mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Watanzania mbona tunakosa mwelekeo? Mabaya tunalalamika, mazuri tunaponda. Sasa tufanyiwe nini?

    Kwa kweli ni mambo ya kushangaza sana tukio la Lissu kukutana na mama na shangaa watu wakiponda na wengine kuingiza ushabiki wa vyama. Wote ni viongozi na wanasiasa wanachokiongelea si kwa faida yao tu, bali kwa nchi nzima au tulitaka hivi vikao vifanyike kwa hisani na shinikizo la UN au USA...
  2. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbona hamueleweki Watz, hii gesi mnayotaka kutuuzia Wakenya ina maana sio yenu?

    Kha! Hizi ni chokochoko bana, kwani gesi ya nani? Ha ha ha!!! Acheni tununue....
  3. N

    JamiiForums Tanzania Paskali Mayala, mbona huleti "analysis" ni nini zitakuwa athari kisiasa za uamuzi wowote kesi ya Mbowe?

    Kwa kweli kaka yangu ninakuaminia sana kwa kufanya uchambuzi. Hata hivyo ukimya wako kuhusu kufanya uchambuzi na utabiri wa nini itakuwa athari kisiasa kuhusu uamuzi wowote utakaohusisha kesi ya Mbowe. Kwa mfano kwa sasa tunasubiri iwapo Mahakama itaamua Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu na...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Mbona nchi nyingine za Afrika haziruhusu mimba shuleni, na hakuna lawama za mataifa ya nje?

    Nimeipata hii picha ktk mjadala wa baadhi ya nchi za Africa wakishangaa hawa wadada wanafunzi pichani. (Nimeambatanisha picha) Wachangiaji wengi walionesha kushangaa hao wadada, kusoma huku wakiwa wajawazito. Katika mjadala wengi wao walisema "It's only South Africa" Japo kuna nchi kama Kenya...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Wamesema hakutakuwa na mgao wa umeme; mbona wanakata umeme?

    Nduguzanguni Serikali waliibuka nakusema hakutakuwa na mgawo wa umeme ambao walikuwa wameutanganza kwasema ni kwa sababu washapata mbinu mbadala utaosaidia kuwezesha upatikanaji umeme kuwa wakutosha. Nimeshangaa jana wmetukatia kuanzia saa 10 Jioni wamerudisha saa 4 na nusu Usiku hii imekaaje...
  6. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Mbona gharama za kununua nyumba Tanzania zipo juu sana?

    Huwa napitagagapitaga kwenye app ya jiji kuangalia mijengo. Bei ya mijengo ni kubwa inatisha sana. Hasa Dar na Arusha. Nini kinasababisha hivi? Ni uhaba wa nyumba, uhaba wa maeneo mazuri au ukosefu wa usalama kwa baadhi ya maeneo? Mikocheni na Masaki ndiyo wanaongoza kwa gharama. Unakuta nyumba...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Upo uwezekano waliofanya mauaji Mtwara awajapelekwa Mahakamani, mbona hakuna picha zao wakiwa Mahakamani? Mwenye ushahidi wa picha au kesi namba atupe

    Kesi ya mauaji hasa katika mazingira ya kile kilichotokea Mtwara tulitegemea vyombo vya habari viwe na picha za kufikishwa Mahakamani na kufunguliwa mashtaka wahusika lakini Hadi Leo tofauti na taarifa ya RPC hakuna uthibitisho mwingine wa independent part katika kesi hii. Je angekuwa raia wa...
  8. Lager

    JamiiForums Tanzania IT wa bongo mbona hamuanzishi platforms dark net?

    Ndo kusema haya mambo hamyawezi au? Toka nimetembelea kule sijawahi ona hata chat room ya kiswahili au hata forum ya kiswahili!,mnakwama wapi au mnaogopa kuonyesha ufundi wenu. Ni mbaya sana kufikiri kule Kuna vitu viovu tu!,na kule ndio Kuna michuano mikali ya kivamizi (platform yako kuwa...
  9. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kama mnalalama kuwa wamachinga wananyanyaswa sasa hivi mbona wakati wameruhusiwa na hayati Magufuli mlisema wanaharibu mipango miji! Kuweni na msimamo

    Sasa naona Katibu mkuu wa UVCCM Kenani Kihongosi ameamua kuingia mstari wa Mbele kuongoza mapambano dhidi ya wamachinga. Bavicha tunalaani vitendo hivyo na tutaongoza mapambano ya kudai #KatibaMpya itakayotoa Uhuru wa vijana kufanya biashara bila bugdha.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kibatala na Mawakili wenzake upande wa utetezi wamesomea mambo ya mtandao? Mbona wanayajua sana? Nijuzeni

    Hawa mawakili wananipa tabu mi nilitegemea kuona wako competent kwenye mambo ya actus leus, mens lea n.k lkn cha ajabu naona wako very competent kwenye mambo ya kimtandao maana wanawabana wataalamu wa IT pale mahakamani mpaka wanaomba kwenda haja.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwl Nyerere hakuweka ukweli hadharani juu ya kifo cha Kassim Hanga? Mbona CCM huwa hawataki ukweli kuhusu mauaji ya Kassim Hanga kuwa wazi?

