mbeya

  1. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nanenane Mbeya Iongezewe Wiki Moja

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe aruhusu kuongezwa kwa Wiki moja zaidi ya Maonesho ya Nanenane Mbeya ili Watu waendelee na shughuli zao katika viwanja vya maonesho kama Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya Dkt. Tulia Ackson alivyoomba...
  2. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Hukumu kesi ya IGA itasababisha mabadiliko makubwa ya sheria zetu miaka 3-8 ijayo.

    Maamuzi ya kesi ya kupinga mkataba wa IGA yanayotarajiwa kutolewa kesho nayaona yakienda kubadilisha upepo wa kisiasa, ni Maamuzi mazito ambayo yataenda kubadili Katiba na Sheria zetu nyingi na kupelekea viongozi kushtakiwa kwa jinai na kuliingiza Taifa katika hasara kubwa kwa kuingia mikataba...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Serikali haijafunga mipaka kuuza mazao nje ya Nchi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kilele cha sikuku ya Nane Nane jijini Mbeya, leo Agosti 8, 2023. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson amesema wakazi wa Mbeya wanaunga mkono uwekezaji unaofanywa na Serikali kwenye Bandari ya...
  4. Msanii

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Mbeya, ni coincidence au mikakati ya kimedani?

    Follow the rising star. Picha huzungumza maneno alfu na moja Hukumu ya kesi ikahairishwa....
  5. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Awasili Mbeya Kushiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima (NaneNane)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Songwe Mkoani Mbeya tarehe 07 Agosti, 2023.
  6. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Foleni kubwa maeneo yote; kuingia Uyole na Nanenane leo Agosti 7, 2023

    Leo mchana huu, kuna foleni ya kutisha hapa Mbeya. Magari yanayotoka Iringa na maeneo ya Nanenane foleni ni bumber to bumber. Kuna sehemu unasimama muda mrefu sana.
  7. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania Basi gani linalotoka Mbeya kwenda Masasi/Mtwara?

    Habari Wazee wenzangu, Naulizia bus za kutoka Mbeya hadi Masasi au Mtwara Mkoani. Kama zipo ni kampuni gani na nauli ni shilingi ngapi hadi Masasi Town. Asante.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa rais Mbeya kesho kwenye 8-8 ndio kumeahirisha hukumu ya kesi ya Bandari?

    Salam wakuu, Wengi wanajua kuwa leo Mahakamani hapo Mbeya kulipaswa kusomwa hukumu ya kesi inayovuta masikio na hisia za watu wengi, ambayo imetunguliwa na mawakili wa nne wakujitegemea dhidi ya Jamhuri (AG) na Bunge pia kupitia Katibu wa Bunge. Historia ya kuibuka kwa shauri hili...
  9. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Hukumu kesi ya kupinga mkataba kuhitimisha mjadala wa DP World

    Leo, Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya inatarajiwa kutoa Uamuzi/Hukumu yake juu ya kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na wanaharakati wanaohoji uhalali wa Mkataba wa Ukodishwaji wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai kupitia kampuni ya DP World. Kuanzia Makao Makuu ya CCM Dodoma na Ofisi zake zote...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Condester Sichalwe: Karibuni Mtembelee Banda Letu la Momba NaneNane Mbeya 2023

    MHE. CONDESTER SICHALWE - "KARIBUNI MTEMBELEE BANDA LETU LA MOMBA NANENANE MBEYA 2023" Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe, Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe ametembelea Banda la Momba Nanenane Mbeya na kuitumia fursa hiyo kuwaalika watu wote kuona fursa mbalimbali za Kilimo na Mifugo...
  11. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atoa wito kwa Taasisi za fedha kusaidia wakulima

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa taasisi za fedha nchini kuendelea kubuni huduma zinazolenga kutatua changamoto zinazowagusa wakulima, huku akionesha kuguswa zaidi na hatua ya Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kuwekeza nguvu zaidi kwenye utoaji wa mikopo ya zana za kilimo kwa wakulima...
  12. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM Mbeya kasema kweli. Mpuuzeni na mtaikosa Mbeya

    Majuzi katika ziara ya Makamu wa Rais Phillipo Mpango huko Mbeya, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya aliorodhesha miradi mingi ambayo serikali iliahidi lakini haijatekelezwa kwa miaka mingi. Kuna miradi iliahidiwa na Rais Mwinyi na Jakaya Kikwete wakati wa kampeni za urais, lakini utekelezaji ni...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Waziri aliyepata ajali mbaya Aibukia Mbeya akiwa mpya kabisa.

