mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Polepole: Hii sio awamu ya Sita bali ni ya Tano kipindi cha pili, aliyeondoka ni Magufuli peke yake

    Wakuu, Mbunge wa kuteuliwa na mtunga Sheria Humphrey Polepole, anadai hii awamu ya rais Samia sio awamu ya sita. Rais Samia alisema yeye ndiye rais ya awamu ya Sita. Kwamba ni awamu ya sita kipindi cha kwanza. "Hii serikali sio mpya,haikupigiwa kura, huwezi ukaita awamu ya sita, awamu lazima...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wanaume, hii tabia ya kukwepa sala ya asubuhi mbona inazidi kulalamikiwa

    Unapata mchumba mpenda dini, mnafunga ndoa na hata kanisani anaaminika kiasi cha kupewa uwongozi katika moja ya kamati za kanisa kwakua ana mahudhurio mazuri na pia ana heshimu wakubwa na wadogo katika kauli zake. Nyumbani mnasali sala asubuhi na jioni, tena mnajikabidhi katika mkono ya Mungu...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dar es Salaam magari binafsi aina ya Landcruiser V8 yako mengi sana?

    Sijajua watu wanafukua wapi hela, Kila siku huku Dar Nakutana Na land cruiser v8 zenye condition nzuri tena Gari binafsi zenye Plate number D, najiuliza na hii mishahara midogo ya taasisi za kibongo ya laki 8 kwa mwezi, watu wanawezaje miliki Na ku-maintain gari ya Tshs million 80 - million 200...
  4. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Tathmini ya Kisiasa- Mpangaji huyu mbona haeleweki!

    Habari zenu wakuu wenzangu. Kuna huyu mpangaji ambae amekuwa tatizo kubwa kwa mwenye nyumba na wapangaji wenzake. Chanzo ni hivi... baada ya malalamiko mengi kuhusiana na nyumba aliyopanga Zuberi, ikabidi mwenye nyumba aitishe mkutano ili kujadili changamoto zinazoikabili nyumba yake. Katika...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama Chairman Mbowe hana kosa mbona Mnyika alimtuma Zitto kwenda kumuombea msamaha?

  6. L

    JamiiForums Tanzania Zito mbona hujiamini, acha kuwa mpole sana kwa Lisu na chadema

    Chadema na Lisu mnatakiwa mheshimu mawazo ya vyama vingine. Leo mmeshambulia sana Zito licha ya Zito kuwa mpole lakini hamna adabu. Zito acha kuwa mpole sana kwa hawa watu. ebu sikia hapaona jinsi lisu anavyomtusi Zito. Siyo fair kabsa Lisu kampiga zito spanna lisu kulikuwa kuna haja ya...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli atabaki msingi mzuri wa mabadiliko makubwa ya kiuchumi na kijamii kwa vizazi vijavyo.

    Kwa ambao hatukubahatika kuuona uongozi wa Mwalimu Nyerere tukiwa na uelewa na ufahamu timamu tunajivunia kupata fursa ya kuuona, kuushuhudia na kuuelewa utawala wa Hayati Magufuli ambao kulingana na simulizi mbalimbali toka kwa wazee waliobahatika kufanya kazi na Mwalimu wanasema unafanana kwa...
  8. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Mbona kama vile kwa jirani kunawaka moto? Au Bado ni Moshi tu?

    Kuna Mwananchi kamwaga Mafuta kwenye moto, unazidi kusambaa chini kwa chini. Kila Kuni inataja "zambi" za mwenzie... Huenda week ijayo Ikawa shubiri kwa baadhi ya "wahanga". Je ni Nini hatma ya "Wahamiaji"? Watawapaje hifadhi wakati moto unawaka nyumba nzima?? Kuna moto huko....
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mataga, UVCCM na CCM Mpya mbona mnamtelekeza Polepole na Gwajiboy?

    Enzi za utawala wa kisahunga haya makundi mawili yalikuwa active kama nyuki. Ukigusa mmoja wao basi ujiandae kupata mashambulizi kutoka kila kona. Pengine kwa sababu tulikuwa uchumi wa kati na huenda walikuwa wanalipwa vizuri. Si unajua CCM maslahi? Sasa awamu hii joka walilolifuga...
  10. ommytk

    JamiiForums Tanzania Watanzania mbona hatusheherekei kwa shamrashamra siku ya Uhuru?

    Tanzania leo ni siku yetu adhimu ya kufurahi na kujisikia furaha kwa siku ya uhuru wa nchi yetu ni mfano wa siku ya kuzaliwa lakini kwa baadhi ya watu na sehemu tofauti imekuwa tu ni siku ya kupumzika bila shamlashamla zozote hivi birthday yako uwa inapita hivyo kimya kimya. Niliwahi kuwa Dubai...
  11. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Koh Koh Koh.. Mbona Rais Samia Kama Kayaona ya Magufuli?

