mbalimbali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa picha za round about na junction mbalimbali za mikoa

    Tuonyeshe round about za mahali ulipo. Mimi naipenda sana ile ya Msamvu Moro yenye bibi na bwana na ile ya Singida yenye kuku na alizeti nyingine ndo hii ya mjusi wa Tendeguria Lindi panaitwa fisi.
  2. Tommy 911

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa Kibiashara kwa Mtaji wa laki 5

    Habari Wana JF, Mimi ni kijana wa miaka 23 ni mwanachuo final year, nilipost nyuzi mbalimbali kuomba msaada juu ya ushauri wa kibiashara bila mafanikio wengine waliahid kunipa support lkn ulikuwa ni maneno tu. Nilikuwa na wazo la kuagiza bidhaa china kuja TZ mfano handbags ndogo, naombeni...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa Nishani za Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuzindua Kitabu cha Miaka 60 ya Historia ya Ofisi ya Makamu wa Rais

    Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa Nishani za Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuzindua Kitabu cha Miaka 60 ya Historia ya Ofisi ya Makamu wa Rais katika Viwanja vya Ikulu - Chamwino Dodoma tarehe 24 Aprili 2024...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Jukwaa gani ni pendwa kwako ndani ya JamiiForums?

    Ni lipi jukwaa ambalo limekupa somo au shule ya maana, ushauri, maarifa, ufahamu na uelewa kutosha au kukukwamua juu ya masuala mbalimbali ya maisha, kisiasa, kiuchumi, kijamii, kitaifa na kimataifa?
  5. D

    JamiiForums Tanzania Nimepata admission vyuo mbalimbali Europe. Wapi naweza pata full funded scholarship?

    Nimepata conditional admission vyuo mbalimbali. Courses ni masters ya leadership na education leadership. Uingereza nimepata vyuo vinne. Sweden chuo 1 Finland 1 Poland 1 Tatizo ni uwezo wa kujisomesha. Naomba mwenye kufahamu taasisi ninayoweza kuomba full funded scholarship/sponsorship...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ili kuhudhuria Art Exhibitions kwenye nchi zingine unapaswa kufanya nini?

    Habarini wanajamvi, Ninapenda kujua, Ili kuwa miongoni mwa artists wanaoudhuria maonyesho ya arts mataifa mbali mbali Ili ukidhi vigezo unafuata hatua gani?
  7. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Series, hadithi za mambo mbalimbali ya zama za uumbaji

    GALACTIC HISTORY Swerdlow anaandika kwamba kuna AINA SABA tofauti katika himaya ya DRACO. Aina moja ina ngozi nyeupe iliyogawanyika, macho kama ya paka, mbwa na Taya na meno yaliyotawanyika. The DRACO walitawala DUNIA maeneo ya Pacific HIVI leo ambapo kulikua na bara lililo potea au lililo...
  8. excel

    JamiiForums Tanzania Mbinu mbalimbali zitumiwazo na wezi wa Magari na namna ya kuzizuia

    1. Wizi wa kutumia mfumo wa Keyless. Wizi wa keyless au wizi wa relay ni wizi ambao huusisha watu wawili ambao hufanya uhalifu huu kwenye magari ambayo yameegeshwa nyumbani. Wizi huu huusisha vifaa viwili ambavyo ni "relay transmitter" na "amplifier", hivyo wanatumia vifaa hivi kuidanganya gari...
  9. 2 of Amerikaz most wanted

    JamiiForums Tanzania Viongozi: Kabla ya kuwa katika nyadhifa mbalimbali walianzia huku

    🇮🇳 Narendra Modi - Tea seller 🇺🇦 Volodymyr Zelensky - Comedian 🇦🇱 Edi Rama - Painter 🇦🇺 Tony Abbott - Trainee Priest 🇧🇬 Boiko Borisov - Bodyguard 🇨🇦 Justin Trudeau - Bouncer 🇨🇦 Stephen Harper - Mailroom Assitant 🇭🇷 Ivo Josipovic - Music Composer 🇫🇷 Nicolas Sarkozy - Cleaner 🇬🇹 Jimmy Morales -...
  10. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Jua maana ya vifupisho mbalimbali vinavyotumiwa na kampuni ya Toyota, ie VX, GX etc

  11. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Aina mbalimbali za mbwa. Jamii ipi unaikubali sana kati ya hizi?

