mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Poker

    JamiiForums Tanzania Kula dagaa ni umaskini au maharage, sasa mbona bei iko juu?

    Maharage kilo 2800 Dagaa kilo 8000 Sasa kwanini ukila unaonekana hohehahe?
  2. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Ajira mpya za Utumishi zinachanganya. Matangazo yametoka mawili, lipi ni sahihi?

    Wadau, tarehe 28 May Utumishi walitangaza nafasi za kazi kwa watanzania kada mbalimbali ILA Kuna kitu kimenichanganya hapa kama ifuatavyo: Haya matangazo yanaonesha yako mawili na hata idadi ya Ajira zinatofautiana, Kuna tangazo moja lina posts 1904 total na tangazo la pili lina posts 2057. So...
  3. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Mbona matapeli na waganga wa jadi wamejaa Voda?

    Mimi ni mtumiaji mzuri wa airtel ila baada ya kupoteza simu nikaibuka na voda wapo vizuri ila shidaaa ni hii message za matapeli haziishi yani hujakaa vizuri mara mganga wa nguvu za kiume na utajiri. Wanadili gani hawa maana si kwa tigo na mtandao mingine ni kubaatisha ila voda message hizi...
  4. ward41

    JamiiForums Tanzania Vladmir Putin mbona haonekani kwenye majukwaa ya Kimataifa?

    Tatizo Nini?
  5. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Kuna nini kijacho mbona EWURA wamechimba biti mapema?!

  6. hamis77

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mbona hakubali tatizo nini?

    Kwanini watu hawasemi ukweli kuwa Samia hakubaliki Bali wanapiga propaganda tu? Kuanzia masokoni, vijiwe vya kahawa,mitaani ,maofisini mama hakubaliki ,shida ni nini jamani? Juzi tukiwa ofisini karibu staff members Kama 15 ,ikawashwa redio ,mama alikuwa anahutubia ,sijui ni Tabora hiyo, aisee...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tanesco mbona mmezidisha unyonyaji!

    Hivi hii kampuni kuanza kukata makato ya shilingi 10000 badala ya 1000 ya makato ya kodi ya majengo ina maana gani , maani ni tofauti na agizo la Serikali kuwa kodi ya italipwa majengo kwa makato ya shilingi 1000 kila mwezi kwa miezi kumi, sasa huu utaratibu wa kukata 10000 , na kila mwezi 1000...
  8. Tz boy 4tino

    JamiiForums Tanzania Mradi Wa SGR Ya Tanzania Ni Mradi Mkubwa Kuwahi Kufanyika Barani Afrika

    Mradi wa SGR ya Tanzania wenye Kilomita zaidi ya elfu 2,000, ni Kati ya miradi mikubwa ya reli kuwaikufanyika Afrika. Katika utafiti wangu, miradi mengine mikubwa inayoendelea barani Afrika ni ule wa Nigeria, ambao una lengo la kuunganisha miji mikubwa na bandari ya Lagos. Pamoja na wa Misri...
  9. JF Member

    JamiiForums Tanzania Nani yuko nyuma ya Nape? Mbona ana dharau kiasi hiki?

    Najaribu kufuatilia mijadara mingi sana ya Nape hasa kwenye mitandao. Binafsi Nashindwa kumuelewa huyu kijana. Najiuliza maswali mengi sana. 1. Hajabarehe? Hajakua? 2. Anahati miliki na hii nchi? Makuzi na malezi ya huyu kijana yananipa wasiwasi. Hajawahi kuwa na heshima hata siku Moja...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Lissu uko wapi bei za mafuta zinapanda kiholela mbona huongelei chochote ujue taifa linakutegemea

    Bro Lissu naandika huu uzi ukufikie hapo alipo sasa. Najua unaendelea vizuri hapo ulaya. Bro Tanzania imekua na matatizo mengi kwasasa, bora haki ingechukuliwa lakini bei za bidhaa zipunguzwe gharama za maisha zipungue. Maisha yamekua ni magumu Bro, huko Singida bei ya lita ya mafuta ya...
  11. voicer

    JamiiForums Tanzania Je, ilikuwa ni kesi ya kisiasa kati ya CHADEMA dhidi ya Sabaya?

    Je, ilikuwa ni kesi ya kisiasa kati ya chadema dhidi ya Sabaya? Ilianzia jana huko Club House za Twitter ambapo kiongozi mwandamizi wa Chadema ndugu Godbless Lema alitoa povu la kutosha akiituhumu mahakama na mamlaka husika za Kitanzania kutotenda haki. Pia wakili wa kujitegemea na kada mtiifu...
  12. May Day

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Mabasi na Daladala, kwani Mchawi wenu ni nani, mbona mnatutusi abiria?

