mbeya

  1. J

    JamiiForums Tanzania AIRTEL Mnatukosea sana Mbeya, poor Quality of service by TCRA Q3 Report

    Airtel mna call drops kubwa sana , ndio maana hata ukipiga simu Mbeya kwa watumiaji wa Airtel hatusikiani . Hii Report ipo kwenye site za TCRA na iko wazi msiseme tunawasagia kunguni. Mmezidiwa hadi na TTCL kweli...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Mbeya na Spika Tulia wawaomba Machifu wawaloge wanaopinga Mkataba wa Bandari

    Mkuu wa Mkoa Mbeya na Spika TULIA Wawaomba MACHIFU WAWALOGE wanaopinga MKATABA WA BANDARI😂🤣 Mkuu wa mkoa akiongea zilisikika sauti za wanaCCM wakidai walogwe wale wanaopinga mkataba na ikabidi mkuu wa mkoa akubali rai ya wanaCCM kuwa wanaopinga basi machifu wafanye yao kama wanaCCM walivyodai
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano Mbeya, kauliza mbona hamnipigii makofi!

    Naangalia mkutano wa CCM Mbeya. Msemaji mmoja kauliza CCM mpooo akajibiwa tupo kisha akasema "mbona hamnipigii makofi?" Kazi kwelikweli.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hadhari ya Baridi kali Mbeya, Njombe na Iringa

    “Hali hii ya upepo na baridi inatarajiwa kwenda hadi mwezi Agosti, Septemba ndo hali ya joto itaanza kushuhudiwa, hivyo watu wajipange hasa katika mikoa ya Mbeya, Iringa na Njombe ambapo huko baridi zaidi hushuhudiwa.” – Rose Senyagwa, Mchambuzi wa hali ya hewa TMA. @tanzaniameteorological...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Madereva wa mabasi ya New Force, Zanuni, Rungwe Express, Super Rojas, Abood Bus Service na Kyela Express wafungiwa leseni kwa muda

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kuzuia na kudhibiti ajali za barabarani kwa kushirikiana na mamlaka na wadau mbalimbali wa usafirishaji katika Mkoa wa Mbeya. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamini Kuzaga amesema Jeshi hilo linaendelea kuimarisha na kufanya misako na doria katika...
  6. AFRITRACK

    JamiiForums Tanzania Fleet Tracking, Fuel Sensors, Smart Generators, and AI Dash Cameras

    Karibu Afritrack, Afritrack ni alama ya biashara iliyosajiliwa ya Laiki Technology Limited ambayo ni kampuni iliyoanzishwa mwezi wa Aprili 2006 na ni moja ya kampuni za kwanza kuleta huduma za kufuatilia(kutrack) magari nchini Tanzania. Kwa miaka mingi, Afritrack imebadilika na kuwa mtoa...
  7. polokwane

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Mbeya, Homera usiingilie sana masuala ya Walimu na Wanafunzi utawatia ukaidi zaidi wanafunzi

    Mh. Homera RC Mbeya: usiingilie sana mambo walimu na wanafunzi kwamba umejivika kuwa mtetezi wao hata kwa mambo ya kipumbavu na usichukulie mambo ya walimu na wanafunzi too emotional hasa haya ya kinidhamu unakosea sana. Nadhani umeaona mlivyo dhalilika kwenye swala la yule binti wa Dandahili...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwalimu wa Shule ya Loleza Girls afunga Bweni na kuwalaza Darasani Wanafunzi

    Katika hali isiyo ya kawaida wanafunzi wa Kidato cha sita katika Shule ya Sekondari ya wasichana Loleza (Kombi ya HGL) usiku wa kuamkia Julai 11, 2023 walilazimika kulala darasani ikidaiwa kuwa ni baada ya mwalimu wa bwenini kuondoka na funguo za bwenini kwao. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwabukusi(Mtanganyika) aigimbee Ubunge kutukomboa wananchi

    Kuliko kuwa na wabunge ambao wameonesha uwezo mdogo wa kupangua na kuchangia Hoja , Nina Kila sababu Mimi kama mtanzania Kuona haja ya kuwaondosha baadhi ya wabunge katika mjumba ule wa heshima na kusajili wabunge wapya wenye kaliba ya wakili mwakabusi na wengine wengi, kwani watatusaidia katika...
  10. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania City Garden (Mbeya) hawajui kuchoma nyama!

