Mbeya: Foleni kubwa maeneo yote; kuingia Uyole na Nanenane leo Agosti 7, 2023

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,882
13,172


Leo mchana huu, kuna foleni ya kutisha hapa Mbeya.
Magari yanayotoka Iringa na maeneo ya Nanenane foleni ni bumber to bumber.
Kuna sehemu unasimama muda mrefu sana.
 
Mambo ya nane nane hayo

Na kesho ndiyo itakuwa taflani wakati wa kilele atakapokwenda Rais Samia kuhitimisha
 
Back
Top Bottom