    Nipo mahala hapa kijiweni nafuatilia story kibao juu ya masuala yanayohusu matukio kibao yaliyotokea baada ya mapinduzi ya Zanzibar. Kuna mzee anasimulia hapa juu ya watu kibao kuuliwa baada ya mapinduzi kutokea. Anadai kuwa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Zanzibar Kassim Hanga aliuliwa na mpaka leo...
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Serikali imeomba msaada au mkopo wa trilioni 7

    Mapema leo nimefanya mazungumzo kwa njia ya mtandao na Dkt. Sidi Ould Tah, Mkurugenzi Mkuu wa @badeabank kujadili namna ya kuharakisha upatikanaji wa fedha za mkopo nafuu na msaada Dola Bilioni 3 sawa na takriban Shilingi Trilioni 7. Benki ya BADEA iliahidi kuipatia Tanzania mkopo huu wa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mbona vile vyama vya siasa vidogo vidogo havihamasishi wanachama wao kuwania Uspika?

    Inaelezwa Tanzania ina jumla ya vyama vya siasa takriban 19, lakini inajulikana vingi vya hivi ni pro-CCM havifanyi shuguli zozote za siasa, yaani vipo vipo tu vikivizia matukio ya kitaifa. Hujitutumua tu pale utawala unahitaji kuvitumia katika kuvibana vile vyama vya upinzani vikubwa hasa CDM...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Mbona wanafunzi wa vyuo hawapewi mikopo inayotosheleza?

    Serikali imesema wanafunzi wanalipwa mikopo lakini mbona hiyo mikopo inalipwa robo tu hadi nusu? Kama unamlipa mwanafunzi mkopo ambao ataurejesha, kwanini umpe mkopo ambao haumtoshelezi? Mbona tunajisifia kuwa tunakusanya kodi kubwa kila mwezi lakini wakati wa kulipa ni matanga? Hata...
  15. ommytk

    JamiiForums Tanzania Kilio chetu wanageita kwa mama.veta ya geita mbona imetelekezwa ujenzi umesimama miaka mingi nini hatma

    Kilio chetu kwa serikali yetu sikivu yenye kupenda maendeleo hapa kwetu geita miaka kadhaa iliyopita kulikuwa kuna ujenzi tulioambiwa ni WA chuo cha veta ambao ulikuwa ukiendelea ulikuja kusimama mpk sasa ni muda sana majengo yanabaki magofu pesa za serikali zishatumika mpk pale ilipo fika...
  16. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Mashirika mbona hayatoi gawio kama tulivyozoea wakati wa awamu ya tano?

    Nashangaa kwa Sasa hakuna shirika la umma linalotoa gawio kwa serikali ni Upuuzi na Ujinga kuamini kwamba tanesco Haina fedha za nguzo Sasa wanafanya biashara au wanatoa huduma???
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mbona hamumzunguzii Nungunungu Master?au mnasuburi mpaka achelewe kambini

    Mnamsema tu Sakho, Kanute, Onyango na Verane! Tuache choyo ndugu zanguni. Yupo Jonas Mkude Nungunungu Master anaachia miba kimya kimya. Tumpe heshima yake. Aliyeanzisha hizi tuzo naye apewe tuzo. Ni motivation kubwa sana kwa wachezaji
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hawa vijana wetu wa Bavicha mbona wanapenda kupiga dili sana? Kama kitabu kinamhusu kamanda Mawazo kwa nini hela zisiingie akaunti ya chama?

  19. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Huko Twitter leo tumeacha kuzungumzia kesi ya Chairman Mbowe, mbona tunajisahau kwa masuala yasiyo na umuhimu kwetu?

    Mwenyekiti yupo ndani kwa kesi ya kubumba. Yupo ndani na anahitaji sapoti yetu kwa kila namna. By any means necessary. Leo hii kila mwanaCdm anakomaa juu ya Spika Ndugai kuponda mikopo, tunakomaa juu ya Sgr kujengwa kwa mkopo. My take; Tushikamane na tuache uashabiki.
  20. Keynez

    JamiiForums Tanzania UDSM, IFM mbona mpo kimya majina ya vyuo vyenu yanapotumika katika video za ngono?

    Kumetokea mtindo wa kusambaa kwa video za ngono (maarufu kama connection) na ambazo muhusika au wahusika katika video hizo wanatajwa kuwa ni wanafunzi wa chuo fulani nchini, mara nyingi ni UDSM, IFM na hata UDOM. Sijawahi kusikia mamlaka za vyuo hivi zikiongelea kuhusu video hizi, ni kama...
Back
Top Bottom