Mzee Lukuvi sio msukuma ila ni sukuma gang.
Paramaganda Kabudi sio msukuma bali ni Sukuma gang.
Job Ndugai ni Sukuma gang lakini sio msukuma.
Luhaga mpina ni Msukuma lakini mpinga ufisadi.
Bashiru Ally Kakurwa ni Sukuma gang na sio mzukuma.
Pascal Mayalla ni sukuma gang ni msukuma...
Heshima kwenu wakuu.
Naomba kuwasilisha tangazo lilitolewa na Wizara ya Afya Tanzania kuhusiana na hizi ajira 1650 zilizotangazwa wiki iliyopita, kuna thread nikiiweka inayosema kuwa Tangazo la kazi lililotolewa na Wizara ya Afya lina Mapungufu.
Mapungufu yaliyopo kwenye tangazo walilolitoa...
Wadau naomba mwenye elimu katika hili mbona wanaume wengi wanawahi kufariki kuliko kina mama yaaani ata hospital utakuta bibi au mama kampeleka hospital babu au baba lakini mara chache sanaaa kumkuta babu au baba kampeleka bibi au mama.na mara nyingi babu na baba ndio wanatangulia kuondoka dunia...
Mlipiga sana kelele miaka ya nyuma baada ya ripoti ya CAG kuwa inaleta tashwishwi juu ya ufisadi kufanyika.
Mlikuwa mnapaza sauti na kupayuka kuwa kuna upigaji mkubwa, hasara za ATCL na matumizi mabaya ya pesa za umma.
Swali, mbona sasa hivi mpo kimya juu ya kuchambua na kupiga kelele juu ya...
Nipo Las Vegas hapa USA kama kuna mtu yupo karibu please tuwasiliane maana nipo tu bored. kulikuwa na kikao tumemaliza toka Jumamosi so nikaona nikae kae kidogo kuonana na jamaa zangu. bahati mbaya nao ratiba zao zimebana so tumeonana kwa muda mfupi tu wakati wa Breakfast na Lunch. nina muda...
Nato wamechanganyikiwa na sasa wanajiandaa kuwapa silaha zaidi hivi hawa watu wana akili sawasawa ,havi raia gani huyo anakufa pembeni ya kifaru ??????
Itoshe kusema watu wa imani ile ni washari na wakorofi sana, ni wanafiki kuliko vipimo vyote vya unafiki ati dini yao ni ya haki, sasa haki gani ya kubugudhi wengine kama wewe umefunga ndio ulazimishe wa wengine wasiokua wa imani yako wafunge ?!!! Ebo !!
Mbona wengine hua wanafunga kwarezwa na...
Katika pekua pekua zangu, inaelekea kuwa Benki ya Dunia imesahau kuiweka Tanzania kwenye orodha ya low income countries. Yaani kwenye low income countries duniani hatuonekani na huko kwenye middle income countries nako hatuko. Sasa tutakuwa tuko wapi duniani? Mwenye kulijua hili atujuze.
---...
TANESCO kuna shida gani mvua kidogo tu mmekata umeme tangu usku mpaka sasa huku bunju.
Mnatutia hasara mjini umeme ni muhimu tunapishana na pesa.
Yani mvua ikinyesha nyie mnapata excuse ya kukata.
Mungu si Athumani, maana amekuwa akishusha thawabu zake kwa muda wa takribani miaka mitano sasa tangu nilipoanza kupataa namna ya kujiingizia kipato changu na kumudu gharama za kuishi. Kwakweli niwe muwazi kuwa maisha siyo mteremko sana na wala sipati pesa nyingi sana lakini pesa nazopata...
Yaani hii sehemu si J3, si J4, si J5, si Alhamis, si Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ndiyo usiseme kabisa, yaani eti hata pa kukanyaga hamna, ni nini hiki?
Mmechinja mkamtoa kafara hapo au kuna nini jamani?
Nimelipia malipo ya zuku kupitia airtel money 79,000/= na service charge wamechukua, malipo hayakufika palipokusudiwa, huduma ya zuku nimezimiwa, nimewasiliana na mhudumu wa airtel amenijibu short cut kuwa hela yapo iko hewani subiri masaa 36,sasa nakaaje muda wote huo bila huduma?
Na je hela...
Nashangaa sana tanesco walitangaza kipindi cha nyuma siku kumi za mayengenezo kwamba zikiisha hakuna tena mgao, lakini cha ajabu Mwanza mgao wa Umeme haujawai kuisha mpaka leo, umeme unakatika saa mbili asubuhi unarudi saa kumi na mbili jioni, pengine unakatika saa kumi na mbili jioni...
Sio vizuri kutimuana kila wakati kwakuwa zoezi la kutimua watu linazaa kelele na bughudha nyingi kwa wananchi. Tulifurahia kuona watanzania wenzetu wafanyabiashara ndogondogo wameziachia barabara za magari na njia za miguu za watanzania wenzao walizokuwa wamezivamia kwa maslahi yao binafsi...
Mnataka mseme mwezi huu hamjaona kwamba madeni yenu yamepungua kwa nusu?
Mtu ulikuwa unadaiwa milioni 15 zimebaki nane waliodaiwa 4m zimebaki 2m mbona hamumshukuru hata kwa hilo?
Kwa kumbukumbu zangu ni hivi juzi juzi hapa hii siku iliadhimishwa na RAIS SAMIA alienda kule DODOMA kwenye mkutano na kina mama... HAPA SASA HIVI KILA RADIO NA TV ZIMEANZISHA KAMPENI ZAO... ETI SIKU YA WANAWAKE...
SIJUI LENGO NI NINI...HIZI SIKU...SAWA... Lets try to empower WOMEN to the time...
Kwenu Wabobezi wa Marketing hivi Kupunguza Bei ya Bidhaa ili Uuze nyingi na Utambe kwa Watu ndiyo Mafanikio Kibiashara au Mafanikio zaidi ni Kuuza kwa Bei ya Juu hata kama utauza Chache ile utaingiza Pesa nyingi na pia Utakubalika kwa Ubora ( Quality ) ya bidhaa?
Leo Klabu ya Yanga imeamua...
Hapo zamani,Sadam huseini wa Iraq alifanya kama anavyofanya Putin wa Urusi Leo kwa kuivamia nchi ya Kuwait.
Marekani na washirika wake wakaivamia Iraq na kuipiga Hadi ikatoka Kuwait.
Miaka kadhaa baadae Slobodan Milosevic wa Yugoslavia aliwapiga kishenzi waasi na raia waliokua wanataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.