Kwanini Mwl Nyerere hakuweka ukweli hadharani juu ya kifo cha Kassim Hanga? Mbona CCM huwa hawataki ukweli kuhusu mauaji ya Kassim Hanga kuwa wazi?

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,125
4,163
Nipo mahala hapa kijiweni nafuatilia story kibao juu ya masuala yanayohusu matukio kibao yaliyotokea baada ya mapinduzi ya Zanzibar.

Kuna mzee anasimulia hapa juu ya watu kibao kuuliwa baada ya mapinduzi kutokea. Anadai kuwa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Zanzibar Kassim Hanga aliuliwa na mpaka leo haijulikani aliyemuua ni nani na aliuawa wapi.

Je, ni kwanini CCM tokea wakati wa hayati Nyerere hawataki kuweka wazi ukweli juu ya hili suala?
 
Mkuu tujibie hoja yako sio wewe ila hoja hii kuijibu wewe nawe ni sehemu ya hoja,kumlaumu President Nyerere (rip)bila ya facts ya kumhusisha na crime scene nako sio haki,ingekua haki kama informations ulizozipata hapa kijiweni ungezifanyia utafiti wa jina na once u ame apply your mind ungezileta humu,cold cases wenzetu wanazifuatilia mno hasa wapelelezi wastaafu,mara siro anastaaafu na kurudi mkoani kwake na anashirikiana na wenzake kufungua hizi cold cases za mkoa wake!
 
Kumbe ni story za kijiweni D/cpl. Unashindwa kufanya ukachero wako? Uditective wako ni upi sasa?
Kitendee haki cheo chako.
Hana chq ukachero wala nini. Kama mtu huyu kachukua story za vijiweni kaleta moja kwa moja akiwa hana uhakika wowote means hajui hiyo title ya detective.
 
Kila ^key-two^ eti Nyerere, Nyerere, au Magu, Magu. Hawa jamaa ni sawa na wale vimbuta hata maji yakikatika mtaani kwao wanasingizia Tanesco!
 
Siku ya mwisho kasimu kuonekana ilikuwa hapo bustani ya mnazi mmoja mbele ya kibarua bar kakangu Mohamed said alikuwapo,Nyerere alimrudisha Zanzibar na karume akafanya yake,tunapoishi mambo ya vifo yanawafaa wengine tu.
 
Nipo mahala hapa kijiweni nafuatilia story kibao juu ya masuala yanayohusu matukio kibao yaliyotokea baada ya mapinduzi ya Zanzibar.

Kuna mzee anasimulia hapa juu ya watu kibao kuuliwa baada ya mapinduzi kutokea. Anadai kuwa aliyekuwa waziri mkuu wa Zanzibar Kassim Hanga aliuliwa na mpaka leo haijulikani aliyemuua ni nani na aliuwawa wapi.

Je ni kwa nini CCM tokea wakati wa hayati Nyerere hawataki kuweka wazi ukweli juu ya hili suala?
Kuna Waziri mkuu wa zanzibar aliwahi kuuliwa?ndiyo nasikia leo?
 
CCM niijuayo mimi😁😁😁
cHi.jpg
AIWU7u.jpg
htB.jpg
imgvfdage12.png
109_20210706_190119.jpg
87654412.jpg
rq-1.jpg
bpj.jpg
004.jpg
etX.jpg
yc.jpg
tapatalk_1588515803091.png
16419710161810.jpg
BX.jpg
 
Back
Top Bottom