    Yule naibu Waziri,Dugange anayesemekana alipata ajali mbaya sana yenye utata mwingi,leo asubuhi ameibukia kwenye viwanja vya nane nane, Mbeya akionekana mwenye bashasha na afya tele, Akiongozana na Television ya Taifa ameonekana akitoa nasaha zenye busara nyingi ambazo zimekuwa covered vyema na...
  14. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Karibu nanenane Mbeya tuonane

    INTRODUCTION Dah, mwaka huu nimechelewa kuingia Nanenane Mbeya. Badala ya kuingia tarehe 30/07 ""as usual"" ila mwaka huu nimeingia juzi tarehe 02/08/2023. Ila haina mbaya, Kazi iendelee. BODY Karibu kwenye Banda letu nikupe pindi/Shule kuhusu mambo ya biashara, Uwekezaji, kilimo, na viwanda...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mbele ya Waziri Mkuu mzee asema bora afe asiposaidiwa kupatikana kwa mtoto wake anayedai alitekwa na Askari Polisi

    Katika hali isiyo ya kawaida Mzee Isaac Mwasilu amesema Bora arudi nyumbani na kwenda kufa kama itashindikana kusaidiwa kupatikana kwa mtoto wake aliyepotea tangu tarehe 11/11 mwaka 2021, kwa madai kwamba alichukuliwa kama Mateka na askari wa jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya aliyedai atampoteza...
  16. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Jopo litakalo mhukumu Wakili Mwakabusi [Simba wa Mbeya]

    Ndugu Watanzania! Mwanasheria Mkuu wa Serikali amemshtaki wakili Boniface Kajunjumele Mwabukusi katika Kamati ya Mawakili kwa tuhuma za kuwasema Waziri Mkuu, Spika, Waziri Mbarawa na Katibu wake Mkuu, Bunge na Wabunge kuhusiana na suala la Bandari ambapo Mwabukusi alisema pia baadhi ya viongozi...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Wanaotumia lugha za ovyo dhidi ya Kiongozi Mkuu wa Nchi nawasihi kiungwana waache. Yanayoendelea nchi jirani watu wanayaona

    Fuatilia kinachojiri kwenye ufunguzi wa maneno ya nanenane Mkoani Mbeya, leo Agosti 1, 2023 ambapo Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ni mgeni Rasmi. === Tulia Ackson Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson amesema Bunge litaendelea kufanya kazi na Serikali katika...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Victoria Mwanziva: Karibuni banda la Wilaya ya Ludewa kwenye maonesho ya nane nane Mbeya katika viwanja vya Mwakangale

    NANE NANE MBEYA 2023 KARIBUNI BANDA LA WILAYA YA LUDEWA Maonyesho ya Kilimo - Nane Nane 2023 yafunguliwa leo tarehe 01.08.2023 katika viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya ambapo mgeni rasmi wa sherehe hizo ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango...
  19. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Karibuni kwenye banda la NEMC Maonesho ya Kimataifa Nanenane Mkoani Mbeya

    Karibuni kwenye banda la NEMC Maonesho ya Kimataifa Nanenane Mkoani Mbeya.
  20. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Mgeni Rasmi Nanenane Mbeya, Wadau Kutoka Nje ya Nchi Kushiriki Kwa Mara ya Kwanza

    Rais Samia Suluhu Hassana anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maonesho ya kilimo maarufu kama Nanenane Kitaifa katika viwanja vya John Mwakangale mkoani Mbeya. Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Gerald Mweli amesema viongozi wengine kitaifa watakaotembelea maonesho hayo yanayoanza...
Back
Top Bottom