    Nimetoka mishe mishe zangu huko baada ya safari nikaulizia wapi naweza kupata nyama/kuku choma wapambe wakaniambia wahi City Garden, iliyopo sehemu zamani maarufu kama Mafiati. Pamoja na kabaridi nikaagiza bia baridi na kabla hata sijamaliza glasi moja, sahani ya kuku hiyoo. Kuingiza jino tu...
  11. Miss Mbeya

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nauza nyumba ipo Mbeya

    E
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwanafunzi kidato cha 3 adaiwa kujinyonga, kisa kuikataa Shule

    Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Lumbira iliyopo Kata ya Luanda Wilaya ya Mbozi mkoani hapa, Jafari Mwashitete (16) amekutwa amefariki shuleni akidaiwa kujinyoga. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe ACP Theopista Mallya amethibitisha kutokea kwa tukio la kujinyonga kwa...
  13. Zekoddo

    JamiiForums Tanzania Nipo Mbeya City, wapi nitampata hizi Men blacelet?

    Wakuu, nipo Mbeya City nahitaji hizi blacelets, offcorse Mimi sio mpenzi wa saa za mkononi Ila napenda sana blacelets za kiume kama hizi, nikivaa hizi najisikia niko comfortable sana. Nilizokuwa navaaga zimenipotea. Moderator naomba ubadili hapo kwenye title "nitampata=nitapata"
  14. Glenn

    JamiiForums Tanzania Sakata la Panda Hill: Mkuu wa Mkoa na RPC Mbeya mnapaswa kuachia nafasi zenu haraka

    Nchi ya maelekezo kila mahali, kuna siku mtaleta maafa makubwa sana nchi hii. Ndugu Watanzania, tukiwa katikati ya sakata la DPW, lilibuka sakata la mwanafunzi wa Panda hill school kupotea, kwa jina Ester. Sakata hili lilivuta hisia za wengi kiasi cha waziri mkuu kutoa tamko kuwa anawaagiza...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mashujaa FC karibuni NBC Premier ila mkitumika na Yanga SC kama Mbeya City FC nanyi tutawashusha Daraja

    Tayari baada tu ya Kumaliza Mechi yenu huko Mkoani Mbeya nimemsikia Mmoja wa Kiongozi wenu Said Swedi 'Scud' akifurahia na kutamba kuwa Msimu ujao wa Ligi Kuu Timu zitawakoma. Said Swedi Scud ni mwana Yanga SC lialia tena ni Mwanachama kabisa na alishawahi pia kuwa Mchezaji ( hasa Mshambuliaji...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wenye akili tulipoona tu ndani ya Mbeya City FC kuna u-CCM na u-CHADEMA, tulijua itashuka tu Daraja

    Huwezi kuwa na Timu halafu Asubuhi Spika wa Bunge anaenda na Kuwaambia Wamsikilize Yete huku akimbeza Mpinzani wake Sugu na Mbunge Mstaafu na mwenye Ushawishi Mbeya Mjini Sugu nae akienda anamkandia Mpinzani wake Spika wa Bunge na kuwataka Wamsikilize Yeye halafu hiyo Timu ikapata Mafanikio...
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Live Updates NBC Playoff: Mbeya City Vs Mashujaa-Kigoma

    Leo ni mechi ya mwisho ya PlayOff kati ya Mashujaa na Mbeya City. Mechi ipo live hapa Mbeya 0-0 Mashujaa. Mbeya City ipo kwenye hatihati ya kushuka daraja baada ya kula kichapo cha 3-1 huko Kigoma. My Take Waha njoeni hapa mbishane
  18. K

    JamiiForums Tanzania Duka la Vunjabei hapa Mbeya mbona limedoda sana?

    Ni mwaka sasa niko Mbeya, huyu jamaa anajiita vunjabei alifunggua duka lake hapa Sido mbeya kwa mbwembwe lakini naamini hauzi hata laki mbili kwa siku maana hakuna wateja kabisa pale. Nikipita maeneo yale ya sido naona wafanyakazi wake wamekaa nje tu wamejishika tama. Tatizo nini wakuu?
  19. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mbeya atangaza Dau la Mil. 5 kwa atakayempata Esther Noah Mwanyilu

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Zuberi Homera ametangaza dau la milioni tano kwa yeyote atakaye fanikisha kupatikana kwa mwanafuunzi wa kidato cha tano Esther Noah Mwanyilu wa shule ya Sekondari ya Pandahill aliyetoweka shuleni Mei 18/2023 Kauli hiyo imekuja siku moja baada ya waziri Mkuu Kasimu...
  20. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ester Noah Mwanyilu, Mwanafunzi wa kidato cha tano shule ya Pandahill Mbeya amepotea

    Kwa kweli inasikitisha mno, Mwanafunzi Naomba wana JF muisikilize audio hii kwa umakini pia vyombo vya serkali vinavyohusika vichukue hatua. ========== UPDATES... Ester Noah Mwanyilu, Mwanafunzi wa kidato cha tano mchepuo wa PCB, Shule ya Secondari Pandahill hajulikani alipo baada ya kudaiwa...
Back
Top Bottom