku. wabongo wanasema huwa...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Huwa unamuamini asilimia ngapi mwenyeji wako anapokwambia usiogope, Mbwa wake hang'ati?

    Karibu sana mgeni! Usiogope Mbwa wangu hawang'ati! Hii kauli huwa unaiamini asilimia ngapi ? Kuwa tu mkweli kabla sijakwambia jambo! Usisahau! Kuna wanaong'atwa na mbwa wao wenyewe! Mfano kingunge, na mwingine south!
  19. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Tushachoka kubembeleza undugu, itapendeza Ufaransa ikiwapa Morocco kipigo cha mbwa koko wapigwe mpaka wachakae

    Offcourse tunajua kuna tofauti kubwa kati yao na sisi hasa linapokuja suala la asili yao, Lakini kweli wakatae hata undugu wa kiafrika kwamba wapo nasi ndani ya bara la Africa? Morocco wametukataa, yaani wanaona wao siyo ndugu zetu ni kwamba tunajipendekeza. Basi ndiyo tumekoma hatujipendekezi...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Hadithi ya mbwa wa ushuani na uswazi V/S Tafakuri ya siasa za Tanzania kwa sasa.

    Siku moja mbwa wa uswazi akiwa kakonda na manyoya yamenyonyoka kwa kukosa matunzo, alianza kukatiza mitaa akitafuta msosi. Mbwa huyo alizunguka sana ghafla akajikuta ushuani. Akamuona mbwa wa ushuani akiwa kanona kweli kweli. Shingo shongo na manyoya yake yana afya nzuri na masafi haswa lkn...
Back
Top Bottom