kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,147
- 2,746
Aisee, huyu mwamba nini kimemzeesha ghafla namna hii?
Huoni sura yake imeanza kukunjamana?Sisi wenye mvi tuna shida sana
Huoni sura yake imeanza kukunjamana?
Anadeal na nini huyu jamaa?
Weka pichA yake ya 10 years ago ulinganishe na hiyoHuoni sura yake imeanza kukunjamana?
Ndiyo maana mimi napaka blacky kama Bernad Membe.Sisi wenye mvi tuna shida sana. Hata ukiwa na miaka 30 tayari unaonekana mzee!!
Marketing mogulAnadeal na nini huyu jamaa?
Shukrani mkuuMarketing mogul
Hivi huyo mzee nae ni wa mapiko?Ndiyo maana mimi napaka blacky kama Bernad Membe.
45+Inaonekana unamjua vizuri. Ana miaka mingapi, ndugu? Najua angepaka rangi nyeusi hizo ndegu zikawa kama nywele za huyo boxer, usingesema haya maneno.
45+Kwani ana umri gani?
Ndiyo maana mimi napaka blacky kama Bernad Membe.