Siku maalum za wanawake mbona nyingi?

Siku maalum za wanawake mbona nyingi?

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,649
Reaction score
4,756
Kwa kumbukumbu zangu ni hivi juzi juzi hapa hii siku iliadhimishwa na RAIS SAMIA alienda kule DODOMA kwenye mkutano na kina mama... HAPA SASA HIVI KILA RADIO NA TV ZIMEANZISHA KAMPENI ZAO... ETI SIKU YA WANAWAKE...

SIJUI LENGO NI NINI...HIZI SIKU...SAWA... Lets try to empower WOMEN to the time we will start to EMPOWER MEN.

THIS WORLD IS UNDER DEVIL'S CONTROL...
 
Ni katika.hali ya kuwawezesha na hali ya kupiga pesa pia.
 
Na BADO siku ya jinsia ya kike [emoji1787]siku ya wabeba mimba[emoji1768] na siku ya walio kuwa wa KWANZA KULA TUNDA pale Eden [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hadini kajejo jigilu Ukraine na urusi.
 
Na BADO siku ya jinsia ya kike [emoji1787]siku ya wabeba mimba[emoji1768] na siku ya walio kuwa wa KWANZA KULA TUNDA pale Eden [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
👉Siku ya kunyonyesha: kuwahamasisha wanawake wanyonyeshe kwa usahihi.

👉Siku ya hedhi duniani: kuikumbusha jamii juu ya maswala ya wanawake na hedhi.

NB: hizo siku hazipo
 
Utasikia siku ya vitenge na vijora [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli wanawake tukiwa na jambo letu akuna kitu yenyewe inaenda wrong
Hapo bado utasikia siku ya dada wa kazi(housegirl)
 
Back
Top Bottom