    Naanza na boss mwenyewe kabisa.
  12. Shining Light

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri wakaa kikao kujadili Miswada na Sera mbalimbali

    Cabinet ya Kenya imeekaa kikao cha kujadiliana kuhusu mipango ya Sheria na mipango pamoja ya sera tofauti tofauti ili kuboresha hali ya Uchumi, kimefanyika Ikulu ya Nairobi na kikao cha kawaida cha tatu cha mwaka 2024. Mbali na Uchumi kimejadili na kutathmini maendeleo yaliyofikiwa katika...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kanuni za CAF zinatoa unfair competition, hivyo sioni uhalali wa kulnganisha timu mbalimbali za hapa Afrika

    Kanuni za CAF zinaItumika katika michezo mbalimbali inayosimamiwa na CAF, huwa naziina haziko fair na hivyo zinaondia uhalali wa kuziweka timu katika mizani moja. Mbali na Kanuni mbalimbali zilizopo, kilichonisukuma zaidi kuandika huu uzi ni baada ya leo kuelezwa kuwa timu ambazo ni mabingwa...
  14. MaylaGladson

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wadada wa ofisini, kanisani, msikitini na mitoko mbalimbali, njooni niwajuze chimbo bei rahisi na lenye vitu vikali

    Hello, Nauza magauni mazuri sana ya kwenda kazini,ofisini na kwenye mitoko mbalimbali.kwa Bei ya Tsh 10,000-20,000. Lakini Pia ninauza Official skirt na pant kwa Bei ya sh 6,000-15,000. Lakini pia kwa wale wa msikitini na wapenda vaa stara kuna Mabaibui/Abaya mazuri mno kwa Tsh 15,000-20,000...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara ya kutumia jina moja kwenye biashara mbalimbali

    Habari wana JF.. Naomba Kuuliza Je ni kuna faida/hasara gani za Kutumia Jina Moja kwenye Biashara Tofauti tena zilizopo Mkoa/Willaya Moja Mfano 1 JUNDOX FURNITURE'S 2 JUNDOX BARBERSHOP 3 JUNDOX STATIONERY 4 JUNDOX DIGITAL 5 JUNDOX STUDIO Naomba msada kwa wanaofahamu hasara/faida za kibiashara...
  16. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Ungependa kiongozi gani aje Jukwaani kutoa majibu na ufafanuzi wa masuala mbalimbali yanayoendelea nchini?

    Habari wadau, Jamiiforums imekuwa sehemu ya wanachama kushiriki kutoa maoni yao, kuelezea kero zao na kupata ufafanuzi juu ya masuala mbalimbali nchini, nafasi inayowawezesha kufanya maamuzi mkiwa na taarifa sahihi na zenye ubora. Wapo viongozi wachache kama Dkt. Gwajima D ambao wamekuwa...
  17. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri ziara za Ndugu Paul Makonda maeneo mbalimbali nchini

    Karibu! Katika uzi huu tujadili yanayojiri moja kwa moja ziara za Muenezi Taifa Ndugu Paul Makonda. Tuanze na Makambako alipokuwepo siku ya jana 09 /02/2024.
  18. Jonsonjohn

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya hii biashara ya kuagiza bidhaa mchanganyiko kutoka Japan

    Miaka mitano iliopita nilifungua website ya kuagiza bidhaa mbalimbali kwanjia ya mtandao bahatimbaya sikupata wateja wakutosha nilikutana na changamoto nyingi sana 1. Watu wengi niwaoga kutapeliwa 2.Baadhi ya watu wanataka vitu vya bei rahisi sana bila kujali ubora. 3.Mtu mwingine anataka...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Zijue mashine na mitambo mbalimbali inayotumika bandarini kupakia na kupakua mizigo na shehena mbalimbali

    Leo nakuletea orodha ya mitambo na mashine mbalimbali zilizotengenezwa mahsus kwa ajili ya kupakia na kupakia mizigo na shehena mbalimbali bandarini. 1. Reach stacker Reach Stracker ni mtambo unaotumika kupanga makontena ndani ya bandari. Mtambo huu una uwezo mkubwa wa kuinua kontena na...
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Chimbo la Design mbalimbali za Masofa mazuri sana ya kuvutia

    Katika uzi huu tutaweza kuona design mbalimbali za masofa ya kuvutia. Endapo utaipenda design hiyo kwa matumizi ya nyumbani utaweza kujichukulia mwenyewe na kuitafuta dukani au ukampatia fundi wako akakutengenezea.
Back
Top Bottom