mbeya

  1. galimoshi

    JamiiForums Tanzania Madaktari bingwa wa Macho kutoka Ujerumani watinga Mbeya

    Jopo la Madaktari Bingwa wa Macho kutoka nchini Ujerumani wamefika mkoani Mbeya kutoa huduma ya matibabu ya uchunguzi na matibabu ya macho bure kwa wananchi wa mkoa huo. Madaktari hao bingwa kutoa nchini Ujerumani, wamefika mkoani Mbeya kwa uratibu wa Mbunge wa Viti maalumu mkoa wa Mbeya...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Dkt. Wilbroad Slaa, Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali wamefungua kesi kuwashitaki AG, IGP, DPP, RCO-Mbeya na OCS wa Central Polisi Mbeya

    Hii ndio taarifa inayopatikana mitandaoni usiku huu na hatua hii ni kutokana na washitakiwa hao kuendelea kushikiliwa bila kufikishwa mahakamani jambo ambalo ni kinyume na sheria. --- Mawakili wa Wilbroad Slaa, Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali wamefungua (Habeas Corpus) kuwashtaki AG, IGP...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe alimtembelea Dr. Slaa Serena Hotel, lakini Kashindwa Kumtembelea Korokoroni Polisi Mbeya

    Mwakyembe yupo Pale Kyela Mbeya, leo ni siku ya tatu Dr. Slaa anajisaidia kwenye Ndoo akiwa Korokoroni viunga vya Polisi kati Mbeya. Lakini rafiki yake kipenzi hajamtembelea hadi leo. 2015 wakati Dr. Slaa anajiondoa CHADEMA, Mwakyembe alienda Serena Hoteli Dar es Salaam kumpongeza na kudai ni...
  4. benzemah

    JamiiForums Tanzania CCM Yamteua Bahati Keneth Ndingo kuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Mbarali, Mbeya

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, ikiongozwa na Mwenyekiti wa CCM a Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, imekutana katika kikao chake maalum, kilichofanyika Ikulu ya Chamwino, jijini Dodoma, leo Alhamis, Agosti 17, 2023. Pamoja...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Zaidi ya Mawakili 100 wamejitokeza kuwatetea Dkt Slaa na Wenzake

    Taarifa kutoka kwa Phillipo Mwakilima Wakili wa Watuhumiwa wa Uhaini , inaeleza kwamba zaidi ya Mawakili 100 wamejitokeza kumtetea Dkt. Slaa na wenzake kwenye kesi ya uhaini inayowakabili. Tayari wengine wamekwishaanza kuripoti Mkoani Mbeya kwa ajili hiyo . --- Zaidi ya mawakili 100 kutoka...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa, Mwambukusi na Mdude kufikishwa mahakamani Mbeya

    Philipo Mwakilima ambaye ni Wakili wa Wakili Boniface Mwambukusi na Mdude Nyangali amesema kuwa taarifa alizopewa na maafisa wa Jeshi la Polisi ni kuwa wateja wao ambao wanatuhumiwa kwa makosa ya uhaini pamoja Dk. Slaa wanatarajiwa kufikishwa Mahakamani Mkoani Mbeya hii leo Agosti 16, 2023...
  7. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Watu wa Mbeya (Wanyakyusa) ni watu makini sana, akili kubwa na hawaogopi kitu

    Hawa watu ni wenye akili sana licha ya kwamba ndani mwao kuna michawa, ambayo kamwe haitakuja kuacha legacy yoyote kwenye uongozi wao. Boniface Mwabukusi: Mwanasheria msomi, mweledi, ambaye amediriki kuupinga kwa dhati hadi mahakamani mkataba mbovu wa bandari ametokea Mbeya. Dr. Ulimboka...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Bashe ni Kiongozi mzuri atafika mbali, lakini ulichofanya Nanenane Mbeya Mungu anakuona

    Bashe unachofanya kwenye kilimo lazima Watanzania tukupongeze hasa sisi wakulima. Na Kwa kweli kama nchi hii utakuja kuwa Rais wakulima tutaheshimika kama ulaya na marekani. Umetutetea Wakulima tuuze mazao kokote tunakoweza kupata faida Hilo tunakushukuru. Lakini hebu fikiria wananchi wa Sae...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Bashe ni Kiongozi mzuri atafika mbaki lakini ulichofanya nane nane Mbeya Mungu anakuona

    Bashe unachofanya kwenye kilimo lazima watanzania tukupongeze hasa sisi wakulima. Na Kwa kweli kama nchi hii utakuja kuwa Rais wakulima tutaheshimika kama ulaya na marekani. Umetutetea Wana tuuze mazao kokote tunakoweza kupata faida Hilo tunakushukuru. Lakini hebu fikiria wananchi wa Sae...
  10. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kamata Kamata ya Wakosoaji wa Suala la Bandari: Nani anafuata kukamatwa?

