mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ugumu wangu

    JamiiForums Tanzania Kwani pale Kampala Kuna Nini mbona nasikia 🤸🤸

  2. A

    JamiiForums Tanzania Goli la Simba dhidi ya Azam ASFC 2021

    Lile bao hakuna kosa kwa upande wa Simba wala Mwamuzi, ni akili kubwa ya Wachezaji wa Simba kwenye hatua kama zile Rejea Simba dhidi ya Nkana kwenye Klabu bingwa Afrika, move ya faulo ilikuwa kama ile, Wachezaji wa Nkana walipoteza concentration, Simba wakawahi kuweka (Quick thinking). Azam au...
  3. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Tunataka kurudishwa Misri tulipolishwa makombo na mifupa huku nyama ikiliwa na wachache

    Mtume Musa baada ya kuwatoa waisraeli Misri aliua sana. Mungu pia aliua sana, alifikia hatua akataka kuwaua Waisraeli wote akamwahidi Musa akisema nami nitakufanya wewe Taifa kubwa na lenye nguvu kuliko wao. Kwanini? Kwasababu walikuwako "hardliners" na waliobobea waliokuwa wakifaidi makombo ya...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi vitu wanavyovalishwa Watoto Wachanga wa Kiafrika mikononi, viunoni na miguuni mbona navitafuta kwa wa Kizungu sivioni?

    Kuna Mama Mmoja nilimkuta Kamvalisha Mwanae na nilipojaribu Kumuelimisha kwa Kumuambia kuwa huo ni 'Upuuzi' na kutaka Kumvua alinitishia kuwa nikithubutu tu nakuwa Chura Maji muda huo huo nikasalimu Amri. Nashukuru Mungu sikuvalishwa kabisa.
  5. fabinyo

    JamiiForums Tanzania Hivi mbona wanamichezo hatuteuliwi?

    Hivi sie wacheza mpira, kikapu, ngumi, judo n.k kwani tuna shida gani? Mbona hatuteuliwi? Sie kila wakati hatuonekani. Mtufikirie jamani, we are potential too, achaneni na Metacha🤭
  6. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO mbona makato mengi sana? Anayejua ni ya nini anijuze

    Hii Trans fee ni nini? Au makato ya fee ya barabara imeanza hata kabla ya budget? ===== VAT EWURA REA TRAN FEE??? Ni nini hiki?
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kurudisha kodi ya kichwa nyakati hizi za ulimwengu ulioendelea ni aibu kubwa. Mwigulu Nchemba kuwa na aibu. Mbona kuna vyanzo mbadala vingi

    Kwanza ieleweke wazi kuwa kodi ya itayolipwa na wananchi kupitia manunuzi ya vocha za simu ni sawa na kodi ya kichwa waliokuwa wanatoza wakoloni kisha tukairithi na baadae kuondolewa miaka tisini baada ya kuwa ni kodi inayodhalilisha watu. Kwamba ukiongeza salio unakatwa pesa ili kuchangia...
  8. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Kama Sabaya alikuwa na karakana ya kutesea watu, mbona Mbowe hakusema alipokuwa Bungeni?

    Hizi ni siasa za kinafiki tena zisizofaa kabisa. Maana mbunge kama muwakilishi wa wananchi alafu unakaa kimya ukishuhudia wananchi wako wakiteswa na kug'olewa meno. Baadae unaibuka kinafiki baada ya mtuhumiwa kukamatwa na kuleta tuhuma zako. Kuwa kuna karakana ya kutesea watu uliishuhudia...
  9. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Tanzania National Business Council (TNBC). Mbona maneno "Tanzania" na "National" yanafanana?

    Good evening jamiiforums Mnamo mwaka 2018 mwezi wa August niliwahi kuhoji usahihi wa kisarufi katika matumizi ya maneno "Tanzania" na "National" katika kuunda jina la uwanja wa taifa kwa lugha ya kiingereza uliosomeka kama "Tanzania National Main Stadium" kwenye lango kuu. Soma Hapa>>>...
  10. Kajiarashid

    JamiiForums Tanzania KATIBA MBONA IPO?

    1. Kwanza tujiulize, KATIBA ni nini? 2. Herufi hizi tatu.....Ka, Te na Be, ukizibadilisha irabu, utasoma maneno mengine. K.v...... KITABU, KATIBU, KUTUBU n.k; badala ya neno LA awali KATIBA 3. Mimi sipingi KATIBA MPYA, bali nataka tuonyeshane hiyo KATIBA MPYA yenyewe iko je, na Pahala ilipo...
  11. Ziroseventytwo

    JamiiForums Tanzania Boxing heavy weight mbona Afe Ajagba hazungumzwi sana

    Hakuna cha Wilder, Fury, Joshua wala nani. Kwa sasa kuna mwamba m1 anaitwa Afe Ajagba. MnaNigeria huyo. Anapigana uzito wa juu. Baba! Ukimaliza round 3 wewe unabahati. Jamaa anapiga ngumi nzito. Kuna jamaa alikimbia pambano. Mpaka sasa hajapoteza pambano lolote. Ningependa kuona mapromota...
  12. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo HESLB mbona kimya?

