Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,028
- 144,382
Kanuni za CAF zinaItumika katika michezo mbalimbali inayosimamiwa na CAF, huwa naziina haziko fair na hivyo zinaondia uhalali wa kuziweka timu katika mizani moja.
Mbali na Kanuni mbalimbali zilizopo, kilichonisukuma zaidi kuandika huu uzi ni baada ya leo kuelezwa kuwa timu ambazo ni mabingwa katika ligi za nchi zaa, hupangwa kundi moja.
Kama ni kweli, unawezeje kuweka timu ambazo ni mabingwa katika kundi moja halafu baada ya mechi za makundi kwisha, timu zote unaziweka katika kapu moja kuzipambanisha ubora wao katika hatua ya makundi.?
Kingine ambacho huwa kinanishangaza na hii ligi kuitwa ligi ya mabingwa wakati baadhi ya timu sio mabingwa katika ligi wanazotoka..
Kama niko sahihi, miaka nyuma club bingwa ilishirikisha timu zile tu ambazo ni washindi katika ligi zao na washindi wa pili walioshirika katika kombe la shirikisho yaani kombo la CUF.
Najua utaratibu huu haupo Afrika tu lakini hauondoi uhalali wa kuhoji jambo hili.
Kanuni nyingine inayotoa unfair competition ni hii inaypsema kinara wa kundi kuanzia ugenini na kumalizi mechi yake ya mwisho nyumbani.
Huu utaratibu ni wazi una advantage kwa kinara wa kundi halafu mwisho wa siku timu hizi zote mnaziweka katika kapu moja kutafuta yupi ni bora kuliko mwingine.
Kinara wa kundi anaweza kuwa rewarded kwa namna nyingine lakini sio hii ya kumpa favour ya moja kwa moja kuanzia nyumbani wakati bado maahindano yanaendelea.
Kituko kingine ni hiki kinachojulikana kama best looser kupewa nafasi nyingine mfano kutoka ligi ya mabingwa na kushiriki katika kombe la shirikisho.
Bila shaka kutakuwa na sababu zilizopelekea uwepo wa hizi Kanuni ambazo zinatumiks hata sehemu nyingine duniani, lakini linapikuja swala la ushindani, favour ya aina yoyote kwa washiriki, inaondoa maana halisi ya ushindani na tathimini nzima ya kutafuta ubora wa mshiriki mmoja mmoja katika vipengeleble mbalimbali.
Baadhi ya watu kuwa na mamlaka ya kuamua mambo mbalimbali yanayotuhusu, kusituindolee uhalali wetu wa kuhoji maamuzi yao hata kama wana mamlaka ya kuamua kwa niaba yetu.
Tukumbuke ni watu hawa hawa wanaotunga hizi kanuni na baada ya muda hugundua zina mapungufu na kuzibadili lakini wakati huo zinakuwa teyari zimeshaaathiri timu mbalimbali na hata mechazaji mmoja mmoja.
Tuendelee kuhoji panapostahili.