    Jana wamekamatwa Mdude Nyagali na Mwabukusi. Leo kuna tetesi kukamatwa kwa Dr. Slaa tena akiwa nyumbani kwake. Naanza kupata wasiwasi wakosoaji wengi wa suala la bandari watawekwa kolokoloni. Je nani anafuata kukamatwa? Lakini pia hili sio la kwanza kufanyika hata Hayati Magufuli alifanya...
  11. comte

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya bandari Mbeya yamuibuwa mwanazuoni mbobezi wa IGA duniani Johanne Poirier

    Johanne Poirier Full Professor Peter MacKell Chair in Federalism New Chancellor Day Hall 3644 Peel Street Room 604 Montreal, Quebec Canada H3A 1W9 514-398-3296 [Office] Email Website: Peter MacKell Chair in Federalism List of Publications Recent media appearances The Sunday Magazine (hosted...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Serikali iangalie Watoza Ushuru wa Mbeya wanatunyanyasa Wafanyabiashara wa mbao

    Sisi Wafanyabiashara wa mbao tuliopo Mbalizi, Mbeya Vijijini tuna malalamika kuhusu Watoza Ushuru wanaosimama kwenye mageti. Wanatengeneza mazingira ya rushwa kwa kutaka kutupiga faini na kututaka tukate ushuru wa TP (Transportation Permit) mara mbilimbili. Utaratibu uliopo tunaopewa na Wakala...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia ameliheshimisha Jiji la Mbeya. Sasa linasikilizwa na kupewa heshima yake

    Ndugu zangu Watanzania, Ujio wa Dkt Tulia Jimbo la Mbeya umekuja na neema na umekuwa wa Baraka.Sasa jiji Linasikilizwa masikioni mwa viongozi wakuu wa serikali,sasa linapewa majibu ya kueleweka kutoka serikalini,sasa linapewa hadhi na heshima yake ya kuwa jiji,sasa lina kumbukwa ,sasa lipo...
  14. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nanenane Mbeya Iongezewe Wiki Moja

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe aruhusu kuongezwa kwa Wiki moja zaidi ya Maonesho ya Nanenane Mbeya ili Watu waendelee na shughuli zao katika viwanja vya maonesho kama Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya Dkt. Tulia Ackson alivyoomba...
  15. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Hukumu kesi ya IGA itasababisha mabadiliko makubwa ya sheria zetu miaka 3-8 ijayo.

    Maamuzi ya kesi ya kupinga mkataba wa IGA yanayotarajiwa kutolewa kesho nayaona yakienda kubadilisha upepo wa kisiasa, ni Maamuzi mazito ambayo yataenda kubadili Katiba na Sheria zetu nyingi na kupelekea viongozi kushtakiwa kwa jinai na kuliingiza Taifa katika hasara kubwa kwa kuingia mikataba...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Serikali haijafunga mipaka kuuza mazao nje ya Nchi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kilele cha sikuku ya Nane Nane jijini Mbeya, leo Agosti 8, 2023. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson amesema wakazi wa Mbeya wanaunga mkono uwekezaji unaofanywa na Serikali kwenye Bandari ya...
  17. Msanii

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Mbeya, ni coincidence au mikakati ya kimedani?

    Follow the rising star. Picha huzungumza maneno alfu na moja Hukumu ya kesi ikahairishwa....
  18. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Awasili Mbeya Kushiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima (NaneNane)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Songwe Mkoani Mbeya tarehe 07 Agosti, 2023.
  19. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Foleni kubwa maeneo yote; kuingia Uyole na Nanenane leo Agosti 7, 2023

    Leo mchana huu, kuna foleni ya kutisha hapa Mbeya. Magari yanayotoka Iringa na maeneo ya Nanenane foleni ni bumber to bumber. Kuna sehemu unasimama muda mrefu sana.
  20. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania Basi gani linalotoka Mbeya kwenda Masasi/Mtwara?

    Habari Wazee wenzangu, Naulizia bus za kutoka Mbeya hadi Masasi au Mtwara Mkoani. Kama zipo ni kampuni gani na nauli ni shilingi ngapi hadi Masasi Town. Asante.
Back
Top Bottom