    Mei mosi Mheshimiwa Raisi alisema kwamba wanaondoa retension fee kwenye mikopo ya vyuo vikuu.. Kwa akili yangu ndogo nilitegemea bodi ya mikopo ingetoa mwongozo wa kipi kinafuata kam taasisi zingine zinavyofanya pale wanapopewa muongozo na viongozi wao.. Kinyume naoma mwezi wa pili huu unaenda...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Ujerumani yaiomba msamaha Namibia kwa mauaji ya kimbari

    Ujerumani imekiri rasmi kufanya mauaji ya kimbari enzi za Ukoloni wa Namibia. Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Heiko Maas ameomba radhi kwa Taifa pamoja na walioathiriwa na matukio hayo. Watawala wa Ujerumani waliua maelfu ya watu kutoka Jamii za Herero na Nama mwanzoni mwa Karne ya 20...
  14. aka2030

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya Kaskazini ni matajiri ila mbona nguo za mitumba nyingi?

    Mtumba ni kitu kilichovaliwa Ulaya huko mzungu kapigia mpaka deki mitumba ya watoto wameikojolea wee kisha wanaifunga na kuuza Afrika. Sasa kwa jamaa wa kaskazini ambao huwa wanasema kuwa matajiri kuna hela inakuwa vipi wanavaa sana madaso ambayo yakivaliwa sana huko Ulaya? Kuanzia Moshi...
  15. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Mbona Rais Samia anaturudisha Dar es Salaam wakati Makao Makuu ni Dodoma?

    JK aliwashtua watu wakati alipoonesha wapwani hawakupendelea mji mkuu kuhamia Dodoma. Awamu yake ya urais suala la kuhamia Dodoma halikuwekwa kabisa kwenye ajenda. Sasa tuna Rais mwanamama mpwani. Tangu ameshika Urais inaonekana kama tumerudi Dar kwani kila kitu yuko hapa Dar. Amehutubia...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Anna Elisha Mghwira anarudi ACT? CCM atakaa kama mwanachama wa kawaida? Vitawezekana kweli?

    Mwenye majibu ya maswali hayo anisaidie. Zitto atamkubali? CCM anakaa akiwa amekatwa mkia vitawezekana kweli? Wana visa na Mama maana kustaafu siyo kweli maana sidhani kama yeye ndiye ana umri mkubwa sana kuliko Makongoro... na wengine?
  17. F

    JamiiForums Tanzania Wakati Rais akilihutubia Bunge alisema kuwateua wanawake kwa wingi ktk teuzi zake, mbona kateua Ma-RC wanawake wachache?

    Hivi punde Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa huku wanawake wakiwa wachche mno ktk uteuzi huo. Akilihutubia Bunge kasema atawateua wanawake kwa wingi ktk teuzi zake. Mbona imekuwa kinyume? Je hakuna wanawake wenye uwezo wa kuongoza mikoa au kashauriwa tofauti na watu wenye...
  18. Bemendazole

    JamiiForums Tanzania Mbona mnalia lia? Kuahirishwa kwa mchezo ni sehemu ya matokeo ya mchezo

    Sioni sababu ya mashabiki kulia lia. Mchezo una matokeo manne, kushinda, kushindwa, kutoshana nguvu ama kuahirishwa kwa mchezo. Sidhani kama kuna sababu ya kumwajibisha yeyote kwa kilichotokea kwa kuwa nacho ni sehemu ya matokeo wakati wowote mechi inapopangwa!
  19. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Ile roho ya Nyerere kutojilimbikizia Mali na kutotapanya Aliitoa wapi? Mbona baada ya yeye tunapata Marais majanga tu?

    Roho ya kujitosheleza,kutotaka Makuu na kutojilimbikiza Mali. Hii roho nyerere aliitoa wapi? Zama zile nadhani Nyerere angekuwa amejilimbikizia Mali nyingi na Familia yake au Ukoo ungekuwa moja ya Koo Tajiri sana Tanzania au Africa. Lakini tunaona watoto wake wanapambana wao kama wao walisoma...
  20. Ryan The King

    JamiiForums Tanzania Hii hela ya Field tunayotoa Watu wa Diploma mbona ni kama wizi

    Wakubwa shikamoo Tuliolingana Mambo Vipi!! Wakuu naomba nipo mwaka wa tatu, nasomea Diploma ya Clinacal Officer, CO Wiki ijayo tunaenda Field Sasa kinachonishangaza ni hizi gharama za Field tulizoambiwa tutoa Hapa chuoni kwetu kuna wanaotoa 170,000, wengine 180,000 mpaka 200,000 Hizo hela...
Back
Top Bottom