    Jana jioni kupitia Radio one nimemsikia Muwakilishi au Kiongozi wa Wamiliki wa Usafirishaji Dar akiongea kwa jazba sana kulalamikia nauli kutokupanda kwa namna ambavyo wangetamani. Bwana huyu alienda mbali zaidi na kuwalaumu sana LATRA kuwa ndio wanaowaangamiza wao Wamiliki wa Vyombo vya...
  13. JGGM

    JamiiForums Tanzania Kulikoni self microfinance fund, mbona hawaitwi kazini

    Naomba kuuliza kwa anayejua kuhusu kada za self microfinance fund mbona hawaitwi kazini kwa waliofanikiwa interview. Maana zilifanyika pamoja na za brela ambao wameitwa tayari kazini pia kuna watu wamefanya interview siku za hizi karibuni na wameitwa pia. Walisema wiki 2 hadi 3, tembelea website...
  14. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya kazi ya Sensa mbona vipo chini Sana?

    Yaani vigezo vya kuwa Karani eti Kidato cha nne? Seriously? Yaan na hili la ukosefu wa Ajira. Tarajieni mafuriko, gombania goli hata huo mfumo wa kupokea applications Lazima uzimike!
  15. Mystery

    JamiiForums Tanzania Watawala wetu tuliowachagua kupitia sanduku la kura, mbona hawatujali wananchi wao tunaoteseka, kutokana na kupanda bei ya mafuta Duniani?

    Nimekuwa nikijiuliza Katika mazingira ya nchi yetu, iliyobarikiwa na Mungu, rasilimali za kila aina, kama vile, gesi, madini ya kila aina, ardhi yenye rutuba, inayoweza kustawisha mazao ya biashara na chakula kwa kipindi chote cha mwaka. Hivi Katika mazingira hayo, ndiyo watawala wetu wameona...
  16. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Msaada: Dodoma imehamia wapi? Mbona Chako ni Chako sijawaona?

    Wakuu habari zenu, nasikitika sana kuona hali inavyo endelea jijini Dodoma, jana usiku nikajisogeza maeneo ya Chako ni Chako ili kuosha rungu, sijui imekuwaje, sijakuta waoshaji, nikaenda mitaa ya uhindini nikawakuta kama watano hivi ila sijaona subwoofer ikabidi niende maisha club, nako...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna tatizo gani CHADEMA? Linapokuja suala la michango mbona hamuiweki wazi?

    Nashangaa sana mpaka napigwa na butwaa kubwa. Hivi pesa alizokusanya Mbowe mitaani akijoinisha watu ze chain ni siri? Kwa nini zisitangazwe kiasi kilichopatikana na kuwapa morali wachangiaji? Au ndio kale kamtindo kenu kanaendelea? Wekeni mambo hadharani kujenga imani kwa wananchi.
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kunani CCM, mbona Chaguzi za matawi zimepamba moto kiasi hiki? Je, huu sasa ni mwanzo wa mwisho wa Upinzani?

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Cde Shaka Hamdu Shaka amejumuika pamoja na wanachama wa Tawi la CCM Buyu Pwani, Mkoa wa Magharibi, Wilaya ya Dimani, Ndg Shaka Hamdu Shaka ameshiriki katika uchaguzi wa kuwachagua Mwenyekiti wa shina No 4 na wajumbe wa kamati ya Uongozi...
  19. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Lissu na Lema mwezi Machi na Aprili umeisha, mbona hamrudi nchini?

    Igweeeeee Itakumbukwa mwishoni mwa 2021 ndugu Lissu aliyeko huko Belgium na Lema aliyeko huko Canada waliutangazia umma wa watanzania na wafuasi wa CHADEMA kuwa watarudi nchini mwezi March au April kwa kigezo cha kufanya maandalizi Leo ni May 1st, wananchi na wanachadema tunataka kujua ni nini...
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Nani mkweli kati ya Dkt. Mollel na Dkt. Slaa juu ya Lissu kupigwa risasi. Kwanini CHADEMA wanakuwa kimya? Polisi nao mbona hawachukui hatua?

    Dkt. Slaa amegusia juu ya Lissu kupigwa risasi na kudai kuwa huenda CHADEMA walihusika maana walikuwa na makundi ya kigaidi yaliyofanya uhalifu wa kigaidi ili kuichafua serikali. Dkt. Mollel nae aliibuka huko nyuma akiwa Bungeni na kudai CHADEMA walimtwanga Lissu risasi na aliongea bila...
Back
Top Bottom