    Sijui ni mimi tu, macho yangu au masikio yangu? Huku Bandari mbona kama kunaumiza kichwa sana Marais? Rais Samia jana kazungumza kama Magufuli, Kachukua hatua za papo hapo kama enzi za Magu na anajitangaza kusimama na wananchi kama Magu alivyokuwa anajitangaza kusimama na wanyonge. Sasa...
  12. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Huduma bora za afya: Mbona bado wakina mama wanaojifungua wanalazwa hadi watatu kitanda kimoja?

    Serikali yetu kupitia wizara ya Afya naona ipo busy na kampeni za chanjo za Uviko19 huku ikijisahaulisha huduma muhimu huko kwenye Hospital za serikali. Jana nilienda kutembelea mama mmoja jirani yangu Alieenda kujifungulia Mt Meru hosp,na mtoto kuwekwa chumba cha joto kwa muda wa wiki mbili...
  13. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Mbona Magufuli alipokuwa akikosoa ya Kikwete mlikaa kimya? Muacheni Rais Samia

    Halafu hii wala sio kwa vyama vya upinzani kama mnavyoweza kufikiri kwamba wao ndio wanampinga Rais Samia, hao watu wako CCM zaidi. Ni hivi, leo Rais Samia kugusia wale vifaranga wa kutoka Kenya ambao enzi ya Magufuli walichomwa moto. Akasema "DHAMBI TUPU". Naona povu la kutosha hasa kwa watu...
  14. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Imani ya wananchi kwa Serikali imeshuka tangu Dkt. Magufuli atutoke

    Wananchi wakisikia kuna Tril 1.3 zimekopwa kwa ajili ya kuchochea mdororo wa uchumi ulioletwa na Uviko -19, wanahisi kupigwa tu. Wanajua kuna kizingumkuti namna zitavyotumika. Umeme umekuwa ni tatizo la kukatika katika kila mara, wanahisi, kuna mchongo wa kupigwa kama walivypopigwa huko nyuma...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Mbona kelele zinazidi kuna shida gani!?

    Nimekaa na kutafakari sana bila majibu, hasa kuhusiana na namna malalamiko yanazidi kuongezeka mitandaoni. Ukiyasikiliza kwa makini hayo malalamiko lazima yakuchanganye. Wapo wanaoona Hali ni shwari na wanaona tunaelekea kuzuri. Wengine wanaona tumepotea na tunazidi kupotea hivyo tunahitaji...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Elimu yetu Tanzania: Mbona International Schools hazina 'Holiday Package' kama shule nyingine?

    Shule zinakaribia kufungwa. Hii maana yake ni nini? Maana yake walimu wamefanya kazi wakamaliza syllabus wamefunzidha vizuri. Wanafunzi mwamesoma vizuri na wamesimamiwa vizuri. Sasa wanaenda kupumzika kwa mwezi mzima. Ratiba ya shule imeisha inaanza ratiba nyingine ya nyumbani. Mtoto anahitaji...
  17. C

    JamiiForums Tanzania TANESCO tutangazieni kama kuna mgao wa umeme nchini

    Kwa siku tano mfululizo maeneo haya umeme ifikapo jioni unakatwana bila taarifa kwa sisi wateja labda Kama tangazo Hilo sijalisikia. Maeneo ya ubungo Mandela Rd kuanzia external, maziwa, hadi darajani unaotazamana na rivaside. Pamoja na kuwa jirani kabisa na mitambo ya umeme ya ubungo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali za CCM miaka 70 ya uhuru zimeweza nini mbona vitu muhimu kama Maji na umeme bado shida kuu?

    Hawa jamaa wa CCM wanapenda kutawala kupita kiasi, lakini performance yao ni ndogo kupita maelezo Huwa wanapenda kujilinganisha na chama cha Kikomunisti cha China, lakini wenzao huko China wameshafanikiwa kusolve tatizo la vitu basic kama maji na umeme na sasa wanajiposition kuwa superpower wa...
  19. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Soko la Mbeya liliungua miaka zaidi ya kumi na halijajengwa, ila la Kariakoo limeungua juzi tu limetengewa bilioni 34

    Hii imekaaje. Ni kwamba serikali inafanya miradi yake kwa upendeleo?
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kondomu zimeadimika, nini tatizo?

    Nakumbuka hizi condom zilikuwa zimetapakaa kote katika sehemu za wazi kla mtu anachukua bure. Sasa hivi ni "almas" maana hazipatikani na zikipatikana ni bei kubwa -- a pack of 3 per 1,000 Kulikoni? Au kwa Msaada wa watu wa Marekani ilisitishwa? na kama ni hivyo kwanini walisitisha?
Back
Top Bottom