Heshima zenu wakuu!
Wanajamvi jana imetokea sokomoko mtaani mida ya saa 9:05 usiku kundi la mbwa linatembea huku wakibweka, wengine huenda waliachwa nyuma wakawa wanipita mmoja na wengine wawili nakumbuka kuna wengine walikuja dirishani kubweka dah!
Sijawah experience hili jambo, hivi wajuzi...
Nimepata mahal;i pa kununua mbwa wazuri wa kisasa. Wote ni wazuri na ninaomba ushauri nichukue breed ipi.
Kuna pure German shepherd, pure Belgian Malinois, na cross ya Pure German shepherd (jike) na Pure Belgian Malinios (dume)!!
Ukiwatazama kwa macho ni vigumu kutofautisha yupi ni yupi! Ila...
Jibwa hili linalojulikana kama Commander ameshang'ata wafanyakazi wa ikulu karibia mara 15
Kabla ya Commander, Biden alikuwa na mbwa mwengine aliyeitwa Champ ambaye alikufa akiwa na umri wa miaka 13.
Mkasa uliopelekea commander kuondoshwa ni pale mnamp septemba 25 mnyama huyo aliyemng'ata...
ZAIDI ya watu 20,000 wameripotiwa kung’atwa na mbwa kwa kipindi cha Januari hadi Agosti mwaka huu ambapo mkoa wa Dar es Salaam unaongoza ukifuatiwa na mikoa ya Dodoma, Morogoro na Arusha.
Jumla ya dozi 180,000 za chanjo ya kichaa cha mbwa zimesambazwa katika halmashauri 26 nchini kuanzia...
Wadau hamjamboni nyote?
Siyo maneno yangu bali ni kwa mujibu wa kitabu cha injili ya Barnaba inayoeleza kuwa mnyama mbwa yu bora zaidi ya Mwanaume asiyetahiriwa!
Nimekuwekea nukuu yote hapo chini:
Miserable condition of the uncircumcised in that a dog is better than they
"The disciples...
Dah hii ishu ilinihuzunisha sana maana yule msichana nilimpenda sana ila ndio hivyo kazi ya mola Haina makosa.
Inaniuma sana ila naona Bora jamaa hakumfaidi.
Umaskini ni tafsida !
Unaweza kuitumia kwa ujumla au kwa mtu Mmoja Mmoja ! Tukiwa kama nchi mbele ya mataifa mengine nchi yetu inaitwa maskini.
Hata viongozi wetu wengi wanapotoa hotuba zao mbele ya mataifa yaliyoendelea wanajitambulisha kama nchi maskini ' ukisema hivyo unajumlisha wote...
Utangulizi:
Je, unajua kuwa mbwa ni marafiki wa binadamu tangu miaka 15,000 iliyopita?
Je unajua kuwa mbwa wanaweza kusoma hisia zetu kutokana na sauti na uso wetu?
Mbwa ni marafiki wa ajabu na wapenzi wa dhati wa binadamu. Wana uwezo wa kuleta furaha, faraja, na usalama katika maisha yetu...
Wacheni watoto wazuri wapende wanaume wenye magari, kwa maana jua huko nje ni kali.
Wewe unamtembeza mtoto wa kike kwenye bodaboda mishkaki tena anapanda na jua kali halafu anakuja kwako anachoka na jua kabla ya kumchosha halafu bado unataka akupende the way jinsi ulivyo.
Hakuna mwanamke...
Rais Samia anaenda katika Tamasha la Timu ambayo imefanya yafuatayo....
1. Imeitangaza nchi hasa Mlima Kilimanjaro
2. Imefanikiwa Kimataifa hasa CAFCL na siyo kwa Watoto na Wasiojua kule CAFCC
3. Inashiriki Michuano mikubwa na mipya Barani Afrika ya Africa Super Cup
4. Imeweka Kambi yake ya...
Siku chache baada ya Simba kuvamia vijiji mbalimbali katika Kata ya Maboga wilayani iringa,doria iliyofanywa kwa usaidizi wa mbwa anayeitwa Mayele, yatajwa kuleta mafanikio baada ya kuonekana kwa Simba huyo.
lets give credit kwa mbwa mayele😂😂😂.
===========
Siku chache baada ya Simba kuvamia...
Hizo nchi ziliwakataa hawa waarabu wa Dubai katakata na moja ya sababu kuu ni ulinzi wa nchi Yao kuwa hatarini na kuzuia ugaidi
Mikataba ya DP World niyaukandamizaji ila sisi tumewachukua, ivi hii mikataba ingekuwa ni mizuri Why hizi nchi walikataa kuingia nao mikataba wengine walivunja kabisa...
Kisa hiki nimeshindwa nikiweke kwenye jukwaa gani haswa, sijui jukwaa la habari mchanganyiko, sijui jukwaa la uchumi na biashara au jukwaa la mapenzi? All in all let me drop it here.
Kabla sijaolewa nilijiwekea nadhari kwamba nataka ñiolewe na Bwana mwenye akili, hata kama hana hela au wengine...
Juzi nimesafiri kutoka mkoa wa Dar es Salaam kwenda mkoa wa Shinyanga. Kijiografia, ni umbali mrefu, ambapo magari ya abiria hutumia si chini ya masaa 16 kufika mwisho wa safari.
Sasa kuna jambo moja nimeliona katika safari hii ndilo nataka wajuvi wa mambo ya wanyama watueleze, kwani ni jambo...
Nimekuja mkoa flani kikazi nilitumia usafiri wa ndege. Huku kuna jamaa yangu akaniambia kwa kuwa akija Dar huwa nampatia usafiri nitumie gari ndogo ambayo huwa anatumia mkewe. Niende kwake nikachukue. Nikaenda.
Nimefika nikakaribishwa ndani n.k nikamwambia shemeji nimeambiwa nije chukua gari...
Kama Rais hana muda wa kupokea waandamanaji wote basi waratibu wa sherehe hizi za Mei Mosi walipaswa kupunguza makundi ya waandamanaji.
Watu wamepoteza muda wao kujiandaa, wakatafuta na t-shirts halafu wanapita mbele ya mhe rais wakikimbizwa kama kuku wa mgeni ama mbwa mwizi.
Watu wazima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.